Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Kupeleka silaha ukraine,kuiwekea sanctions Urusi Bado si kuingilia vita!Direct provacation ni kuingiza majeshi ya NATO au kuweko no fly zone Ukraine!
Mara ngapi Zelensky ameomba hiyo no fly zone?Majibu ya NATO kwenye Hilo yamekuwaje?
 
Kupeleka silaha ukraine,kuiwekea sanctions Urusi Bado si kuingilia vita!Direct provacation ni kuingiza majeshi ya NATO au kuweko no fly zone Ukraine!
Mara ngapi Zelensky ameomba hiyo no fly zone?Majibu ya NATO kwenye Hilo yamekuwaje?
Kwenye kuweka no fly zone NATO wanakwepa, Kwa hiyo Hapo wakijaribu kuweka no fly zone wataangukiwa na kitu kizito kichwani kutoka kwa putin
 
#Mariupol , administration of Kalmiussky district and surroundings with UAV
 
Naomba oridhesha moja moja MKUU halaf kuna tofauti yakutokua nayo nakuzidiwa cjui unanielewa
Naomba orodhesha moja moja
 
Colleagues at the late major #Levkin are also fucked
 
Ndiyo maana nikasema kuuliza Sio Ujinga, Sasa napata majibu ya maswali yangu
Naam, anayekupiga gizan ukiamua kulipiza kisasi mrudishie uko uko gizan ila ukimleta kwenye mwanga ndio ufanye kulipiza kisasi we uliyekosewa utaonekana ndie mgonvi... Kwanini? Kule gizani hakuna aliyeoona kama kweli yule umpigae ndie alieanzisha ugonvi.

Mfano kilichopo, kwenye media wanatuaminisha kua hawaingilii huo ugonvi ila pembeni wanatuma wanajeshi kwa siri kuingia uko. Nazan tunawaona hao mercenaries waliojaa uko kutoka muungano huo huo wa NATO. (huo ndio mfano wa kuchokozwa gizani)

Yeye akiamua kuwapiga directly kwa kushambulia hayo mataifa, yeye ndio atonekana mgonvi kwasabab hakuna uthibitisho Official wa upande wa pembeni kupeleka kikosi ukraine kwani hizo silaha zinaeza kuonekana kama biashara au ile kauli yao wanayosema "Tunampa Ukraine silaha ili ajilinde mwenyewe"... Huezi kuwasikia kudeclare wazi kua wanataka kumsaidia directly kupigana na jeshi la Mrusi.

So naona wao Russia wanaamua kuwafinya taratibu hao hao walioingia uko. Kama huna chuki na warusi basi watizame vizuri wakifanyacho uko Ukraine. Huezi kulinganisha na Cruelty ya NATO.

Most waliamini Russia akiingia uko atafanya kama wanavofanya wao. Ambao kuua watu lak 2 kutafta mtuhumiwa mmoja waliompa jina la ugaidi kwao ni Ushindi... Tofauti na Russsia ambae yuko radhi kupoteza wanajesh wake ila sio kusababisha Casualties kubwa kwa Civilians.

Saaa zaidi utakuta ule ushabiki hum tuko mlengwa wa kusujudu n kusifu hizi mbuzi za west ambao toka 31March mpaka 31October Miezi saba wako wanahenya na Libya chini ya Gadafi... Yani Libya Vs USA + NATO... ila Ukraine + NATO Support ya chini ya Carpet Vs Russia ndani ya Mwezi wanatwambia Russia mdhaifu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Stugna domestic (1 piece), Russian box (1 piece). The end is a little predictable
 
Russian helicopter, some spare parts, xs where and when, part 2
 
Dah!
Huyu jamaa NATO hawamuwezi,
Ni Bora wakaachan nae TU ajifanyie anavyotaka.
Hawa jamaa kwenye sayansi ya vita NATO watasubiri.naposema huyu jamaa namaanisha Urusi.
Kombora la kuweza kudungua satellite,hii si hatari hii,maana yake anaweza kuwakatia mawasilaiano wakati wowote.
Wasiwasiliane kwa internet,simu,redio.
Wasiangalie TV,
Mawasilaiano ya kijeshi watakatiwa.
Aisee bado wanataka vita na Russia?

Wakati S400 iko sokoni inatesa,
Imekuja S500,
Wakiwa hajui Nini Cha kufanya wameletewa S550.
Kibaya zaidi wa wanajiuliza jinsi ya kuidhibiti hypersonic Huku wanaletwa ma S 400,500 ,550 ambayo yatawafanya wasiweze kurusha hata ndege moja,kombora moja,wala drone moja.
Russia sio wa Dunia hii,Hawa wapinzani wao ni Alliens TU.
 
Maandalizi ya vita vya kemikali na biologia???
Sasa unadhani nani atapona? Unaweza kuelekeza hiyo kemikali upande fulani, nature nayo ikaleta kimbunga kurudisha kwenu hapo unakuwa umefanya nini
 
Wachina wenyewe Wanaogopa sanctions sembuse nchi maskini kama Russia.
 
ZTE yupo japo sio kama mwanzo na Huawei tayari washatengeneza case maalum zinazoipa simu uwezo wa 5G pia watarudi na Kirin chipset miezi michache ijayo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…