Reborn Ktb
JF-Expert Member
- Mar 14, 2021
- 6,906
- 9,731
Aandae RuboNyie nyie mmesikia huko [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]... Hii movies sijui inaelekea wapi [emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
[emoji96] US removes Russian fertilizer from US sanctions list to avert food shortage crisis.
[emoji96] Marekani yaondoa mbolea ya Urusi kwenye orodha ya vikwazo ili kuepusha tatizo la uhaba wa chakula.
Sasa najiuliza watailipiaje [emoji849]
mk254FIFA did not consider exclusion of Russia
At the Congress of the International Football Federation held in Doha, this issue was not raised.
At the same time, for various violations, the federations of Pakistan, Zimbabwe and Kenya were deprived of membership.View attachment 2170494
Unaongelea nn hapa? Una taarifa yoyote ambayo umeona Russia ameingiza meli ya mafuta toka taifa jingine? Sasa nenda USA hapo wanaiport Crude Oil toka Russia tena hapa karibuni wameiport kwa wingi sana toka vita ianze ili wawe na akiba ya kutosha ya mafuta.USA is the biggest oil producing nation, Russia is third. America and OPEC can meet the EU energy demandView attachment 2170848
Uungwana tena ?Putin ni mtu muungwana sana narudia Tena na Tena kukuambia.
Ila inahitaji darasa refu.
Wewe sidhani kama umewahi kuhudhuria hata mafunzo ya mgambo.Uungwana tena ?
Hivyo vifo vinavyotokea huko Ukraine ni uungwana huo ?.... Vipi kuhusu anavyowatendea wapinzani wake kisiasa mf Alexis Navalny ?
[emoji23][emoji23][emoji23]
Sio kulipaje. Ningekuwa mimi ndio Putin ndio siwauzii kabisa.Nyie nyie mmesikia huko [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]... Hii movies sijui inaelekea wapi [emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
[emoji96] US removes Russian fertilizer from US sanctions list to avert food shortage crisis.
[emoji96] Marekani yaondoa mbolea ya Urusi kwenye orodha ya vikwazo ili kuepusha tatizo la uhaba wa chakula.
Sasa najiuliza watailipiaje [emoji849]
Anayehatarisha usalama wa Russia ni NATO zaidi kuliko Ukraine.Wewe sidhani kama umewahi kuhudhuria hata mafunzo ya mgambo.
Ngoja nikusaidie kitu kimoja. Kwenye upande wa National Security ni nchi kwanza mengine baadae. Yeyote anayehatarisha usalama wa nchi na national interest must be eliminated.
[emoji23][emoji23][emoji23]
Kuna siku kadhaa uko nyuma tulisema Russia kaonesha utulivu wa hali ya juu kwenye hizi sanctions anazopewa. Na tukasema kua Western wanakurupuka mnooo, Russia hajibu sanctions papo hapo mambo yote yako planned kwasabab sio mara ya kwanza Russia kupokea vikwazo.
Tukawauliza tu swali dogo kua ka kweli Western wamezamilia kufinya mifereji ya fedha kuingia Russia mbona hawakati Gas ambayo wanailipia pesa ndefu kila uchao. Wakashupaza tena shingo etii ohh Russia ana njaa mwambieni aifunge sasa kama ana jeuri hiyo.
Hapa ndio tuone hizi njemba shabiki za western na wasi hata kama wanaeza kuongoza vizuri affairs za familia achilia mbali jamii zinazowazunguka. Sasa kama angekurupuka kuikata hii ruble ingepanda vipi thamani na angenufaikaje [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]... Only Genius, Healthy and Smart mind knows well nini Putin anafanya.
Kaishi na vikwazo zaidi ya 2700 yet ni wa pili kwa military power and eleventh world biggest economy duniani. Tukasema tena Putin He's so smart haezi kurupuka kufanya jambo hivi hivi. Toka 2014 kakaa anawachora tu kwa kuinamisha kichwa chini wakajua washamueza.
Watoto wa USA na Western kwa ujumla tawi la JF wakashupaza shingo. Na sio kosa lao bali uwezo duni wa kufikiri walionao. Unaowafanya kuona wote walio-outsmart ni wehu wajinga hawajielewi. Ingawa hii nayo ni sifa ya mpumbav ya kujifanya kujua kuliko wengine...
Wakaenda mbali wakaanza kuwafananisha Russia na Marehem dokt Shika wa 900 itapendeza [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Guys Russia ni home of Resources, China ni nyumba ya Viwanda. Europe na USA ni soko tu.
Kariakoo hawalimi chochote... Wanafanya import kutoka sehem tfaut tfaut. Ukimzuia mkulima asilete chochote sokon atatafta soko sehem zingine na wahitaji watamfata huko huko aliko... Kitakachotokea ndani ya soko ni upungufu wa bidhaa hivo mfumuko wa bei, watakaoathirika zaidi ni wanunuzi wa kariakoo sio mkulima shambani.
Mkulima mpaka kufikia hatua ya kuuza maana ake anavyo vya kutosha hivo anavyoviuza... Natural resources ni Natural as its name inajionesha huezi ziunda tu from nowhere we ain't GOD. Ila soko unaeza lianzisha sehem yoyote mahala popote... Mfano mduchu tu ka huo vijana wa kimagharib hawakuliona hilo.
Wakabaki wanashangilia wakiamini wazungu hawakosei, na sie wabongo ni viazi tu hatuna uwezo wowote wa kuhoji matendo yao. Haya sasa sa hivi hawa apo tunawaona wanavyohaha... Na huo ni mwanzo tu, Mengineyo yaja taratiiiiiiiiibu [emoji847][emoji847][emoji847][emoji847][emoji847]
Tuendeleen kutafna Popcorns [emoji3577]
Putin pitia na huku[emoji779]️Putin signed a decree on a new procedure for paying for Russian gas with unfriendly countries in rubles
Western countries will have to open ruble accounts in Russian banks to pay for supplies from April 1. If buyers do not comply with the new payment terms, gas supply contracts will be stopped.
RUSSIA KABANA KENDE ZAO KISAWA SAWA.
Nyie nyie mmesikia huko [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]... Hii movies sijui inaelekea wapi [emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
[emoji96] US removes Russian fertilizer from US sanctions list to avert food shortage crisis.
[emoji96] Marekani yaondoa mbolea ya Urusi kwenye orodha ya vikwazo ili kuepusha tatizo la uhaba wa chakula.
Sasa najiuliza watailipiaje [emoji849]