Urusi kaingizwa mkengeMaswali ninayojiuliza leo baada ya kusoma tetesi na propaganda kadhaa kadhaa:
Europe imekubali kulipa gesi kwa pesa ya Russia au Mrusi kapoteza soko?
Anga la Urusi linaudhaifu wa kuweza ruhusu ndege za kivita za adui [emoji848]?
WANYUKWEEE!....Lipua huo Mji wao wanaoupendaHaya endelezi ngebe tumeonesha twaweza ingia hadi kwenu, mkileta ujinga tutawalipua hadi moscow
Nimeshakupa LIKE yako mkuu, hunidai.Hii Russia yenye vifaa vya kijinga ambavyo vinalipuliwa kila siku?Ukiondoa nuclear stockpile Russia uwezo wake wa kijeshi unawalakini[emoji848]
Hahaha. Hili linawezekana?ukraine imesema urusi imelipua mabomba yake(ndani ya urusi) ya mafuta ili kuhalalisha na kuendeleza vita
Waache kidogo wajifurahishe. Maana huzuni ilitanda na walikimbia jukwaa. Ikifika saa nane mchana watanuna wote.ukraine imesema urusi imelipua mabomba yake(ndani ya urusi) ya mafuta ili kuhalalisha na kuendeleza vita
Mungu alifanya kazi nzuri sana.God bless putin na sisi tanzania tulipata putin wetu ila mungu alimpenda zaidi
Kuna mwehu Mmoja nilimwambia aniondolee ujinga eti linakaza shingo subiri ifike midnight Urusi atakiona kutoka NATO na EU.... na lipo kisii tu Hapo sasa najiuliza midnight bado tu .... Yaani Kuna watu VICHWA vikubwa kama BOGA AKILI ULEZI ...Waache kidogo wajifurahishe. Maana huzuni ilitanda na walikimbia jukwaa. Ikifika saa nane mchana watanuna wote.
Poland ana machungu sana na Urusi.[emoji298]️Poland to block coal imports from Russia.
“We cannot wait any longer for the EU reaction on the issue,” said Polish government spokesman Piotr Muller. “We are aware of the risks.”
Almost 20% of Polish coal comes from Russia.
Nitasema Kwa uchache Hilo la pili!Mifumo ya ulinzi ya kutumia Radar,Kuna limitation ya altitude!Ukiangalia hizo helcopter zilikuwa zinaruka almost level ya majengo marefu!Kwa mantiki hiyo ni vigumu kuzispot!Maswali ninayojiuliza leo baada ya kusoma tetesi na propaganda kadhaa kadhaa:
Europe imekubali kulipa gesi kwa pesa ya Russia au Mrusi kapoteza soko?
Anga la Urusi linaudhaifu wa kuweza ruhusu ndege za kivita za adui 🤔?
Yani poland anatamani sana kumpiga mbuzi Putin. Kumbuka Poland inanguvu kushinda Ukraine.Poland ana machungu sana na Urusi.