LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
hii ni zaidi ya vita
ila mrusi alikuw anamtesa sana mukraine kwenye cyber attack sasa zamu yake
muda flani RT ilikuwa inapiga nyimbo za ukraine hakuna matangazo ya moja kwa moja acha wanyioshane
Mashindano ya Teknolojia-Russia ana kazi kubwa sana ya kuprove kuwa yupo vizuri kuliko US na nduguze
 
Urusi anapiga na NATO allies akiwa anajua ni Ukraine.

Watu wanaona Rais wa ukraine anakunywa kahawa na kupiga selfie hata hawashtuki.

Urusi, inabidi afanye Tathimini upya.
Kuna uwezekano mkubwa mno upo sahihi. Kama NATO inamshambulia kwenye uchumi lazima pia inatafuta njia ya kumshambulia kwenye field nyingine.
 
Ukrainian Ministry of Internal Affairs says that in half an hour, Kiev will come under the heaviest fire. All Kyiv residents are told to go to shelters immediately.
 
Kama wanapost inamaana bado hawajadhibitiwa na Russia.
Mgonjwa akilia inaumaa daktari anafurahi anajua hajaparalise.
Jana waliachwa ili waingie mazungumzo wakapuuza leo urusi kasema watawapelekea moto mpaka wajute
 
Unaleta umbea wa FB hapa?
 
endelea kutabiri MKUU ila nisuala lamuda tu kabla ya KIEV kua chini ya MOSCOW
 
Urusi na team yao huku namtumbo hawaamini wanachokiona, walitegemea itakua nyepesi tu siku moja wamemkamata rais vita imeisha, wapi hahahaa wanaume wamesimama tambo za bure yani Ukraine anakuweka siku 4 unapambana tu halafu mnasema super power.
 
Sawa mkuu.

Tusubirie NATO imtoe Russia ndani ya Ukraine.
 
hii ni zaidi ya vita
ila mrusi alikuw anamtesa sana mukraine kwenye cyber attack sasa zamu yake
muda flani RT ilikuwa inapiga nyimbo za ukraine hakuna matangazo ya moja kwa moja acha wanyioshane
Anonymous Ndio wanasema walihack kisha wakaplay nyimbo za Ukraine...
Na nadhani wanapata upinzani wa ndani pia... Ndio maana inakuwa rahisi kuwavamia
 
Urusi inasemwa kuwa nchi yenye uwezo wa kupiga nchi zote za nato at the same time.
sasa kinachoendelea pale Ukraine tumeanza ku- question uwezo huo unahubiriwa kwenye social media
Unaambiwa warusi soldiers wanaenda ukraine hawana map na ukraine wanatoa majina ya mtaa .Kweli zellensky is the next Winston Churchill
 
ila tu niseme nikipitia pitia Twitter na vyombo vingi vya habari mrusi anasnitchiwa na wanausalama wake wenyew
Anonymous Ndio wanasema walihack kisha wakaplay nyimbo za Ukraine...
Na nadhani wanapata upinzani wa ndani pia... Ndio maana inakuwa rahisi kuwavamia
na warusi wenyew wanasnitchiana
nimeona clip nyingi wanajeshi wa urusi wanashikwa hovyo na ukraine
 
As it is kuna propaganda nyingi sana zinaendelea.
Mtu inabidi uwe makini kuchuja habari. Kuna ma clip yanazunguka ni ya mwaka jana lakini unaambia ni "Ukraine".

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…