President of China
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 34,781
- 94,550
Hao pro NATO na US wajue tu kuwa huyo US wanayemtukuza hajawahi kupigana mwenyewe kama yeye, lazima allies wake UK, EU na NATO wampe support, ni kama wamekuwa vibaraka wa US. Pathetic!11th mind you hapa ana vikwazo zaidi ya 2700.
Alf na uchumi wake (unaosema ni mdogo) lkn bado kijeshi hana mpinzani.
Greater Nuclear arsenal, military technology bora zaidi (missiles + air defence systems), Military intelligence etc. etc.
For the record Putin/Russia ndio anaeyeweza kuwadindia USNato&Allies popote pale ref. Syiria/Assad & Venezuela/maduro. Na yeye ndio anaweza kufanya jambo lolote bila kuhofia UsNato&Allies ref. Georgia, Crimea US election & Ukraine.
1 vs 30+ na bado anashinda. Pretty Iconic. 'Cross Multiply' ujue itakuwaje siku ikiwa 1 vs 1.
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Kamkamateni Albashiir kwanzaPutin na viongozi wake wa kijeshi wanaoendesha uvamizi wa Ukraine wanapaswa kuhukumiwa katika mahakama za kimataifa kwa makosa ya uhalifu wa kivita na binadamu kama wanazi katika Nuremberg Trial.
Kweli kabisa, soon France na Germany kuna namna wataachia tu, otherwise Macron anaweza asirudi ikulu tar.10.l, ujerumani tayari chancellor wao anachezea joto ya jiwe.Msemo wa njaa haina bausa unaenda kutimia.
Propaganda kaziniScores of civilians executed by the Russian military.
Russia literally unfolded a killing spree in its occupied territories in Ukraine.
View attachment 2174019View attachment 2174020View attachment 2174022
View attachment 2174023
Zaidi: Jinai ya vita
PropagandaSehemu kubwa ya jeshi la Russia lililoko Ukraine ni Conscripts(wanajeshi wanaopelekwa jeshini kwa lazima) na halina maafisa au uongozi unaoleweka karibu yao kulisimamia, hiyo ndio sababu imepeleka Majenerali wengi wa Urusi kuuwa baada ya kwenda mstari wa mbele kutoa na kuhakikisha amri zinafwatwa.
Urusi si Sudan. Bado. Lakini inaelekea... hasa kiuchumi.Propaganda kazini
RUSSIA sio SUDAN
PROPAGANDAKiev region: in a mass grave and in the sewer, the bodies of the headman of the village of Motyzhin Olga Sukhenko, her husband and son, who went missing on 23/03/22 ,
Russia ameshaanza kurudisha majeshi yake nyuma baada ya ongoing talks za pande mbili. Hivyo automatically mji utakuwa chini ya Ukraine, hakuna ukombozi wowote hapo.Wadau napata taarifa kuwa ukraine imeukomboa mji wa kyiv toka kwa wanajeshi wa urusi
Huyo kajiunga JF mwezi huu bado mtoto hajajua hata kuitumiaUmesahau kumuhusisha huyo unayempa elimu ya hicho kiungo. Ujumbe wako upo hewani tu.
Nisingesema automatically, lakini wakati mmoja anakimbia uwezekano ni mkubwa mwingine anamfuata.Russia ameshaanza kurudisha majeshi yake nyuma baada ya ongoing talks za pande mbili. Hivyo automatically mji utakuwa chini ya Ukraine, hakuna ukombozi wowote hapo.
Hio IRAN yenyewe ina vikwazo toka 1979 ila ipo imara kuliko nchi yake anayotokea huyo bwanaKwanini ugeuke sheikh yahaya kwa nchi za wenzako urusi sio kama family akifa baba inateteleka ukiwa unaiongelea urusi usifikiri ile ni iran
Kumbe unaona hii ni mali yako? Wengine hawana kibali ila wewe? Hongera!Propaganda
..
Achaneni na propaganda
🤣🤣🤣🤣 Taja moja na source ya Taarifa hatakama ni RTBaltic countries wameshafungiwa bomba tayari, hakuna gas bila malipo kwa ruble.
Iran! Imara?? Serikali iliyopaswa kugushi kila uchaguzi tangu miaka 30???? Putin angalau alishinda kwa kura akipaswa kutwanga kidogo tu.Hio IRAN yenyewe ina vikwazo toka 1979 ila ipo imara kuliko nchi yake anayotokea huyo bwana
Kwasababu SUDAN alitakiwa ALBASHIR na ICC na hawakumpataUrusi si Sudan. Bado. Lakini inaelekea... hasa kiuchumi.
(kwa nini umeacha habari za Zimbabwe??)