Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Mimi nimesema demand ya EU per day kutoka Russia!US si anatoa reserve yake Kwa EU kureplace utegemezi Kwa Russia!Sasa 15 bil cubic meters ni chache kulingana na 150 bil cubic meters anazotoa Russia!
Demand ya EU per day kutoka Russia ni barrel mil 100+!
Mfumuko wa bei hautakwepeka iwapo Russia hatauza gas yake!US hawezi kureplace gas ya Russia anayowauzia EU!
 
Mmeanza conspiracy theories, video evidence ndo hizi.


Nyingine
 
Maswali ninayojiuliza leo baada ya kusoma tetesi na propaganda kadhaa kadhaa:

Europe imekubali kulipa gesi kwa pesa ya Russia au Mrusi kapoteza soko?

Anga la Urusi linaudhaifu wa kuweza ruhusu ndege za kivita za adui 🤔?
hilo swali lako la pili namimi najiuliza imewezekanaje? Tena nasikia ndege zenyewe ni helicopter! I take it with the grain of salt
 
Reactions: Tsh
Ndo maana mnaambiwa muwache ujuaji wa kijinga. Hio reserve biden ameachilia ni kwaajili ya marekani peke yake
 
Mmeanza conspiracy theories, video evidence ndo hizi.


Nyingine
Tusubiri, hili suala lililotokea ni kubwa tangu kuanza kwa hii operation.

Serikali ya Ukraine watalizungumzia hili punde tu na sii video.

Kwa maana video ina nafasi yake lakini hili suala ni kubwa hivyo mwenye mamlaka ya kuliweka sawa zaidi ni serikali ya Ukraine.
 
Tusubiri, hili suala lililotokea ni kubwa tangu kuanza kwa hii operation.

Serikali ya Ukraine watalizungumzia hili punde tu na sii video.
Hii vita Ukraine bado hajatumia options zake nyingi. Ila pole pole ameanza kujibu mapigo. An eye for an eye
 
Huyu Dmitry Medvedev mwanzo nilikuwa namchukulia poa kumbe nae kauzu atari [emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]....
 
The Russian Defence Ministry has briefed the press on the Ukraine op:

▪️ Lugansk People's Republic units have destroyed up to 40 Ukrainian nationalists, one artillery battery, two infantry fighting vehicles and four other vehicles at night;

▪️ High-precision air-based weapons destroyed 6 Ukrainian military facilities, including five ammunition and missile-artillery weapons depots in four cities;

▪️ The air defence units of the Russian Aerospace Forces have shot down one Ukrainian Mi-8 helicopter and eight Ukrainian drones;

▪️ In total, 124 aircraft and 81 helicopters, 353 drones, 1,839 tanks and other armoured combat vehicles, 202 multiple launch rocket systems, 773 field artillery and mortars, as well as 1,711 Ukrainian Armed Forces special military vehicles have been destroyed during the operation
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…