Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Dah ila abramovich n soldier sana yule mtu, baada ya michongo yote ile tangua kuanguka kwa USSR yeye amesurvive, kina Berezovsky, khodokovorsky,badri na wengineo walishushiwa moto na putin yeye akasurvive, sasa hivi oligarchs wote wa russia wanawekewa vkwazo na kupgwa marufuku EU yote yeye still anatry kusurvive kwa kujihusisha na peace talk kwa kuwa kiunganish kati ya ukraine na kremlin, kuna tetes ukrane wamemuomba biden huyu jamaa asiwekewe vikwazo kwanza, huyu mwamba yuko level nyngne,
 
kiev urusi imeizingila na vitongoji vyote vipo chin ya urusi mapigano ya mtaani kama mariupol bado
acha uongo sawa nimesikiliza taarifa ya habari uhuru fm saa 6 mchana warusi wamefurushwa hadi nje ya jiji wamejificha kwenye kitongoji kimoja wanajipanga upya btw mji Irpin umerudi mikononi mwa ukraine baada ya mapigano makali na warusi kukimbia
 
Rafiki wa putin bahati mbaya mali zake nyingi ziko ulaya magharibi ulizani atafanyeje? Lazima apambane aweke sawa labda waingereza na nchi nyingne wanaweza kuziacha mali zake
 
Vipi magomed tushayev yuko wapi kwi kwi
huyu kadyrov ni mzushi alpeleka battalion ya kwanza huko Mariupol alchokutana na nacho anajua mwenyew, wanajeshi wa urusi mebidi waendelee tu wenyew huyu na wachechen walobaki wanapiga tu selfie na kufanya PR
 
In Nikolaev, the building of the regional administration was demolished by a missile attack. This was announced by the head of the region Vitaly Kim, without specifying who exactly shot the building

According to Kim, 11 people (eight civilians and three military men) are looking for under the rubble, about 100 people escaped from the building.

At the same time, the Ukrainian official does not directly indicate who exactly shot the nine-story administrative building and made a giant hole in it - the RF Armed Forces or the “valiant” Armed Forces of Ukraine with the national battalions. From here, Vitaly Kim liked to send "hello".
Galip SV Liwagu
 
SIjui wewe pamoja na hao wanaokupongeza una nini kichwani?
Kuhusu Wakhazar ni dhahiri hujui kitu, unawaita "waovu" bila msingi wowote. "Uovu" wa Zelensky ni nini?
Tena unakoroga nadharia ya njama ya Rothschild (aliyekuwa Myahudi, bila uhusiano na Khazer) na Rockefeller (ambaye hakuwa Myahudi, alichukia Wayahudi na kusambaza uwongo juu yao).
Neno "Nazi" haina maana kama ile unayowaza.
Wale wanaoweza kuitwa "Nazi" wako kwa idadi kubwa huko Urusi leo hii (Ukraine wako pia, ni ugonjwa wa kisiasa ulioenea kote Ulaya ya mashariki baada ya ukomunisti).
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…