my friend, hivi ukipewa bunduki, ukaenda kufa, kuna faida gani? at the end of the day urusi itashinda tu, kwani ukiwa vitani kufa kwako kuna faida au hasara? umekufa, waliobaki wanaendelea na maisha, utajiona hero jina tu lakini kiukweli wewe ndio umepoteza. kwamba raia wote waliopewa bunduki 10,000 ni askari? na wanapambania mtaani, hawana mavazi ya kijeshi hata ya kuwakinga na risasi tu, hawapo kwenye magari ya deraya? wapo naked tu yaani na bunduki na unataka wapambane na wanajeshi wa urusi? si kuwasacrifice raia wako hapo? na vita ikiisha sihala zote hizo zipo mikononi mwa raia, watauana wao kwa wao na uhalifu utaisha, who is going to monitor them baada ya hapo? na wakimaliza risasi wapi wanapata zingine?