Upo uwezekano mkubwa Ukrain ikamshinda mrusi katika Vita inayoendelea, baadhi ya sababu zinazotajwa kumdhiriotosha mrusi ni pamoja na
1. Vita Hii kuingiliwa na mashambulio ya kimtandao ambapo baadhi ya hackers kutoka mashirika ya kijasusi wanapambana na mitandao na mifumo ya mawasiliano ya Urusi wakiwa wamejificha Kwenye kichaka cha invisible. Tukumbuke Vita Hii inaongozwa zaidi ya technology kuliko nguvu za mwili hivyo Urusi anapambana na Dunia kitekinologia huku akipambana na Ukraine Kwa nguvu za mwili
2. Urusi anapopigana na Ukraine analinda asipambane na raia Bali apambane na askari, yanahitajika mahesabu makubwa.
3. NATO inamsaidia Ukraine
4. Kiu ya Mataifa Makubwa nikuitumia Vita ya Ukraine kujua nguvu ya Urusi
5. Vikwazo vya kiuchumi ni jambo baya Kwa uchumi wa Urusi na wananchi wake. Urusi inapigwa Kwa maneno huku vikwazo vikianza kufanya kazi ikiwemo tukio la ufaransa kukamata meli ya Urusi.
6. Wakati Ukrain akifanya jitihada ya mazungumzo na Urusi ,upo uwezekano wa Urusi kuanza kuomba mazungumzo na wakubwa wenzie kuepusha vikwazo vya uchumi.
Natabiri ushindi wa Ukrain....