Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

safi mkuu lazima tujenge hoja zinazojisapoti zenyew km hvyo, ndio maana watu wamejikita kwe hoja za kishabiki ambazo hazithibitishiki kwa namna yeyote, ila hoja za msngi kuhusu pande husika znakwepwa sababu ni ngumu kudanganya sababu watu wanajua historia
 
Kupeleka silaha ukraine,kuiwekea sanctions Urusi Bado si kuingilia vita!Direct provacation ni kuingiza majeshi ya NATO au kuweko no fly zone Ukraine!
Mara ngapi Zelensky ameomba hiyo no fly zone?Majibu ya NATO kwenye Hilo yamekuwaje?
Mkuu sorry ! Huoni kupeleka kwao siraha na vinginevyo in kama kunamuimarisha kijeshi Ukraine na ku-prolong vita na pia kupelekea kumgharimu Russia kiuchumi,kisiraha na manpower.
Ukizingatia kuwa moja ya Lengo LA Putin ni demilitarization na regime change(alishawahi kusema wanajeshi wa Ukraine wamtoe raisi madarakani) .
Na kwa ufahamu wako kuingilia kivita no mpaka ufanyaje ? Maana inaweza kuwa direct na indirect (maana inabaki palepale kuingilia) na Putin hakusema kama lazima iwe direct ndio atarespond.
*kumbuka US anampiga mikwara China ili asiingilie vita(asimsaidie Russia kisiraha)
Pia huoni kama hizi siraha zinampa nguvu mpya Ukraine aweze ku-regain baadhi ya maeneo kama Khakiv ,Mykolaiv na Kiev(Iprin) japo siyo kwa kiwango kikubwa.

# Luna watu humu wanasema kuwa bila misaada ya Nje Ukraine asingeweza kuhimili majeshi ya Russia till now..hii inaonyesha namna siraha hizi zinavyoengeza nguvu mpya katika vita hii(siyo maelezo yangu Bali ni ya baadhi ya members humu jukwaani)
 
Upepo unazidi kubadilika, Putin ameitia Urusi aibu kubwa sana maana ndio taifa lililokua linategemewa kama mbabe wa Marekani, sasa dunia tunabaki bila balance of power.....
Wakomboa mji wa Trostyanet

 
Ngoja nikuache,you are not worth arguing with me,maana hata kufundishika hufundishiki.Ungekuwa unajua ungejua kwamba Rothschild au Rockefeller sio Wayahudi.Hivi seriously huoni kwamba Zelensky ni impostor wa NWO.Hivi kweli ni assume kwamba hujui Nazism or it's present day analogy of Zionism ni evil ideologies.You are too ignorant.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…