President of China
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 34,781
- 94,550
Baadae tukiwaambiia mna uelewa mdogo mnakasirika. Decree ishakuw signed na maelezo yaliopo kwenye decree unayatafsiri kwenye tafsiri ya kuuridhisha moyo wako. Namna gan mlivo watoto.
Mmeambiwa Gas kwa nchi zisizo rafiki zitalipwa kwa Ruble, Nchi hizo ambazo sio rafiki zitatakiwa zifungue account ya ruble ndani ya Russia. Exchange ya hizo pesa kwenda Ruble itafanyikia ndani ya Russia. Na sio uko nje vichochoroni.
Then ulivo na akili zero waja twambia Gas inanunuliwa kwa Euro na dollar... A little coward em jifunzeni kuelewa basi kama hamuezi kuelewa.
Ukitoka kenya kuja kununua kitu Tanzania kwa Tsh, Exchange kutoka Ksh to Tsh ukaifanyia ndani ya Ardhi ya Tanzania utakuwa umenunua kitu hicho kw Ksh au Tsh?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Mna mahaba ya kingese mpk mnaboa yan.
Hii vita haina cha Ramadan, tena ndio muda wa kuwatafuta wale Wachenchen ili wafe vizuri.Wapumzike kupigana waheshimu mwezi mtukufu, Ramadan ikiisha waendelee kutwangana
Duh...watu mumeoga maji ya mabeberu kwa kweli....Eti USA hamuogopi Russia?! Duh..USA anamuogopa Russia kiuhalisia...strength ya USA ipo kwenye coalition na siyo ikiwa peke yake...Ndiyo maana ni lazima atafute kuungwa mkono na Europe...na hizi nchi za Europe zinaburuzwa tu....USA peke yake Haina ubavu....Mkuu ni mpumbafu tu atakwambia US eti inamwogopa Mrusi...
Ni kwa bahati nzuri sana wamevamia wakati wa utawala wa walokole Democrat....wangefanya hivyo kwa utawala wa Republican...
Tungeshuhudia maajabu...
Kuna dogo mpumbavu mmoja wa korea eti ana testi mabomu ya bara kwa bara...ni ujinga mtupu kwa US. Nchi ambayo bajeti ya wizara ya ulinzi tu..Pentagon kwa kwaka ni zaidi ya Trilioni 30 za kitanzania.
Bora unasaidia kuwapa watoto tution ya uchumi, wengine sio expert wa uchumi lakini at least tunafuatilia. Wao wanachotaka ni ushabiki wa kuona US anashinda, wanadhani US ni kila kitu kwenye dunia hii. Movie za Hollywood zina 'majini' yanayoharibu kizazi chetuBaadae tukiwaambiia mna uelewa mdogo mnakasirika. Decree ishakuw signed na maelezo yaliopo kwenye decree unayatafsiri kwenye tafsiri ya kuuridhisha moyo wako. Namna gan mlivo watoto.
Mmeambiwa Gas kwa nchi zisizo rafiki zitalipwa kwa Ruble, Nchi hizo ambazo sio rafiki zitatakiwa zifungue account ya ruble ndani ya Russia. Exchange ya hizo pesa kwenda Ruble itafanyikia ndani ya Russia. Na sio uko nje vichochoroni.
Then ulivo na akili zero waja twambia Gas inanunuliwa kwa Euro na dollar... A little coward em jifunzeni kuelewa basi kama hamuezi kuelewa.
Ukitoka kenya kuja kununua kitu Tanzania kwa Tsh, Exchange kutoka Ksh to Tsh ukaifanyia ndani ya Ardhi ya Tanzania utakuwa umenunua kitu hicho kw Ksh au Tsh?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Mna mahaba ya kingese mpk mnaboa yan.
Mkuu ni mpumbafu tu atakwambia US eti inamwogopa Mrusi...
Ni kwa bahati nzuri sana wamevamia wakati wa utawala wa walokole Democrat....wangefanya hivyo kwa utawala wa Republican...
Tungeshuhudia maajabu...
Kuna dogo mpumbavu mmoja wa korea eti ana testi mabomu ya bara kwa bara...ni ujinga mtupu kwa US. Nchi ambayo bajeti ya wizara ya ulinzi tu..Pentagon kwa kwaka ni zaidi ya Trilioni 30 za kitanzania.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] mnaisi Rusia ni Libya au Zimbabwe ivi mnawajua vizuri wale watu ninwatu waliosoma kuliko unavyowafikiriaHuyu jamaa asicheze na US na watu wa Magharibi...wata m fix tu ndani ya miaka 5 Urusi itakuwa taifa maskini sana. Ni ujinga kama si upumbavu kufikiri kwamba dunia hasa ulaya itaendelea kutegemea gesi ya Urusi in next 5 to 10 yrs.
Kusema watu wanunue gasi na mafuta kwa sijui rupiiie yake ni ujinga mtupu... ni useless.
Ni mtu aliyeingia ndani ya box alilolitengeneza mwenyewe na amepoteza funguo za kutokea...ni mhamaniko...poor Putin.
Time....
Matusi weka pembeni, inaonyesha uwezo wako wa kufikiria.Baadae tukiwaambiia mna uelewa mdogo mnakasirika. Decree ishakuw signed na maelezo yaliopo kwenye decree unayatafsiri kwenye tafsiri ya kuuridhisha moyo wako. Namna gan mlivo watoto.
Mmeambiwa Gas kwa nchi zisizo rafiki zitalipwa kwa Ruble, Nchi hizo ambazo sio rafiki zitatakiwa zifungue account ya ruble ndani ya Russia. Exchange ya hizo pesa kwenda Ruble itafanyikia ndani ya Russia. Na sio uko nje vichochoroni.
Then ulivo na akili zero waja twambia Gas inanunuliwa kwa Euro na dollar... A little coward em jifunzeni kuelewa basi kama hamuezi kuelewa.
Ukitoka kenya kuja kununua kitu Tanzania kwa Tsh, Exchange kutoka Ksh to Tsh ukaifanyia ndani ya Ardhi ya Tanzania utakuwa umenunua kitu hicho kw Ksh au Tsh?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Mna mahaba ya kingese mpk mnaboa yan.
.sisi watanzania ni wajuaji kuliko wahusika?!?!Wewe hujielewi, sio benki zote za urussi zimepigwa sanction, kuna zile zimeachwa kwa madhumuni ya kufanya biashara ya mafuta/gesi.
Sasa Putin alipoona ulaya imedinda kununua kwa rubo, akabadili msimamo na kuwarusu kulipa kwa dollar/euro alafu benki ya gazprom iigeuze kwa rubo.
Sasa hapo Putin kazidiwa maarifa na jeuri ya kufunga mifereji hana kwa sababu anahitaji pesa kwa uchumi wake uliokua dhaifu.
Ulaya wananunua mafuta kwa dollars/euros. Period
Mr FUSO Dunia haipo vile unavoitizama...Mzee, kwa mfano leo kuna watu wakiamua soko la dhahabu likwame ni kweli linaweza kwenda zero...
Usifikiri Dunia hii hasa Ulaya na US inategemei gesi ya urusi tu ili ku survive as the only means sahau kabisa... kwa hiyo mrusi asifikiri yeye ana kitu cha kipekee duniani...nakuhakikishia ndani ya miaka 5 hadi kumi Urusi itapotea kiuchumi.
Haya yote huwa yanakuja na Trust....nani leo anamwamini Putin duniani?
Kama huaminiwi na mataifa ya Ulaya na US wewe huna maana yoyote...maana hela ndiko ziliko utake usitake.
Mimi nahisi kama russia inamficha jambo flani hapa, wanaposema kuwa wanaiconvert dollar kwenda ktk ruble, wanaconvert kwa namna gani? Wewe hapo una 10,000 ya kitanzania, ukitaka iingie ktk dollar ni lazima niinunue dollar ktk hiyo 10,000 yangu.Wewe hujielewi, sio benki zote za urussi zimepigwa sanction, kuna zile zimeachwa kwa madhumuni ya kufanya biashara ya mafuta/gesi.
Sasa Putin alipoona ulaya imedinda kununua kwa rubo, akabadili msimamo na kuwarusu kulipa kwa dollar/euro alafu benki ya gazprom iigeuze kwa rubo.
Sasa hapo Putin kazidiwa maarifa na jeuri ya kufunga mifereji hana kwa sababu anahitaji pesa kwa uchumi wake uliokua dhaifu.
Ulaya wananunua mafuta kwa dollars/euros. Period
Umeandika mambo mengi sana ambayo ki.msingi hayana mantiki.Mr FUSO Dunia haipo vile unavoitizama...
At least itambue vizuri, get to knows how hiki ama kile kinavofanya kazi au namna gani kinafanyika. Kisha jarib kua unafanya mahusiano ya hiki na kile. Usiwe just mtu wa kusikia neno hili kule ukalichukulia ndivo lilivo.
Kuna vitu vinaweza ku'collapse value yake duniani ila sio Gold. Gold have been standard ya exchange zama na zama hata kabla ya Yesu hajaja duniani... Ni miaka na miaka achana na hizi paper za sku hizi.
Huyo US mwenyewe pekee anahold more Gold kuliko wa pili, tatu na wa nne yake kwenye list ya Top 5. Na alivo mshenzi alikuwa na mpaka sasa hivo hivo anabadilisha Gold kwa Dollars, yan nchi mnapeleka dhahab ili awape hizo karatasi anazoz'print.
Sasa kaitizame hiyo list ya world top Gold Reserve holders then uje apa utuambie wa kuifanya hiyo Gold iwe zero nani. USA, Germany, Italy na France wameweka reserve ya Gold takriban Metric Tonnes 17,000 huku US pekee akiwa amehodhi zaidi ya 8,000 Metric Tonnes ukilinganisha na Russia alieweka reserve ya 2,300Tonnes.
Hapo napo hujazungumzia karib nchi zaiid ya 200 duniani zimeweka Gold kama reserves. Utaicollapse vipi mbele ya hiyo demand?
Sijui niseme utoto, au ufatiliaji mduchu, hamjui vizuri dunia inaendeshwa vipi.
Kwenye kupanda ama kushuka kwa thaman ya kitu unatakiwa ujue inapanda vipi na inashuka vipi hapo ndio unaweza claim maneno yako ka ni sahihi ama sio sahihi...
Kampuni ako inaeza kua listed kwe exchange flan kisha CEO wenu akapata scandal tu personally. Hio scandal ikapelekea kushuka kwa thaman ya kampuni. Hapo unatakiwa kujua mechanism ilofanya hilo litokee.
Usimwangalie Musk kisa katweet Coin flan nzuri ukaona imeongezeka thaman au kasema hatotumia Coin flan basi Coin ile ikashuka thaman basi ukajua yeye ndio kaishusha. Fatilia how ile kauli na tukio vina correlate ndio utajua namna ya kutofautisha vitu.
Kingine unadai usipokubalika US au Eorope huezi fanya kitu. Hayo ni mawazo ya kitumwa. Open up your mind. Usiingalie dunia kwenye TV. Itizame kwa uhalisia wake.
Ruble hapo ni mwanzo, itazidi kwenda juu,juu zaidi ndipo mtashangaa.Kuimarika kwa rubo ni kwa muda mfupi tu, baada ya miezi michache utafuta hii post yako.
Unazijua Trillion 30 za Tanzania ni sawa na Dollar ngapi? Ngoja tukusaidie ni around 13Billion Dollars. Je Pentagon anatumia 13Billion Dollars? Huo ni UONGO...Mkuu ni mpumbafu tu atakwambia US eti inamwogopa Mrusi...
Ni kwa bahati nzuri sana wamevamia wakati wa utawala wa walokole Democrat....wangefanya hivyo kwa utawala wa Republican...
Tungeshuhudia maajabu...
Kuna dogo mpumbavu mmoja wa korea eti ana testi mabomu ya bara kwa bara...ni ujinga mtupu kwa US. Nchi ambayo bajeti ya wizara ya ulinzi tu..Pentagon kwa kwaka ni zaidi ya Trilioni 30 za kitanzania.
Mr FUSO Dunia haipo vile unavoitizama...
At least itambue vizuri, get to knows how hiki ama kile kinavofanya kazi au namna gani kinafanyika. Kisha jarib kua unafanya mahusiano ya hiki na kile. Usiwe just mtu wa kusikia neno hili kule ukalichukulia ndivo lilivo.
Kuna vitu vinaweza ku'collapse value yake duniani ila sio Gold. Gold have been standard ya exchange zama na zama hata kabla ya Yesu hajaja duniani... Ni miaka na miaka achana na hizi paper za sku hizi.
Huyo US mwenyewe pekee anahold more Gold kuliko wa pili, tatu na wa nne yake kwenye list ya Top 5. Na alivo mshenzi alikuwa na mpaka sasa hivo hivo anabadilisha Gold kwa Dollars, yan nchi mnapeleka dhahab ili awape hizo karatasi anazoz'print.
Sasa kaitizame hiyo list ya world top Gold Reserve holders then uje apa utuambie wa kuifanya hiyo Gold iwe zero nani. USA, Germany, Italy na France wameweka reserve ya Gold takriban Metric Tonnes 17,000 huku US pekee akiwa amehodhi zaidi ya 8,000 Metric Tonnes ukilinganisha na Russia alieweka reserve ya 2,300Tonnes.
Hapo napo hujazungumzia karib nchi zaiid ya 200 duniani zimeweka Gold kama reserves. Utaicollapse vipi mbele ya hiyo demand?
Sijui niseme utoto, au ufatiliaji mduchu, hamjui vizuri dunia inaendeshwa vipi.
Kwenye kupanda ama kushuka kwa thaman ya kitu unatakiwa ujue inapanda vipi na inashuka vipi hapo ndio unaweza claim maneno yako ka ni sahihi ama sio sahihi...
Kampuni ako inaeza kua listed kwe exchange flan kisha CEO wenu akapata scandal tu personally. Hio scandal ikapelekea kushuka kwa thaman ya kampuni. Hapo unatakiwa kujua mechanism ilofanya hilo litokee.
Usimwangalie Musk kisa katweet Coin flan nzuri ukaona imeongezeka thaman au kasema hatotumia Coin flan basi Coin ile ikashuka thaman basi ukajua yeye ndio kaishusha. Fatilia how ile kauli na tukio vina correlate ndio utajua namna ya kutofautisha vitu.
Kingine unadai usipokubalika US au Eorope huezi fanya kitu. Hayo ni mawazo ya kitumwa. Open up your mind. Usiingalie dunia kwenye TV. Itizame kwa uhalisia wake.
Mwendelezo kutoka post hii LIVE - Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?
Kama tutaangalia vizuri bila ushabiki tutaona western walijipanga sana kwenye huu mchakato. Walicho anza nacho kikubwa ni kutawala muundo wa taarifa kwa kuzifungia taasisi zote huru za habari zilizo mlengwa wa Russia.
Walijitahidi sana kutafuta sympathy kutoka kona zote za dunia wakijarib kutuaminisha kua Russia ni Adui, jambo ambalo kwa kiasi wamefail. Kukurupuka ku'attack Russia economy ambalo ndio lilikuwa lengo haswa huku wakiepuka suluhu ya diplomacy kama aliyokuwa akiitaka Uturuki na wengineo.
Utumiaji wa gharama kubwa mno tena mno kui'sponsor hii vita mfano kama Marekani mpaka sasa katumia zaidi ya USD 13Billion kuisponsor hii vita. Lakin uikijiuliza nguvu zote hizi za nini ilhali matakwa ya Mrusi yanaongeleka kauli yao inabaki kua amevamia nchi huruilhal ule uvamizi uliandaliwa na wao wenyewe toka awali.
Wakati wa ukraine wakiumia, upande wa media walikuwa wamepashikiria vilivo na kueneza taarifa za ajab haijapata tokea. Tumeshuhudia Clip za Movie, Clip za Game, Picha za Zaman uko Syria na nyinginezo zikitumika kama kuonesha matukio yaliyopo Ukraine. Swali la kujiuliza hapo nini lengo haswa la udanganyifu huo.? Hapa kila mtu ana majibu yake.
Kwa ninachokiona Russia alijipanga, 2014 kule Crimea kuliwapa somo... They knew vizuri tactics wanazotumia upande wa magharibi...
Mambo yapi ambayo binafsi naona Russia kafanikiwa kutoka kwenye ajenda ambazo nazihisi zilikuepo nyuma ya pazia.
1. Kafanikiwa kuweka imani ndogo kwa mataifa ya magharibi kwa zile nchi ambazo zimewekeza katika nchi hizo. Hii kaifanya at expense of his foreign reserve.
View attachment 2168908
Ukiitizama vizuri hiyo list kisha ukaisikiliza hii video hapa chini. Utagundia kua ni kama vile ilikuwa kwenye ajenda tusisahau kama asilimia kubwa ya nchi duniani inataka kutoka kwenye mfumo wa kitumwa wa dollar.
View attachment 2168912
2. Kafanikiwa kuwachonganisha viongozi hao na wananchi wao wenyewe kupitia mfumuko wa bei na gharama kubwa za maisha, maandamano ya apa na pale apo ulaya tumayaona. Kiasi wengine wakaanza hizi meme.
View attachment 2168917
3. Now Russian Ruble is pegged to Gold, haina maana kua itapanda sana thaman kufikia size ka Sterling, Oman Rial ama Kuwait Dinar, ila itakuwa very stable kuliko currency yoyote ever. Na due to Default iliyowekwa na USA na wengineo hii itampa chance ya yeye kuanza ku'print ela zake mwenyewe ka afanyavyo USA na dollar zake.
4. Kinyume na ilivotarajiwa, waliosuka mpango wa Russia kuingia Ukraine walitegemea ataenda lipua lipua ovyo na kuua mamilion hivo uhalifu wa kivita. Ila hali ikawa tofauti. Ushahidi wa Ukrainians army kuua raia wao uko wazi. Japo Media zao zauficha. Kinyume chake kafanikiwa kuigawa Ukraine. Apa itakuwa kama North na South Korea ama North na South Sudan.
5. Ile mihemko ya baadhi ya kampuni za kimagharibi imepenyeza mwanya wa kampuni nyingi za kichinakujipatia soko adhim bila nguvu nyingi ndani ya Russia. Hapa unakuja ule msemo wa ukisusa wenzio twala...
Mambo ni mengi mda mchache.
Mwishi niwaambie kua tunakoelekea saaasa ni kutam kuliko apa. Em vuta picha hii trailer ya Ruble kwa unfriedly countries. Kisha ziangalie vizuri hizo nchi zote kwa jicho zuri. Kisha tizama Kipengele kimoja tu cha Viwanda.
Anza kuangalia sehem muhim kuanzia Malighafi, nishati, na mengineyo. Kisha angalia sheria mpya iliyopitishwa ja Russia kwa Raia na wawekezaji kutoka hizo nchi. Kisha tuambizane nani anaenda kua mtumwa wa kiuchumi kwenye siku za usoni.
Hapo tuangalie shift ya Saudia kuhama kutoka Dollar kwenda Yuan kwa mauzo yake Gas, kisha tujiulize ikiokea Dollar ikaanza kupoteza stability maana ake itakuwa un useful sokoni. Nini kitajiri kwa nchi ambazo zimehifadhi Dollar notes kwenye reserves zao? Wataanza kuziuza kwa exchange of stable Assets kama Dhahab n.k Je nini kitatokea kwa US?
Budget kubwa wala sio sababu kwani hiyo budget unajua ni ya nini?? Hela nyingi hapo ni deal za makampuni makubwa ya PR na Uzandiki wanalipa media na kukodi kampuni nyingi sana kusema uongo na uzushi inayoelekea Jeshini ni kidogo mnoo..someni haya masuala myajue...Mkuu ni mpumbafu tu atakwambia US eti inamwogopa Mrusi...
Ni kwa bahati nzuri sana wamevamia wakati wa utawala wa walokole Democrat....wangefanya hivyo kwa utawala wa Republican...
Tungeshuhudia maajabu...
Kuna dogo mpumbavu mmoja wa korea eti ana testi mabomu ya bara kwa bara...ni ujinga mtupu kwa US. Nchi ambayo bajeti ya wizara ya ulinzi tu..Pentagon kwa kwaka ni zaidi ya Trilioni 30 za kitanzania.
Samahani ndugu, wewe unatoka Kigoma sehemu ganiKuimarika kwa rubo ni kwa muda mfupi tu, baada ya miezi michache utafuta hii post yako.