Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Point of correction.
UK (ukiwa na maana ya England)hakujitoa kwenye sarafu ya pamoja (euro), bali hakuingia/hakujiunga kabisa from the beginning.

Yah na nyongeza apo kwenye maelezo yako UK ni Political Union, UK is not England pekee. Unapozungumzia UK ni muungano wa nchi 4 kuna Northen Ireland na Great Britain iliyoundwa na Wales, Scotland na England.

Like Tanzania iliyo na Tanganyika na Zanzibar. Ambapo Zanzibar inafanya mambo yake ila likija nje ya mipaka inatambulika kama United Republic of Tanzania...

Tofauti yake ikiwa kwa UK... Wales, Northern Ireland, Scotland na England zinatambulika kama nchi tena kila moja wapo ikiwa na Capital City mfano Wales uko Cardiff, Northen Ireland kwa Belfast, Scotland kwa Edinburgh na England apo London... ila zote ni nchi ndani ya United Kingdom ambazo zipo chini ya Malkia.

Michezo na shughuli zingine zinaperfom kama nchi tofauti ila linapokuja kwenye political na kimamlaka zinaenda kama United Kingdom. Kwa EU ama ndani ya Europe Wales [emoji1022]󠁧󠁢󠁷󠁬󠁳󠁿, Scotland[emoji1022]󠁧󠁢󠁳󠁣󠁴󠁿, England [emoji1022]󠁧󠁢󠁥󠁮󠁧󠁿 na Northen Ireland zote zatambulika kama UK[emoji636].
 
US, Canada na nchi nyingine chache za Ulaya ndio waanzilishi wa NATO, wengi wote wamejiunga NATO baada ya kuona faida zake.

Nchi za Ulaya ndio zinataka majeshi ya US yaweke vituo vyake kwenye bara lao kuwaongezea ulinzi dhidi ya Russia. Japan, Korea Kusini, Colombia, Qatar, Saudi Arabia ni nchi nyingine nyingi za dunia ndizo zimetaka US aweke vituo vya kijeshi kwenye nchi zao.
US ina vituo vya kijeshi zaidi ya 700 duniani kote.
 

In other words Europe is just another state of America.
 
Leo nimesikia wamepanda mines eneo lote walilokuwa wakishikilia.
 
Aisee wanatumia vita kuhamasisha ushoga si uanona hapaView attachment 2172688
Waasisi washaziweka mpaka maofisini. Hii ni Oval office ndani ya white house. Angalia hapo kwenye hicho kiti kwa umakini. Kwa sasa wenzetu sio jambo la kujificha ni jambo la kujisifia. Tusubir mwezi june ndio mwezi wao... Wanauita Pride month [emoji849][emoji849][emoji849][emoji849]... Hii chini japo ya zaman ila tu nakupa kukuonesha namna gan muasisi analipigania kwa nguvu zote
 

Hao jamaa ni mashetani ndomana nikiona mtu ana mahaba na hao US bila shaka kuna jambo sio bure
 
Wanashindwaje kulipa kwa ruble? Yaani raia wako wapate shida kisa US hizi akili ni matope sasa. US amewashika akili hawa jamaa.
...naona wanatishia kujamba wakati wanamatumbo yakuhara, watanyooka tu...ni swala la mda tu watakubali wenyewee, energy ndio kila kitu,ishu yakulipia kwa ruble imewavuruga sana yani putin this time amewashika pabaya
 
Kichaa cha mbwa kinazidi kupanda -Urusi imelipuwa ndege pekee duniani ambayo inayo uwezo wa kubeba tani 250.

 
In the UK, Russian tennis players are required to condemn the special operation in Ukraine.

Otherwise, the organizers of the Wimbledon tournament will not allow them to compete. Russian Ambassador to the UK Andrey Kelin told TASS about this:

“There was a statement that tennis players, in order to speak at Wimbledon, must sign some kind of renunciation. This does not fit into any gates, these are boorish, rude statements.

Previously, UK Sports Minister Huddleston said they needed "guarantees that athletes are not supporters of Vladimir Putin."
Galip SV Liwagu
 
Kichaa cha mbwa kinazidi kupanda -Urusi imelipuwa ndege pekee duniani ambayo inayo uwezo wa kubeba tani 250.

View attachment 2172744
Upo dunia gani mkuu?

Hilo lindege lililipuliwa na Russia toka mwezi wa pili na updates zilifika hapa jukwaani, wewe watuletea stori hiyo leo mwezi wa nne!

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…