Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

The Oligarchs , Military and his Cronies see Putin now as a Liability...
  • Military operations in Ukraine are stalled or being scaled back and drastically reduced.
  • Russian soldiers have low morale poor results in the war zone.
  • The Oligarch Assets are seized or frozen.
  • The Russian People see him as a Liability.
  • Crippling Sanctions are affecting and Crippling the Russian Economy.
  • Even best friend , Xi Jinping , is sitting on the fence.
  • President Biden ( read NATO ) want him out of leadership in Russia.
  • NATO is more united and prepared for conflict than it has ever been.
 
Watakoma,ingawa kusema za ukweli wajeremani hawana shida kabisa na Urusi,wanalazimishwa na Jambazi Marekani.
NDo maana wana mradi wa pamoja na Urusi wa Nordsream2
 
Inategemea jinsi unavyoona majimbo hayo yanayotambuliwa kama "jamhuri".
a) wananchi wanagandamizwa na serikali zao (Georgia, UKraine) hivyo wanatafuta uhuru wakiona uhuru utapatikana wakijiunga na Mama Urusi

b) jinsi ilivyo mahali pengi kuna watu kadhaa ambao hawaridhiki serikali ila hali ni tofauti wakati nchi jirani inaingilia kati na kuwahamasisha kushambulia serikali, kuwapatia pesa na silaha, kutuma askari wanaojua lugha ya eneo wakivaa nguo raia.......

Je ilikuwa ipi machoni pako? Angalau jeshi la Urusi lilingia rasmi kila safari (Georgia na Donbass) kwa madai eti wanahitaji kulinda watu raia dhidi ya unyama wa serikali husika.....
 
In Switzerland, the bank froze the account of Evgeny Chichvarkin.

The businessman himself told Reuters about this. The businessman did not specify which bank in question.

According to Chichvarkin, the blocking occurred due to the fact that he opened an account with a Russian passport.
Galip SV Liwagu
 
Viva Putina,viva Lavrov,viva mediedev,viva shoigu,viva Russo.
 
⚡️Full text of Medinsky's statement on negotiations with the Ukrainian delegation:

Yesterday, the Ukrainian side for the first time recorded, in writing, its readiness to fulfill a number of important conditions for building normal and, I hope, good neighborly relations with Russia in the future.
Galip SV Liwagu

Let me remind you that after the coup d'état that took place in Ukraine in 2014, Russia put forward these demands for years to both the Kiev regime and its patrons, primarily the United States. Russia offered negotiations, the conclusion of various kinds of agreements that were supposed to guarantee both the security of Ukraine and the protection of Russia's national interests.

All these demands were ignored for years, and from Ukraine, more precisely, from the Ukrainian territory, NATO also created an anti-Russian foothold for years.

Ukraine's entry into NATO, the creation of NATO military bases on its territory seemed to be a matter already resolved. The only question was time.

I will note, and this has already been proven, that purposeful work was also carried out to create biological weapons. Moreover, the issue of Ukraine's acquisition of nuclear weapons was also thrown into the public sphere.

All these years, the Kyiv regime has carried out an open genocide against the inhabitants of Donbass. There is no evidence or evidence for this. There is irrefutable evidence that Kyiv was planning to launch an offensive against the Donbass in the near future, and then Russia would have had to stand up for tens and tens of thousands of our Russian citizens living there anyway.

Under these conditions, Russia was forced to launch a special military operation.

Yesterday, the Kiev authorities, for the first time in all previous years, declared their readiness to negotiate with Russia. They gave us the principles of a possible future agreement, written down on paper, which provide for:

  • refusal to join NATO, fixing the bloc-free status of Ukraine;
  • renunciation of nuclear weapons and other weapons of mass destruction;
— refusal to deploy foreign military bases and military contingents;
- an obligation to conduct military exercises only with the consent of the guarantor states, including Russia.

That is, Ukraine has declared its readiness to fulfill the fundamental requirements that Russia has been insisting on for all these years.

If all these obligations are met, then the threat of creating a NATO bridgehead on Ukrainian territory will be eliminated.

This is the essence, meaning and importance of a document previously agreed upon at a sufficiently high level.

However, negotiations, work continues.

I would like to emphasize that the principled position of our side regarding Crimea and Donbass remains unchanged.
 
Kama Ukraine anataka kujiunga NATO kwa kuona kuwa inaenewa na Russia pia ni sahihi kwa maelezo yako.

Vipi kuhudu Chechnya maana nao walikuwa wanataka kujitenga kama point ni kugandamizwa (maana anayetetea wanaoonewa yeye pia anaonea wengine).
 
Watakoma,ingawa kusema za ukweli wajeremani hawana shida kabisa na Urusi,wanalazimishwa na Jambazi Marekani.
NDo maana wana mradi wa pamoja na Urusi wa Nordsream2
Hata walikuwa na miradi zaidi za gesi na mafuta. Pia mengine: tangu 1990 Jeshi la Ujerumani lilipunguzwa kutoka askari 500,000 kuwa 170,000; idadi ya vifaru vyake kutoka karibu 4,000 hadi 225 leo.
Trump aliwahi kutukana Ujerumani eti inahitaji kuonegza nguvu yake lakini ilikuwa bure.
Baada ya mashambulio ya Urusi Ujerumani iliamua sasa kuwekeza bilioni 100 katika jeshi lake. Itanunua silaha nyingi na kuimarisha jeshi lake.
Sababu si Marekani. Sababu ni Putin. Na wananchi walio wengi wanaunga mkono.
Mfamo mmoja tu kuhusu matokeo ya mchezo wa Putin.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…