Mtoto wa nzi
JF-Expert Member
- Jun 6, 2012
- 10,781
- 20,059
Wanadanganywa na series za kina Jack Bauer hawa ...We endelea kudownload windows za ku crack na adobe kwenye torrents.
Hizo ndio softwares unazozifahamu kwa level yako na matumizi ya kibongo.
Unafikiri s500 inatumia excel na word.
View attachment 2171924
Hata wenzako wanakimbia kukupa hata like Moja tangu saa nane mchana ... Kwamba wenzako wote PRONATOAMERICA hakuna anayejua haya uandikayo !!!?? Wanaona kabisa hapa huyu mwenzetu Yoda ni kichwa panzi

Mkuu unachangia kwa lugha ngumu sana sometimes embu mjibu kwa reference maana ata sisi wasomaji (mean atupendi kuchangia tunapenda kusoma facts kujifunza) so ukutumia lugha ngumu ivyo inakuwa sio poaJitambe ndungu yangu Leo ni SIKUKUU YENU SIKU YA WAJINGA ..HATUNA BUDI KUKUACHIA NAFASI MJINGA UJITAMBE.
View attachment 2171924
Hata wenzako wanakimbia kukupa hata like Moja tangu saa nane mchana ... Kwamba wenzako wote PRONATOAMERICA hakuna anayejua haya uandikayo !!!?? Wanaona kabisa hapa huyu mwenzetu Yoda ni kichwa panzi
Ambazo ni technology ya USSR/Urusi aliyoiacha Hapo.... Ukiitaa mwehu unakasirika hakika Leo ni Siku ya Wajinga ..wajinga mnajipambanua tu ...katika vinu vyote vilivyivyo Ukraine kipi kemejengwa Baada ya 1991.... Mwehuuu oyeeeeeeeeeI think it high time to restore Ukraine nuclear weapon programs.
Umerudi mzee na mbwembwe zako. Mzee wa nyeto.Hii vita ikiisha wauza mafuta wajiandae kisaikolojia, taratibu mafuta yanatafutiwa mbadala maana wenye nayo wana jeuri. Wale watu wa green energy wanaomtumia dogo Greta Thunberg wataongeza visingizio vya kupunguza fosil fuels. Hata kwa matumizi ya kiraia yasiyo ya viwandani makampuni sasa yanazidi kuona uhitaji wa magari ya umeme na raia watayapokea kukiwepo economies of scale na bei nzuri kwa watengenezaji serious.
Kina Qatar huwa nawafurahia kwa kuwa na sovereign funds za uhakika wanajitahidi kuwekeza sehemu nyingi ila kuna nchi zina mafuta na zinazubaa nayo hazijiongezi sekta nyingi mfano Nigeria.
Ujerumani ikitoka hapa itatafuta alternative ya Russian gas. Walipumzisha mitambo ya nyuklia kiustaarabu wakati ina gharama ndogo za uendeshaji wakang'ang'ania gesi ya Urusi na sasa ni ya lazima kwao. Sasa Russia anayatumia kama leverage itabidi wajitafakari.
Russia tangu ikiwa empire, ikaja Soviet Union na hii Federation huwa unabadili viongozi kwa utata. Tsar Nicholas II na familia yake nzima waliuwawa na Bolsheviks akaja V.I Lenin akafia madarakani kwa utata, Josef Stalin akafuatia baada ya kuwaua kina Leon Trotsky, Stalin akafia madarakani kina Beria na Kaganovich wakabishana na kuuana akaja Nikita Khrushchev. Khruschev akaondolewa kwa njama ya kura za ghafla akiwa mapumzikoni akafuatia Leonid Brezhnev, akakaa sana akaumwa akafa akafuatiwa na Gorbachev. Gorbachev akataka kupinduliwa na team ya watu inaongozwa na makamu wake ila ikashindwa hapo cheo cha makamu wakakifuta. Mwaka huohuo Soviet Union ikavunjika, akafata Boris Yeltsin mpaka 1999 anajiuzuru mwaka mpya. Akafuata Putin ambaye aliondoka kiaina 2008-2012 na sasa bado yupo.
Viongozi wa Urusi hawana transition ya kueleweka. Si ajabu kutokana na hii vita uongozi ukabadilika
Hii vita ikiisha wauza mafuta wajiandae kisaikolojia, taratibu mafuta yanatafutiwa mbadala maana wenye nayo wana jeuri. Wale watu wa green energy wanaomtumia dogo Greta Thunberg wataongeza visingizio vya kupunguza fosil fuels. Hata kwa matumizi ya kiraia yasiyo ya viwandani makampuni sasa yanazidi kuona uhitaji wa magari ya umeme na raia watayapokea kukiwepo economies of scale na bei nzuri kwa watengenezaji serious.
Kina Qatar huwa nawafurahia kwa kuwa na sovereign funds za uhakika wanajitahidi kuwekeza sehemu nyingi ila kuna nchi zina mafuta na zinazubaa nayo hazijiongezi sekta nyingi mfano Nigeria.
Ujerumani ikitoka hapa itatafuta alternative ya Russian gas. Walipumzisha mitambo ya nyuklia kiustaarabu wakati ina gharama ndogo za uendeshaji wakang'ang'ania gesi ya Urusi na sasa ni ya lazima kwao. Sasa Russia anayatumia kama leverage itabidi wajitafakari.
Russia tangu ikiwa empire, ikaja Soviet Union na hii Federation huwa unabadili viongozi kwa utata. Tsar Nicholas II na familia yake nzima waliuwawa na Bolsheviks akaja V.I Lenin akafia madarakani kwa utata, Josef Stalin akafuatia baada ya kuwaua kina Leon Trotsky, Stalin akafia madarakani kina Beria na Kaganovich wakabishana na kuuana akaja Nikita Khrushchev. Khruschev akaondolewa kwa njama ya kura za ghafla akiwa mapumzikoni akafuatia Leonid Brezhnev, akakaa sana akaumwa akafa akafuatiwa na Gorbachev. Gorbachev akataka kupinduliwa na team ya watu inaongozwa na makamu wake ila ikashindwa hapo cheo cha makamu wakakifuta. Mwaka huohuo Soviet Union ikavunjika, akafata Boris Yeltsin mpaka 1999 anajiuzuru mwaka mpya. Akafuata Putin ambaye aliondoka kiaina 2008-2012 na sasa bado yupo.
Viongozi wa Urusi hawana transition ya kueleweka. Si ajabu kutokana na hii vita uongozi ukabadilika
Mtamuua jamani [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mzee unaongelea Office softwares siyo!?
Je unaweza kutuletea Space software, Military softwares etc!?
Mzee unaongelea Office softwares siyo!?
Je unaweza kutuletea Space software, Military softwares etc!?
Hayo mafuta ya US enyewe huko alsaka. Alaska waliuziwa na Mrusi back in the days. Urusi kwa natural resources hajamboUkiwaambia habari za Siberia hawataki hata kusikia, ukiona Putin kaona liwalo na liwe jua anajua Siberia kuna hazina ya kutisha sana ya mafuta na gesi. Tuacheni utani ile nchi imebarikiwa sana kila kitu duniani kipo kwa wingi sana
Umeshawahi kutumiaJames Web Telescope: Darubini kali kwa ajili ya kutazama anga la mbali yaondoka rasmi duniani
Chombo anga kwa ajili ya kusaidia shughuli za kiuchunguzi katika anga la mbali James Web TELESCOPE 🔭 kimeondoka rasmi duniani na kuelekea katika eneo lake la kiuchunguzi huko katika space mile 1500000 kutokea duniani. James Web telescope ni mradi uliutumia zaidi ya trillion 22.3 na kuchukua...www.jamiiforums.com
Umeshawahi kutumia
1. Nginx
2. Kaspersky
Nijibu kwanza hapa.