President of China
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 34,781
- 94,550
Hii ni fake News, ifute.Haya sasa mnada mnada. Kitengo maalum ushirika wa wakulima wa ngano Ukraine wanauza kwa mnada wa hadhara vifaru na zana za kivita vilivyotekwa. Malipo nusu siku ya mnada ,salio kipindi kisichozidi siku kumi. Malipo kwa ruble marafuku. welokam.
View attachment 2172607
Russians wako vile, viongozi wao hawatofautiani sana tabia za hivi tangu kale enzi za Ivan the Terrible. Stalin alikuwa muuaji kuliko hata Hitler ila alipokufa alitazamwa na umati wa watu hadi wakauana. Vyombo vya habari vyote vinamsema vizuri Putin na censorship havimsemi vibaya. Warusi wa maisha ya kawaida wasio na exposure nje ambao ni wengi wanamkubali, wasomi waliowahi kuishi nje ndio wanajua tofauti. Miji yenye exposure na mchanganyiko wa wageni kiasi kama Moscow na St. Petersburg ndio kuna afadhali ila sio kule pembezoni kama Taganrog. Ila millenials hawampendi kama wazee na watu wazima.Kwa nini unasema Russians wengi wanampenda Putin mioyoni wakati uchaguzi wa Russia ni sawa na uchafuzi tu na wapinzani wake huwa wanauwa kwa polonium, ajali au wanaishia gerezani.
Point of correction.Mgogoro wa Russia vs ukaraine ukiutazama kinadharia utahisia Russia anapigana na Ukraine kweli lakini siyo kweli ni USA na mshirika wake UK dogo ametumika tu. Ili ujue vile vikwazo vilivyoweka nani alikuwa kimbelembele? Utapata jibu na nani vinamuathiri kwa sasa? Kukusaidia kitu kinaitwa brexity why UK alijitoa kwenye sarafu ya ulaya na umoja wa ulaya ila yupo NATO ushirika wa kujihami kijeshi na si vingine? Aliekuwa nyuma ya huu mpango ni USA kwanini sasa muungano wao ungekuwa tishio kwa uchumi wa marekani sababu wangeacha kumtagemea na kwenye umoja huo nani ana nguvu ni UK na kwa uhusiano wao hakikisha unajitioa. Mbali na kutishia uchumi ni kwamba pesa yake $ isingekuwa na nguvu bali euro kwasababu transactions yote ya biashara kimataifa ingefanywa kwa euro.