Reborn Ktb
JF-Expert Member
- Mar 14, 2021
- 6,906
- 9,731
Wewe hujielewi, sio benki zote za urussi zimepigwa sanction, kuna zile zimeachwa kwa madhumuni ya kufanya biashara ya mafuta/gesi.Acha uhuni wew? Juzi Russia wamesaini decree ya kubadili means ya payment ya gesi. Chancellor wa Germany kapiga simu kwa Putin kua hawatalipa kwa ruble kwasababu kuu mbili, moja mkataba hauwaruhusu, mbili hawajui sehemu ya kuipata hyo ruble... Putin akamjibu sawa nimekuelewa, lipa kwa euro au dollar ila kwanza fungua account kwenye kampuni zangu za benk ikiwemo gazprom bank, na lipa kw euro au dollar na hyo benk ita convert hyo pesa kwa rubles ili iingie Russia k ama rubble.
Unaelewa maana yake? Sasa tafuta ukweli.. ikiwa Russia imewekewa vikwazo vya SWIFT, je wanauza gesi kwa hasara pale EU??? Maana mpaka leo hii wamepewa gesi.
Mpaka juz, USA amechukua oil Russia na ameondoa vikwazo kwenye mbolea na baadhi ya products, ina maana USA na urusi wataendelea kufanya biashara, ndio maana bunge la urus DUMA wanataka malipo ya rubles yaende kwenye ngano na mbolea. Watakataa,,???
Utabiri wako upo kwenye ushabiki, sio hali halisi. Ili urusi ipotee kwenye uchumi wake, ni kuzuia export yake. Sasa waliomuwekea vikwazo ndio wanaongoza kununua product yake ya gesi na mafuta.Kwahiyo hakuna utabiri ktk uchumi? Ushawahi kujua kwanini kila nchi inakuwa na reserve ya fedha za kigeni? Unajua ni kwanini watu na nchi zina reserve ya Gold?
Wewe utafudhishwa Mara ngapi zalue ya sarafu sio ishara ya uchumi bora, unajua thamani ya pesa ya Japan imezidiwa na Kenyan shillings. Unaweza fananisha Japan na KenyaTatizo mnaleta ushabiki kwenye uchumi, nchi yenye ku supply gesi na mafuta kwa wingi duniani vikwazo havifanyi kazi. Ukitaka kuifilisi urusi ni kuivamia kijeshi kama libya na kufanya regime change, kuna nchi inaweza hicho kitu?
Jiulize kwenye vikwazo alivyopigwa urusi toka dunia imeanza havijawi kushuhudiwa, lakini sarafu yake inaimarika!! Unaelewa maana yake?
Moja umesema ukweli kua gesi inaweza kua replaced, nakubali hilo. Lakini itachukua muda gani? Angalia makaa ya mawe( coal) yamekua replaced na ges after years.Mzee, kwa mfano leo kuna watu wakiamua soko la dhahabu likwame ni kweli linaweza kwenda zero...
Usifikiri Dunia hii hasa Ulaya na US inategemei gesi ya urusi tu ili ku survive as the only means sahau kabisa... kwa hiyo mrusi asifikiri yeye ana kitu cha kipekee duniani...nakuhakikishia ndani ya miaka 5 hadi kumi Urusi itapotea kiuchumi.
Haya yote huwa yanakuja na Trust....nani leo anamwamini Putin duniani?
Kama huaminiwi na mataifa ya Ulaya na US wewe huna maana yoyote...maana hela ndiko ziliko utake usitake.
Aya twende kwenye inflation, CPI nk.. urusi tuifananishe na nani kipindi hiki?Wewe utafudhishwa Mara ngapi zalue ya sarafu sio ishara ya uchumi bora, unajua thamani ya pesa ya Japan imezidiwa na Kenyan shillings. Unaweza fananisha Japan na Kenya
Vigezo vya Uchumi ni vitu kama Inflation, balance of trade, Interest rate, consumer price index (CPI), GDP growth N.K
Putin amefanya hivyo kwa sababu anajua hakuna nchi itafanya biashara na pesa yake ya madafu.Wanasema kuwa kuna taasisi za kifedha zitatengenezwa ili wateja wa Gas na Mafuta wanunue kwa Euro au Dollar kisha hizo taasisi zibadilishe hiyo fedha kwenda ktk Rubo.
Huu ni zaidi ya uwezandawazimu.
Endapo Rubo ikashuka thamani, au forecasting ikaonesha anguko la rubo, hakuna taasisi itakubali kununua hiyo Dollar na Euro ili ije ktk Ruble while wakijua kuwa Rubo itazidi kushuka thamani siku za mbeleni.
Hapo ungepinga kwa hoja kuonesha ushabiki wangu. Ungesema nilikosea wapi na kilicho sahihi ni kipiUmekuwa mshabiki siku hizi badala ya kuwa mchambuzi
Sijui unaongea nini? Na mimi nimesema nini? Hapo anazugwa US. The only means ya kusumba uchumi wa Russia ni kuzuia export yake... nimekuuliza nani ataweza.? Maana hata juzi US kununua mafuta Russia, sio hivyo tu ..katoa vikwazo kwenye mbolea na baadhi ya products. Wewe umeenda shule, hiii ina maana gani? US na EU kuendelea kufanya biashara na Russia?Wewe hujielewi, sio benki zote za urussi zimepigwa sanction, kuna zile zimeachwa kwa madhumuni ya kufanya biashara ya mafuta/gesi.
Sasa Putin alipoona ulaya imedinda kununua kwa rubo, akabadili msimamo na kuwarusu kulipa kwa dollar/euro alafu benki ya gazprom iigeuze kwa rubo.
Sasa hapo Putin kazidiwa maarifa na jeuri ya kufunga mifereji hana kwa sababu anahitaji pesa kwa uchumi wake uliokua dhaifu.
Ulaya wananunua mafuta kwa dollars/euros. Period
Anauza bure?Putin amefanya hivyo kwa sababu anajua hakuna nchi itafanya biashara na pesa yake ya madafu.
Hicho amefanya ni kuficha aibu ili aonekane na watu wake wa urussi kwamba ulaya wananunua kwa rubo lakini ukweli ni kwamba dollars/euro ndo wanatumia
Baadae tukiwaambiia mna uelewa mdogo mnakasirika. Decree ishakuw signed na maelezo yaliopo kwenye decree unayatafsiri kwenye tafsiri ya kuuridhisha moyo wako. Namna gan mlivo watoto.Putin amefanya hivyo kwa sababu anajua hakuna nchi itafanya biashara na pesa yake ya madafu.
Hicho amefanya ni kuficha aibu ili aonekane na watu wake wa urussi kwamba ulaya wananunua kwa rubo lakini ukweli ni kwamba dollars/euro ndo wanatumia
Biashara katika ya marekani/EU na urussi imeporomoka kabisa, bila shaka lazima kutakua na biashara ambazo bado zinaendelea lakini cha msingi ni imepungua pakubwa.Sijui unaongea nini? Na mimi nimesema nini? Hapo anazugwa US. The only means ya kusumba uchumi wa Russia ni kuzuia export yake... nimekuuliza nani ataweza.? Maana hata juzi US kununua mafuta Russia, sio hivyo tu ..katoa vikwazo kwenye mbolea na baadhi ya products. Wewe umeenda shule, hiii ina maana gani? US na EU kuendelea kufanya biashara na Russia?
Value ya sarafu sio ishara ya uchumi, ila kuporomoka ama kushuka kwa thaman ya sarafu ni indicator ya stability of economy.Wewe utafudhishwa Mara ngapi zalue ya sarafu sio ishara ya uchumi bora, unajua thamani ya pesa ya Japan imezidiwa na Kenyan shillings. Unaweza fananisha Japan na Kenya
Vigezo vya Uchumi ni vitu kama Inflation, balance of trade, Interest rate, consumer price index (CPI), GDP growth N.K
Breafing nzur KABISA,The Russian military destroyed the fuel storage facilities of the Kremenchug Oil Refinery with precision weapons.
It supplied the Ukrainian grouping of troops in the central and eastern regions of the country.
The main points from the morning briefing of the Russian Ministry of Defense:
[emoji3502]High-precision air-launched missiles disabled military airfields in the cities of Poltava and Dnepropetrovsk.
[emoji3502]Russian air defense in the area of Sumy and Urozhainy shot down two Ukrainian Mi-24 helicopters. Also destroyed in 24 Ukrainian drones.
[emoji3502] During the night, 67 military facilities of Ukraine were hit. Among them are 2 command posts and 2 weapons and ammunition depots.
[emoji3502]In total, since the beginning of the special operation, 124 aircraft and 84 helicopters, 381 drones, 1882 armored vehicles, 203 multiple rocket launchers, 786 field artillery pieces and mortars, as well as 1764 units of special military vehicles have been destroyed.