Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Unataka Benki ya Dunia na IMF watumie Magazijuto kupima ukubwa wa uchumi wa mataifa?
Wewe mkenya unaleta taarifa kutoka Wikipedia unajua maana ya GDP!? and it limitations!?
 

Mkuu umeongea kama Putin hana habar na vijisent vya chip yeye anataka mpunga mrefu[emoji28][emoji28]
 
Vijiwe vya kahawa vinae mambo ... Kila mtu ni much know ..😂😂😂


Huwa nacheka kimoyo moyo
 
PJSC Gazprom is a Russian majority state-owned multinational energy corporation headquartered in the Lakhta Center in Saint Petersburg. As of 2019, with sales over $120,000,000,000, it was ranked as the largest publicly listed natural gas company in the world and the largest company in Russia by revenue.
 
Kuanzia mwaka 2060 hakutakuwa na pesa za dezo ambazo madikteta wengi wamezoea kuzipata kwa muda mrefu kwenye mafuta na gesi bila kusumbua vichwa sana au kutumia akili nyingi. Itahitajika kupata nishati ya kutoka vyanzo vingine ambavyo vinahitaji teknolojia ya juu sana kupata nishati ya kutosha.
Nenda kasome history ya siberia afu rudi hapa. Utakua umepata kitu kuliko kuendelea kubishana na mtu ambaye amelishwa matango pori na West.
 
Maelezo murua kabisa...

Nakuongezea nondo kidogo tu jomba, kua ajue kwa kila tech ina matumizi mahususi. Kila chip wether macro, micro au nano inakuwa designed kulingana na matumizi ya industry husika.

Kwa mfano Chips zinazotumika in medical industries ziko tofauti na chip zinazotumika kwenye telecommunication industries. Ziko tofauti na chips zinazotumika kwenye agricultural machineries na kwingineko.

Requirements kama Processing power, Energy consumption na Cost of production vile vile kwenye industry moja kwenda nyingine zinapishana.

Kwa mfano energy consuption ya sim na kitu kama Gari kwa mfano zinapishana. Na viile vile storage capacity ya enegy that can be carried out with pande zote mbili zinatofautina ukienda mbali zaidi ile computing power zinapishana so huezi tumia chip sawa. Lazima utumie chip inayoendana na matumizi.

Na lengo hasa la nano technology ni Katika jitihada za kutengeneza small devices as possble which are more powerful. As we can see leo hii baadh ya smartphone zikiwa na high processing power kuliko baadhi ya laptop or desktop computer.

Ageuke nyuma aangalie devices with low nodes hasa chini ya 10nm zinatumika kwenye industry ipi? Atakuta ni mobile and telecommunication industries kwa wingi.

Na zaidi Russia hatengenezi Smartphones, hana share yoyote kubwa kwenye telecommunication Industry na demand ya hizo chips haipo kwake haipo.

Na point nyingine ya nyongeza... Hatuezi zungumzia chip au semiconductors bila kutaja softwares zinazotumika ku'comand hizo chips.

Mfano wa kawaida tutolee kwenye hizi sim zetu. Unaeza chukua zaidi ya tano kutoka brand tofauti zikiwa na Chip ya aina moja ila zikapishana performance kulingana na ubora wa softwares ndani yake.

That's why unaeza kutana na Samsung kama S22 ultra, Mi 12 Pro, OnePlus 10 Pro, Oppo Find X 5 Pro with the same snapdragon 8 Gen 1 built in 3nm ila zikaperfom tofauti kabisa.

Unaeza chukua device yenye 108MP Camera ikaenda battle na 12MP na sometime ikazidiwa.. Ko sio what kind of tech ya chips used pekee bali na Softwares vile vile.

Na kwa upande wa softwares Russia ni habari nyingine [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ndio huyu huyu anaetuhumiwa kila mwaka kuhujum matokeo ya uchaguzi ya wababe wa jua linakozama.
 
Makampuni makubwa ya software duniani yote yanatoka USA baadhi ni;
1.Microsoft
2.IBM
3.Google
5.Oracle
5.SAP
 
Uchumi wa Russia ni GDP $1.7Billion, uchumi wa US ni $20.9Billions, Japan ni $5.3B, Korea ya Kusini ni $1.6B, Ujerumani ni $3.8B.
Alisikika mjinga mmoja akisema Russia ina deal na mavitu makubwa makubwa kama rockets.
Kati ya sie na wewe apo nani mjinga... Hivi umekiona ulichokiandika. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Eti Russia ana GDP ya $1.7Billions, US ni $20.9Billions... So unataka kutwambia Mo Dewji mwenye wealth ya $1.7Billions kwa yuko sawa na Pato la taifa la Russia?

Hivi hii gongo mnayokunywa huwa ina Alcohol ya ngapi?

Pato la Taifa ama hii GDP inayokushupaza shingo unaijua maana ake? Unajua maana ya Uchumi? Unaeza tofautisha kati ya Uchumi na pato la taifa? Mna midudu gani vichwani nyie mmh?????????

Duh [emoji119][emoji119][emoji119][emoji119] hii ndo Tanzania....
 
Kama kweli Mo Dewji ana utajiri wa Trillion 1.7$ basi utajiri wake wote ni pato sawa na la Russia linalozalishwa kwa kipindi cha mwaka mmoja.
 
Mkuu umemaliza, ni sawa na mtu anaishi kijijini barabara mbovu halafu anatumia land rover 110 halafu kuna mjinga anamwambia wewe huwezi kuendesha crown athlete😂..

Anaona ukiendesha suv basi huwezi endesha sedans😂

Kumbe kila gari na matumizi yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…