Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Hebu fafanua zaidi...
Ni ushindi gani unaouzungumzia wewe Ndugu?! Hivi Ukraine imeshinda Vita?! Unataka kutuaminisha hivyo kwa masuala ambayo yako wazi kabisa?!
Kwa kuwa Russia wameshindwa kuiteka Kyiv na kuipindua serikali ya Ukraine na kupachika kibaraka wao kama walivyokuwa wamepanga hapo kabla basi hiyo tu ni ushindi mkubwa sana kwa Ukraine.

Hadi Warussia kwa hasira wakaamua wauwe tu raia wasio na hatia pamoja na kuharibu miundombinu ya Ukraine. Russia alipakaziwa u-super power feki kumbe ni kanyaboya tu.
 
Ww unaweza kuwa huoni tatizo lakini wahusika wakuu wana jua.
 
LUHANSK byebye
Hasara kama Trilioni 2000s
 
Kama ungekuwa unayo common sense kidogo tu Mambo uliyoyaandika ya Serikali ya Zelenskyy kuwa inapewa nguvu na Wanazi yalijibiwa yote na maswali mepesi niliyoyauliza.
Kutoka kwangu nimeshaliweka wazi kuwa sijui. Yaani nimejua kuwa sijui.

Maadamu umeniuliza swali bila shaka jawabu lake unalo. Ikiwa kama hauna jawabu si vibaya ukasema sijui.

Nakugeukia tena, sijui labda unifahamishe.
 
Hmna muda hio ndio bye bye baada ya CRIMEA kuondoka bila OP maallum kama hii tuu
Ilichukua miaka 8 kule DON BAS hakukaliki seuze baada ya hii OP
UKRAINE ilikua lazma ifunzwe adabu PUT IN mtu smart mnoooo
 
Hawa moto tulowapelekea 2008 hawajausahau [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kwamba ndio ilikuwa mipango ya warusi hii kuweka kibaraka wao

Wadukuzi waliweke wazi hili
 
Hmna muda hio ndio bye bye baada ya CRIMEA kuondoka bila OP maallum kama hii tuu
Ilichukua miaka 8 kule DON BAS hakukaliki seuze baada ya hii OP
UKRAINE ilikua lazma ifunzwe adabu PUT IN mtu smart mnoooo
Puttin ni Bully mwenye silaha. Hata ikiwa miaka 300, Amani utafuta njia na kurejea. Na hii si kwa Ukraine tu, nchi zote ambazo zilivamiwa na bullies wenye silaha kama Puttin itafika wakati vizazi vyao vitashuhudia amani ikirejea.
 
Nilisema hapa awali jeshi tiifu sikivu na linalojua maana kama la RUSSIA haliwezi fanya huo UNYAMA
Niliwaambia hapa watu tele kwamba hizo nipropaganda mfu nawala hazina maana yeyote ile
Root
YEHODAYA
Nyamizi
Huyu sasa ndio kasema ukweli
Kwamba Russia ni wao tu wanasema ukweli sio!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…