Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Upuuzi huo kuhusu "Khazarian Mafia" ni ujinga wa ajabu pasipo na msingi wowote. Kumbe ulitangulia kuileta JF kwenye Desemba iliyopita, wakati ule hakuna aliyetaka kuisoma, thread ilikwisha baada ya siku 3. Kwa hiyo unajaribu kufufusha ujinga katika thread hii ya Ukraine.
Hujasoma chochote wala kuchungulia chochote ila copy-paste yule Mmarekani Preston James
anayefuata mtindo unaojulikana: piga kelele kwa madai ya ajabu, utapata wateja kadhaa kwa kitabu chako na wajinga wa kutosha watakaotembelea tovuti yako ili upate riziki kutoka matangazo ya kibiashara kwenye kurasa zako.
Huyu Preston James anasambaza ujinga kupita kiasi, kama vile eti Wanazi wa Hitler walikuwa na vyombo vya nati-gravity kutoka Aliens , halafu kwamba Putin amafunga mkataba na Alien ETs (the Tall White Nordics) , Hitler hakufa Berlin mwaka 1945 . . . . .
Naelewa kwa nini Bwana huyu anaandika hayo, ni riziki yake. Wewe kama unayaamini, basi nakushauri umtafute daktari haraka maana unahitaji tiba.
 
Blocking Facebook* and Instagram* in Russia will cost Meta** $2-2.2 billion per year.

Analysts of the Skolkovo-NES Center for the Study of Financial Technologies and the Digital Economy came to this conclusion, writes Forbes.

According to official reports, Meta earns approximately $20 per European user. Multiplying this number by the number of social media audiences in Russia, the researchers obtained the approximate losses of the company from blocking.

Approximately $1.3 billion per year will be the loss from blocking Facebook, which had about 66 million users in Russia, another $823.6 million falls on Instagram.

* Meta product, activity recognized as extremist, banned in Russia by decision of the Tverskoy Court of Moscow dated 03/21/2022.

** Activities related to the implementation of Instagram and Facebook are recognized as extremist and prohibited in Russia from 03/21/2022.
Galip SV Liwagu
 
Tetesi, Putin Mkuu wa majeshi na waziri wa ulinzi Russia wamehamia kwenye mahandaki ya siri Siberia. Kuna tetesi western wakijichanganya mzeebaba kutoka huko anaweza kufungulia makombora ya nukes
Kwamba Western wana makombora ya mihogo?
 
Khan afungashiwe virago.
 
Waziri wa Ulinzi wa Russia amesema Russia inafuatilia kwa umakini zaidi kauli za viongozi wa baadhi ya nchi za NATO wanaotaka kupeleka ndegevita na mifumo ya ulinzi wa anga huko Ukraine. Kama wakipeleka vitu hivyo, basi Russia itajibu kwa vitendo nchi hizo.

Waziri huyo kaongelea maendeleo ya operation maalumu ya kijeshi ya Russia kwenye uwanja wa ugenini (Ukraine). Amesema hatua ya mwanzo ya operesheni hiyo imekamilika, na malengo makuu ya hatua hiyo ya mwanzo ilikuwa ni kudhoofisha nguvu za kijeshi za Ukraine, ambayo yamefanikiwa. Sasa majeshi ya Russia yanaenda kujikita ktk kufikia lengo kuu (primary objective) la opereshenihiyo, ambalo ni kuikomboa Donbas.

Anasema ktk hatua/phase hiyo ya mwanzo, majeshi ya Ukraine yamedhoofishwa vibaya zaidi:
  • Majeshi ya Russia yameweza kulidhibiti anga la Ukraine (kumbuka Zelensky amekuwa akiomba NATO izuie mashambulizi ya anga ya Russia kwa kuseti No-fly Zone).
  • Jeshi la anga la Ukraine na mifumo yake ya Ulinzi wa anga imeharibiwa vibaya na kuachwa nyang'anyang'a.
  • Ndegevita 123 kati ya 152 za jeshi la Ukraine zimeteketezwa.
  • Helikopta 77 kati ya 149 za jeshi la Ukraine zimeangamizwa.
  • Mifumo ya Ulinzi wa anga 152 kati ya 180 ya Ukraine iliyokuwa ikifanya kazi imeshambuliwa na kuteketezwa.
  • Jeshi la majini la Ukraine pia limeharibiwa mifumo yake ya bara na baharini.

Operesheni ya kijeshi ktk ardhi ya Ukraine itaendelea mpaka ifikie malengo yake

=========

 
The talks between the Russian and Ukrainian delegations in Istanbul are completed. Russian chief negotiator Vladimir Medinsky about their outcome:

[emoji843]the talks were constructive;

[emoji843]Russia will consider Ukraine's proposals, they will be reported to President Vladimir Putin;

[emoji843]the Putin-Zelenskyy meeting is possible as soon as the peace agreement is prepared. It should be held simultaneously with signing the treaty by foreign ministers.

Sent from my SM-A022F using JamiiForums mobile app
 
Naona unaupiga mwingi kiongozi.
 
Ila Marekani inatia huruma Sasa hivi,angekua ni mtu tungesema kachanganyikiwa.
Halafu Haina uso wa aibu.
Hapo mwanzo waliikataza Uturuki isinunue S400,Leo inaitaka iipeleke Ukraine.
Aisee si Huwa tunaambiwa USA ni super power?
Sasa kwa Nini asipeleke vifaa alivyotengeneza yeye?.
Mbona St Juvelin kapeleka?
Kwa mawazo yangu,anaogopa kuwa hizo Thaad zake zitakua overcomed naakombora ya Urusi halafu atapata aibu sana na nchi nyingi zitaacha kununua silaha zake na kwenda kununua silaha za Urusi.
Yaani anaogopa kuonekana silaha ngao zake zinazidiwa na za Urusi.
 
Mrussi kapanic kuskia jet fighters zinatumwa. Very soon Moscow kuna waka moto😁
 
Waziri wa Ulinzi wa Russia amesema, Russia inaendelea kuwa bize na ugawaji wa misaada ya utu kwa raia wa Ukraine pamoja na wananchi wa Jamuhuri za watu wa Luhansk na Donetsk (ambazo zamani zilikuwa ktk majimbo ya Ukraine).

Waziri huyo ktk kufafanua hilo amesdma kuwa operesheni 684 za kugawa misaada ya kibinadam tayari zimeshatekelezwa na Russia, na tani 6,079 (sawa na kg 6,079,000) za misaada ya kibinadamu (chakula, madawa n.k.) tayari vimeshasambazwa kwenye maeneo 210.

Huu si ndio ujirani mwema, au sio wajameni?!

======

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…