Huyo mwenye matendo safi maana yake ni kwamba ana Yesu hata bila ya yeye kujua.Sawa boss, ila anayehukumu si wewe Mathanzua na sababu ww ni mkristo utakubaliana na mm kuwa kila mtu atahukumiwa kwa Matendo yake, mwenye kipimo cha hayo matendo yupo hivyo tusipende sana kumsemea. Kuna watu vijiji vya India, China, Misitu ya amazon huko hata YESU hawajawahi msikia na wamelala mavumbi huenda wakiwa na matendo safi mbele ya mtoa hukumu.
Kasema kwa sarafu yake ama gold kwa nchi zisizo rafikiSasa kwa bahati mbaya wateja wake hawana hizo sarafu na hata mkataba walioingia hausemi watalipa kwa Ruble au dhahabu.
Mkuu huwa unanifurahisha na lugha unayoitumia katika tweets zako!niliposoma marengo badala ya Malengo nikaacha kusoma gazeti lako all in all jifunze kuandika kiswahili vizuri
ngoja nipate muda nitasoma hili gazeti
Najua mkataba haukua hivyo, ila mkataba sio bible au Quran. Kwa situation ilivyo Russia hana cha kupoteza ulaya, ameanza kutafuta alternative ya wateja, ni wao sasa wateja kujiongeza. Vita ya uchumi haina mbabe, labda kwa shithole countries.Sasa kwa bahati mbaya wateja wake hawana hizo sarafu na hata mkataba walioingia hausemi watalipa kwa Ruble au dhahabu.
Luna mchangiaji mmoja humu kaja na mfano mwepesi kasemaje kama Palestine (Hamas) wanajua kuwa Israel inanguvu kuwazidi na inafanya uharibifu mkubwa uhasama ukianza si nao wangekubali tu(kutawaliwa) ili yaishe na uharibifu na vifo visiwepo!Zelensky ali bet maisha ya wenzie, kuna kitu amejifunza juu ya unafiki wa west. Taiwan ajifunze kitu pia.
Yajayo Yana furahisha kinacho enda kumpata Putin itakua n funzo kwa dunia
Tusivutane, tutaiona karibuni!Kasema kwa sarafu yake ama gold kwa nchi zisizo rafiki
Na kama itakua ishu siriaz nahisi nisuala la muda tu kabla yahao wateja wake kupata sarafu yake
Mimi kweli ila kwa gharama kubwa!Itategemeana na Russia,kama ataona plan yake sio operation kuwa ya muda mrefu basi anaweza kubadili strategy take kijeshi na bado akafanikisha dhumuni lake maana uwezo wa kijeshi wa kuamua hilo anao.
Najua mkataba haukua hivyo, ila mkataba sio bible au Quran. Kwa situation ilivyo Russia hana cha kupoteza ulaya, ameanza kutafuta alternative ya wateja, ni wao sasa wateja kujiongeza. Vita ya uchumi haina mbabe, labda kwa shithole countries.
Kasema kwa sarafu yake ama gold kwa nchi zisizo rafiki
Na kama itakua ishu siriaz nahisi nisuala la muda tu kabla yahao wateja wake kupata sarafu yake
Sawa ukipenda kumpa Putin taji la ushindi, bila shaka litamfariji sana wakati uchumi wake unaendelea kuporomoka.
Ilhali hakuna aliyekuwa tayari kupokea Ukraine katika NATO kabla ya uvamizi, utaiona kama hekima kubwa kwa Putin kuchinja maelfu ya vijana wake hadi Zelensky anasema mwenyewe kwamba hataendelea kutafuta nafasi ya kujiunga na NATO?
Na bila shaka unaiona kama hekima kubwa ya Putin kuimarisha NATO pamoja na nafasi ya Marekani katika Ulaya?
Sawasawa...
Pia mkuu ulimuelewaje Putin aliposema moja ya malengo ya operation ni demilitarization and denazification( slidai kuwa uongozi uliopo ni wakinazi mamboleo na wauza unga) .Mk
Mkuu kumbuka mwanzoni mwa vita Russia walishawahi kusema/kuwaambia wanajeshi wa Ukraine wamuondoe Zelennsky Ila hawakumsikiliza.(means regime change) .
Mkuu usiwe msahaulifu, nakukumbusha!
Russia Federation....Video: Hifadhi ya silaha za Ukraine ikipelekewa moto mkali
Mkuu hapa hatujadili ninani yuko sahihi au nani asiye sahihi.Sawa ukipenda kumpa Putin taji la ushindi, bila shaka litamfariji sana wakati uchumi wake unaendelea kuporomoka.
Ilhali hakuna aliyekuwa tayari kupokea Ukraine katika NATO kabla ya uvamizi, utaiona kama hekima kubwa kwa Putin kuchinja maelfu ya vijana wake hadi Zelensky anasema mwenyewe kwamba hataendelea kutafuta nafasi ya kujiunga na NATO?
Na bila shaka unaiona kama hekima kubwa ya Putin kuimarisha NATO pamoja na nafasi ya Marekani katika Ulaya?
Sawasawa...