Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

NATO imeundwa kwaajili ya RUSSIA
RUSSIA sio ZIMBABWE
sasa kama NATO imeundwa kwa ajiri ya Russia , mmeivamia Ukraine ambaye sio mwanachama wa NATO kwa sababu zipi ?.
Tukiwaita vichaa mnapiga mayowe .
 
Sasa walilia lia nini wewe Punguani?!

Si vyombo vya habari vipo telee? Katafute nawe habari ya kukufurahisha ulete. Au umekatwa mikono? Au umeibiwa smartphone?
 
Russia ni mwepesi sana , anakuzwa na vichaa wa humu . Yaan anapigana na nchi ambayo amepakana karibia nusu ya eneo lake . Lkini imepita zaidi ya mwezi anahenyeshwa na Comedian Zelensky .
Tuliambiwa wapiganaji wa Chechnya wapo mzigoni kumsaidia Putin lakin wapi .
Amepata wapiganaji mamluki zaidi ya 16000 kutoka Syria lkn wapi ?.
Amepiga kila aina ya silaha lkn wapi.

Harafu anatokea mrusi wa buselesele anakwambia NATO anamwogopa Putin , wakati Putin mwenyewe anatamka kuwa hataki Ukraine ajiunge NATO kwa usalama wa RUSSIA.
 
Biden's "tough on Putin" script. The questions are prepared before hand. That's how his handlers manage the White Houee Press Corps.


[emoji23][emoji23][emoji23]
View attachment 2167704
Mzee kachoka sana huyu anaandaliwa maswali na majibu yake mbele ya Press asije sahau akaropoka ropoka ka afanyavyo.

Na namna VP anavomnyima usingizi na utulivu sasa ishakuwa kila akilala akiamka ni PUTIN, social media na Press ni Putin.
 

Umeona eeh,yeye ndio anaogapa anahaha anarusha rusha mabomu bila mpangilio,halafu wanageuza maneno eti NATO waamuogopa!hii nchi ngumu sana
 
Sasa walilia lia nini wewe Punguani?!

Si vyombo vya habari vipo telee? Katafute nawe habari ya kukufurahisha ulete. Au umekatwa mikono? Au umeibiwa smartphone?
hahaha kwa hivyo umekubali kuwa BBC na CNN ni vyanzo vya uhakika ?.

Hayo hayo maneno mnayoyaimba tukiwakumbusha mnaruka futi 100.
Mlisema Kiev inageuka majivu ndani ya siku 3, zikapita tukawakumbusha mkakana kusema.
Mkasema vyombo vya Western vinapiga propaganda juu ya Russia , cha ajabu unaleta habari kutoka chanzo cha wamagharibi .
Akiri za Dr Shika hizi.

Ze comedy Zelensky endelea kumuhenyesha babu Putin , na sisi tunazidi kuwavurumua wajukuu zake huku nyuma ya keyboard.
 
Vilaza huwa wagumu sana kuelewa!

Nimekwambia vyombo vya habari vipo kibao, katafute nawe habari uzipendazo u-post?
  • Kwani umekatwa vidole?
  • Au umeibiwa smartphone yako?
  • Au English yakupa shida kuelewa taarifa zinazotolewa na vyombo hivyo na hivyo huwezi nawe ku-post zile uzipendazo?
 
sasa kama NATO imeundwa kwa ajiri ya Russia , mmeivamia Ukraine ambaye sio mwanachama wa NATO kwa sababu zipi ?.
Tukiwaita vichaa mnapiga mayowe .
NATO hawamuogopi Russia bali NATO hawataki vita ndani ya nchi zao, ndo maana wameona wampelekee moto ndani ya Ukraine
 
asante Dr Shika .
Kumbe humu tunaleta habari zinazotupendeza ?.
Zisizo tupendeza tunaita propaganda.
 
Naomba kuuliza, Putini alitangaza atakaeingilia hii operations yake atakiona Cha moto,

Swali, Je hao waingereza , Marekani na washirika wake kutoa misaada ya siraha UKRAINE Sio kuingilia operation yake? Vipi anawaogopa au? Mbona wanasaidia Ukraine na hawakioni Cha moto alichotangaza?

Kuuliza Sio Ujinga.
 
Subiri matusi
 
Ni wazi kabisa historia ya akina Zelensky Ina uhusiano na uovu wao wa sasa.A Nazi will always remain a Nazi,ndivyo historia inavyo onyesha.No Khazar is good,na ndio akina Rothschild, Rockefeller or Zionists wanaoitesa Dunia leo.

Kumbuka kwamba Zionists are just modern day Khazars or Nazis,they are hiding behind names.They also call themselves Ashkenazi Jews,huu ni utapeli,they are not Jews,ni Khazars.

Anyway ngoja nikuache,ila bila History huwezi kuelewa status ya sasa ya Ukraine.
 
Habari za hivi punde Abromovich apata dalili za shambulio la kemikali
Kilichomponza ni Oligarchs walianza kumlalamikia Putin kuhusu issue ya Vita iliyopelekea Mali zao kukamatwa na kupigwa sanctions. Putin mtu mbaya sana,sasa kafungua mlango wa kifo chake,hawatamuacha salama.
 
🇷🇺🇪🇺 Russian Permanent Representative to the EU Vladimir Chizhov on the transition to payments in rubles when buying Russian gas:

🔹 the switch to rubles was a "certain" shock for European politicians and energy companies;

🔹 ban on Russian energy would be suicidal at this stage for the EU countries;

🔹 the mechanism for ruble settlements will be detailed soon;

🔹 the energy situation can lead to government crises in European countries;

🔹 the US can offer Europe extra 15 billion cubic meters of liquefied natural gas at most, which is 10% of Russian supplies;

🔹if Europe forces Gazprom to turn off the taps, it will only have to hope for a global warming and some alternatives.
 
Na kama akianza kuwapiga kwasabab wanapeleka silaha basi atakuwa mjinga na Coward but He's too Smart haezi fanya huo upuuzi. Kupeleka silaha sio kuingilia Ugonvi ile ni biashara kama biashara zingine.

Kuna Mercernaries zaidi ya 6000 kutoka nchi zaidi ya 62 wako pale.. ila wapo un-Official kwa mwenye akili timam huezi kurupuka kuzipiga hizo nchi 62 kisa kuna wanajesh wao wako hapo kimagendo.

Ukitaka kujua atafanya nini either anaogopa au wao ndio wanaogopa waambie watangaze Official kuingia Ukraine rasmi kushambulia jeshi la Urusi hapo Ukraine. Au walau kiduchu tu waiweke ile "no Fly zone" aliyokuwa anaiomba yule Comedian.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…