Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Ngojea waje watukane
 
Kuna dot zingine ukiziunganisha unabaki umeduwaa tu.

Tarh..30 March
Russia Force Army wakaondoka Bucha.

Tarh..31 March
Mayor wa Bucha akatangaza kua Bucha z now liberated, na hakuzungumza chochote kuhusu uwepo wa hizo maiti. Na picha zingine zilizotumwa ni vifaa vya kivita vilivoharibika vimetapakaa maeneo hayo.

Tarh..1 na 2 April
Azov Nazis wakaingia hapo Bucha...

Tarh..3 April
Ikapostiwa video maiti zikiwa zimetapakaa barabarani wakidai kua mauaji yaliyofanywa na Russia Force Army.

Katika hizo maiti hazina dam, ziko safi, hazijaharibika. Nazan wote twajua kutoka 30 April when RFA wakitoka apo Bucha mpk 3 April ni siku 4... Maiti ipi ya kukaa siku 4 imetekelekezwa bila kuharibika?

Kingine kitaratibu ya kiuandishi wa habari, linapotokea tukio, mchukua taarifa akifika eneo husika hua anahoji waliopo juu ya kile kilichotokea.

Katika hizo video hakuna Raia anayeonekana kuulizwa juu ya yaliyokuwa yakiendelea hapo.

Ukiitizama video halisi, achilia mbali hizi ambazo zimekuw compressed wakati wa kuz'upload kwenye mitandao ya kijamii. Inaonesha lens ya Camera ilotumika ni Professional katika kurecord hilo tukio...

Apa na maana ya picha anayopiga Galip SV na picha anayopiga Lukamba ziko tofauti kabisa no matter tutatumia the same device or not kwasabab ya u'professionalism kwenye eneo hilo.

Mwisho waja kaa chini kujiuliza hizi taarifa zinapikwa kwa lengo lipi. Na wale washabiki wa kubeba taarifa na kulaani... Mnakuwa na tofauti ipi na mbwa afugwaye ambae kokote unakomnyooshea kidole anabweka haijalishi ni nani maadam mwenye mbwa ndie keshaelekeza kidole.
 
hata ukilipiwa kwa kazi yako - huoni aibu kuleta uwongo wa aina hiyo? Nimeshajiuliza ni nani anayekulipa ili ukae hapa 24/7 na kuwa na data bila kikomo..... Swali langu ni tu je mko wawili au watatu wanaotumia log-in ileile? Uko ubalozini Dar au unafanya kutoka nje?
 
Hujawahi kuona maiti inayohifadhiwa kwenye friza? Huko Ukraine halijoto iko mnamo 0 siku hizi, wakati wa usiku chini, mchana kidogo juu.
Ukraine si Zimbabwe, rafiki.
 
Britain did not agree to a meeting of the UN Security Council on the situation in Bucha, said the official representative of the Russian Foreign Ministry Maria Zakharova

Russia today will again demand the convening of a meeting in connection with the criminal provocations of the Ukrainian military and radicals.
 
🇭🇺🇺🇦"We've never had so many opponents at once."

Hungarian Prime Minister Viktor Orban, after winning the parliamentary elections, said that he had to fight even with Zelensky.

“We had to fight against enormous resistance: the left at home, the bureaucrats in Brussels, the organizations of the Soros empire, the international media and, in the end, even the president of Ukraine,” he said.
 
The Prime Minister of Poland "scolded" the rich countries of the EU.

Morawiecki called Germany the "main brake" on new anti-Russian sanctions.

According to him, large and rich EU countries, which are worried about business and the consequences, are afraid of restrictions.

Perhaps that is why they are large and rich. Not Poland.
 
Hujawahi kuona maiti inayohifadhiwa kwenye friza? Huko Ukraine halijoto iko mnamo 0 siku hizi, wakati wa usiku chini, mchana kidogo juu.
Ukraine si Zimbabwe, rafiki.
Sorry, muwe walau na mawazo mbadala na fact zilizonyooka. Dead body are stored kwenye temperature ya 2°C hadi 4°C au below hapo kwenye fridge karib kabisa na jotoridi la Barafu... Hakuna mwanadam wa kusurvive hiyo range ya temperature... Msijitie upofu kisa ushabiki wa kipuuzi mlionao huo.

Huna facts just funga kopo lako tu.
 
Russia is watching NATO from space

“I would like my old acquaintances from work in Brussels, especially (NATO Secretary General Jens - Sputnik) Stoltenberg, to admire their office on NATO’s birthday with the help of a satellite image from the Roscosmos spacecraft,” said Dmitry Rogozin, head of Roscosmos.

To his post on the Telegram channel, he attached a picture of the NATO headquarters in Brussels taken by the Russian Resurs-P satellite.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] watakubali vipi kwenda wakati wanajua huo mpango wameusuka. If it's RFA ndio wamefanya hivo kwanini wasiende kumshitaki vizuri hapo UN kam walivopeleka miswada mingine dhidi ya Russia.
 
Macron called for new sanctions against Russia

According to the French president, they will have to touch Russian coal and gasoline.

The discussion of new sanctions should take place in the near future, said Macron.
 
Mwenye shauku ya kutaka kujua mengi, anaweza kuyatumia maneno haya kama ufunguo wa chumba ambacho kimefichwa kwa wavivu wengi wasio wafatiliaji ya yale yanayoendelea kwenye ki'sphere hiki tunachokiishi

“We had to fight against enormous resistance: the left at home, the bureaucrats in Brussels, the organizations of the Soros empire, the international media and, in the end, even the president of Ukraine,” he said.

Hao
1. "Left at home"
2. Bureaucrats in Brussels
3. The Soros Empire
4. International Media... Na huyu Comedian.
 
Ila kumbuka wanaoteseka ni wananchi wa Ukraine maana moscow watu wanagonga mvinyo.kwa iyo Urusi wala hana cha kupoteza,kama wanajeshi kufa iyo ni kazi yao maana wame sign kwa ajili ya kupigana kufa na kupona.
kwi kwi kwi leo unajisikia vibaya Orc kushambulia ukraine kwani
mwanzo waliposhambulia kharkiv na miji minge kwa mabomu kutoka russia ilikuwaje?
 
Sio mwez moja uliopita kaka, sema miezi miwili iliyopita
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…