President of China
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 34,781
- 94,550
Tutajibu kwa nguvu. Ndio inaitwa escalation hiyo. Ni mbinu za kivita, unatafuta sababu ya ugomvi yaani unajipiga mwenyewe kisha unamtwanga ngumi kama zote adui.Leo tumewapiga kwenu
wnapoelekea hawa watakuja kupigwa little boy second time pasawazishwe waanze tena[emoji627][emoji635][emoji427] Tokyo will classify the disputed Southern Kuril Islands as illegally occupied by Russia and an "inherent" part of Japan in its Diplomatic Bluebook for 2022, Kyodo news agency reports, citing a draft of the document.
The designation for the islets, known in Japan as northern territories, will appear for the first time since 2003, the report read.
usiwapangie cha kufanyaAnayehatarisha usalama wa Russia ni NATO zaidi kuliko Ukraine.
..ila Ukraine amekuwa akihujumiwa na jirani yake kila anapochukua uamuzi/njia anayoona inamfaa hasa isiyompendeza jirani yake.
Mwaka 2014 raia wa Ukraine walipomuondoa Yanukovych kwa amani,Jirani yake alijibu kwa kumpora Crimea kibabe.....akaona haitoshi akaanzisha uasi/Vita huko mashariki mwa Ukraine kwa mgongo wa raia wa Ukraine wenye asili ya Urusi.
Lakini huyu jirani ana majirani wengine Latvia, Estonia , Lithuania ambao ni wanachama wa NATO ila hawajawahi kuvamiwa wala kumegewa ardhi ila Ukraine ambaye hayupo huko NATO kavamiwa kabisa.
Hapa Ukraine anaonewa tuu kwa kisingizio cha usalama wa nchi.
Ndugu yangu twende kwa fact technology gani mchina hana? Usirudie ulizosema maana ni uongo, na kwenye swala la uchumi aliyestable na aliyeweza kupambana kwa haraka na COVID-19 ni mchina hakuna mwingine dunia ilivyo leo sio kama jana. TUSIDANGANYANEDunia hii tuliyopo na miaka hamsini mbele itaendelea kutawaliwa na technoogia ya mzungu. Huawei yupo mbele kwenye technologia ya 5G ila ataenda nayo wapi wakati kafungiwa kwenye soko lenye hela? Uchumi wa nchi za magharibi unaruhusu watu kununua luxury tofauti na uchumi wa china ambao bado haujastabilize. Serikali ya china ikiacha kuusapoti uchumi wake kwa kutokupump hela nyingi kwenye ujenzi na bond ule uchumi wao utapungua asilimia za kuongezeka. Kwa sasa bado kwenye technologia china hajafika na ndio maana haichukui Taiwan kwa nguvu. Siku china akifika unapopasema Xi anatuma jeshi fasta kuichukua Taiwan maana hataogopa sanctions kwenye eneo lolote. Xi ni katili kupita maelezo ila bado anacalculate risk maana anajua hana uwezo bado kwenye higher technology. Bado uwekezaji ambao marekani ameufanya kwenye vyuo vyake ni mkubwa kiasi kwamba ukiwa tu genious ukienda kusoma kwao mara nyingi hurudi maana watakung'anga'nia.
Mkuu hebu tenga muda utuandie vizuri kuhusu hii mada, naona taarifa nyingi za pro Russian wa hapa Tz zina ujinga mwingi.Ningekuwa hapa tokea awali ningetoa somo si kwamba vita hii na impact yake nimesimuliwa bali nimeona pande zote mbili! Russia ana tabu sana ninaishi Russia unapata mwaka wa 7 sasa
Russia anadispose silaha za zamani za enzi za Soviet Union. Kwa upande wa teknolojia ya silaha, Russia yupo mbele zaidi, issue ni uchumi mdogo ukilinganisha na USA.Russia ana silaha gani bana? acheni propaganda za kitoto, hii vita imemuumbua sana Russia na silaha zake zilizochoka mbaya.
Peresvet (laser weapon)
Ndude hii wakisikia Wanato wanatetemeka.
Hapa jukwaani tuliambiwa anga la Mrusi linalindwa kiasi kwamba Ukraine hawezi hata kurusha jiwe huko!Fire in Belgorod due to an airstrike by the Armed Forces of Ukraine
Since morning, photos and videos of a fire at an oil depot in Belgorod have been published on social networks. Now he is being eliminated by the EMERCOM brigades, who share footage from the scene. The staff of the department was evacuated, two people were injured.
The fire, which has been assigned an increased rank of complexity, occurred after a strike from two helicopters of Ukrainian troops that flew into Russia at a low altitude, said the governor of the Belgorod region Vyacheslav Gladkov.
Belgorod is located near the Russian-Ukrainian border. This is the second state of emergency in the Belgorod region in a week. Earlier, the fire broke out at the ammunition depot.
Kuna mdau alisema Russia hana laser weapon nikaona watu wanaizungumzia Russia ila hawaijui basi walau wangekuwa wanagoogle tu mambo yasiwe weapon. Hizo energy weapon sio mchezo ni hatari sana tena sana...kama vita isipopiganwa sasa kati ya NATO na Russia basi Russia itafufua project zake nyingi za zamani na itaunda madude mapya
US hatakaa amsahau PUTIN kwa kumdhalilisha kiasi hicho mbele ya umma wa DUNIA nzima.
#Fear the Bear