LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
Russian VDV paratroopers have been reportedly dropped over Kiev city as Ukrainian anti-aircraft guns are firing in the sky.
Kanusho
Ukrainian media reports that the small dots on the image are the work of Ukrainian Air Defence systems. Hence, our doubts were true.
 
apige mara ngapi? mbona kavamia mahospital na ambulance yy anaua tu

View attachment 2132436
kwa sheria za kivita, unatakiwa kupiga pale panatokea mashambulizi dhidi yako, that means, kama wanajeshi wa ukrain wamejificha kwenye shule au hospitali, wanarusha makombora kukushambulia wakiweka shule hiyo au hospitali kama shield, huwezi kukaa kimya uendelee kuumia, unatakiwa kupiga pale risasi inapotokea. ndio yanayoendelea. watu wengi huwa hawaelewi pia kwanini israeli huwa anapiga na kudondosha majengo kule gaza, ni kwasababu pale anapopiga ndipo risasi inayomlenga inapotokea. kuna military justification za namna hiyo. kama adui amepanda kwenye amburence anakushambulia au anavush amabom kwenye amburence, tandika hiyohiyo, au umwache akumalize.
 
Saga ni kuwa na nuclear tu...
Mjeruman amesema putin hatabirik na haogopi kumpiga member wa NATO.
 
Russia has closed its airspace for Latvia, Lithuania, Slovenia and Estonia. - Rosaviatsia
 
Kuna taarifa zinasambaa kwamba video nyingi zinazorushwa na Ukraine sio halisi
 
EU commissioner anaongea sasa.
Russian bank kutolewa SWIFT.
Central Bank imekuwa paralised.

Anasema Puttin anadestroy Eukraine lakini pia anadestroy future ya watu wa nchi yake.
 
sio ndo puttin atakuw mhalifu wa kivita
kuua mtu aliyeko vitani (combatant) ambaye sio mateka wa vita, sio kosa la kivita (war crime). pia, justified attack on civilian area, mfano, kama hapo ndipo adui amekaa kujikingia raia ili akushambulie, sio kosa bali yeye ndio anafanya kosa. tafuta kitu inaitwa SANREMO MANUAL utaona nini makosa ya kivita na yasiyo ya kivita.
 
Raia wa Eukraine waliokubali kuchukua bunduki wanajua wanaenda kufa kwa ajili ya nchi yao. Na hizo bunduki sio toi. Ni bunduki iliyobebwa na askari.
my friend, hivi ukipewa bunduki, ukaenda kufa, kuna faida gani? at the end of the day urusi itashinda tu, kwani ukiwa vitani kufa kwako kuna faida au hasara? umekufa, waliobaki wanaendelea na maisha, utajiona hero jina tu lakini kiukweli wewe ndio umepoteza. kwamba raia wote waliopewa bunduki 10,000 ni askari? na wanapambania mtaani, hawana mavazi ya kijeshi hata ya kuwakinga na risasi tu, hawapo kwenye magari ya deraya? wapo naked tu yaani na bunduki na unataka wapambane na wanajeshi wa urusi? si kuwasacrifice raia wako hapo? na vita ikiisha sihala zote hizo zipo mikononi mwa raia, watauana wao kwa wao na uhalifu utaisha, who is going to monitor them baada ya hapo? na wakimaliza risasi wapi wanapata zingine?
 
Ndugu yangu, kama wangekuwa wanafikiri kama wewe pasingekuwa na vita.
 
EU commissioner anaongea sasa.
Russian bank kutolewa SWIFT.
Central Bank imekuwa paralised.

Anasema Puttin anadestroy Eukraine lakini pia anadestroy future ya watu wa nchi yake.
ilikuwa haiepukiki, hata asingeenda vitani, kuna siku angekuja kupigana na NATO, sasa bora nini, apigane sasaivi ammalize kabisa ukrain mengine yatajipa baadaye akishamaliza kazi, au asubiri nato waingie chumbani kupitia ukrain aje apambane nao wammalize kabisa? ilikuwa haina jinsi. hadi sasa ameshafanya pakubwa sana dhidi ya ukrain. kilichobaki ni sasa kuangalia namna atakavyofufua uchumi, na lazima atakuwa alijipanga akitegemea haya yatatokea. europrean union ni toothless, hata wafanyeje, ni wajinga tu.
 
Okey
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…