Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

“What the *** are you, bitch, your own? Get out of here before they shoot you."

Here is the answer to how the Azov militants treated the civilians of Mariupol, and why no one could get out of the city. Pensioners, women, children - all were human shields for Ukrainian militants.

Svetlana has a sister and a son in the territory that is still controlled by the Azov militants, so she does not want to show her face. She fears that they will be killed for her words.

Of course, we all understand that in Lvov, where their mothers and sisters are sitting, they would not send anyone to ** th
Galip SV
 
Ukilipwa wewe inatosha ...tuliza kitolea mbolea hicho.
 
Unajaribu chochote kupinda uhalisia.
1) Hakuna Azov huko Bucha. 2) Mashahidi wako kibao. Wameongea na wanahabri waliofika sasa. Waliongea bila maafisa wa Ukraine kuwepo na kusikiliza.
3) kumbe picha yako ya utawala wa Kirusi ni: wakati mji uko chini ya mamlaka ya Urusi, wapinzani Waukraine wanaweza kuzunguka mle na kuua mamia????

Au unataka kutuambia hao wananchi waliuawa wakati Warusi wameshaondoka (jinsi anavyosema msemaji wa Putin) lakini kwa sababu zisizoelewka waliamua kutembea na chakula cha Kirusi mkononi ??

Mashahidi wako. Picha za satelaiti zinaonyesha maiti barabarani tangu siku za Warusi.
 
Wayukraine wa Chabutwa sikonge wanakazana na Kiev mbona hamfiki ... Kuna watu ni viande.
 
Unashupaza shingo wakati mwenyekiti (UINGEREZA) Kakimbia kikao UN. Na hataki uchunguzi ufanyike .sababu wanajua wataaibika na kushusha credibility yao. Wewe mmakua huku unashupaza fuvu
 
Mzee IQ yako ndogo, kubishana na wewe ni kupoteza mda. Au huenda unaelewa mambo ila mahaba yanakutoa kwenye uhalisia. We kuwachukia Russia kiasi hicho hakisaidii wala kupunguza chochote apo Ukraine.

Hujiulizi kwanini Uingereza inagomea Emergency meeting juu ya kile kile wanachokitangaza ni mauaji yaliyofanywa na Russia FA...

Ulivo zuzu mpaka unaboa hujiulizi kwanini hizo picha za Sattelite wanazo dai ni za tukio hawazipeleki apo UNSC ili kuwashitaki vizuri hao waliopeleka shitaka kua hiyo ni Provocation...

Kwani hayo makao makuu ya UN yapo Russia? Si yapo US, kwanini hawaendi kuzipeleka? Jana niliwauliza mna tofauti gani na mbwa anayebweka kila anakosoteshewa kidole na mmiliki wake?

Mbona hamtumii akili nyie... Mna nini kwenye hayo mafuvu ya vichwa vyenu...? Mind zenu zipo like "eeny meeny miny moe" katika kuchambua vitu.
 
Nilisoma hiyo habari mahali kwamba hao jamaa eti walienda kuchimba mahandaki kwenye msitu ulio karibu na hicho kinu cha nyuklia bila kujua sehemu hiyo ya msitu bado ni hatari kwamba kuna mionzi mikali ya nyuklia. Na hii itakua imesababishwa na kile kitendo cha Ukraine kutoa alama za tahadhari kwenye maeneo mengi ili kuwapoteza warusi.

Nawaonea huruma hao wanajeshi maana bila Shaka watakua wamepata Acute Radiation Syndrome (ARS) yaani watakufa wameteseka Sana.
Hiyo kitu ni balaa ngozi inababuka inavuka kama nguo,damu inavujia ndani,bone marrow zinaharibika,internal organs zinaharibika,daah mionzi ya ni habari nyingine.
 

Umekunywa chai?
 
Huna akili., Zelensky hakupenda watu wake kufa bila ya hatia alitaka watu wake wabaki salama siku zote kwa sababu ukranie haikuanza vita walilala asubuhi wakaamkia mabomu kila upande ndio mana siku zote alitaka amani na mazungumzo ili kunusuru watu wake, lakini suali Je Ukraine waliiogopa Russia? Urusi mara ngapi aliwaambia Ukraine waeke silaha chini? mara ngapi? Je Ukraine walieka silaha chini? Zelenksy alipata ofa ya kuokolewa na US ili abaki salama je alikubali? Hii maana yake ni kwamba walikubali kupambana kwa hali yoyote kulinda nchi yao na ndio maana Putini alishindwa kusimamisha bendera yake Kyiv Makao makuu na kumueka wakala wake.

Russia walipata kibano heavy, pamoja na kwamba wao ndio waliovamia lakini wakajua njia ya kutokea, maiti ngapi zilitapakaa katika miji ya Kyiv za wanajeshi wa russia?

Ukrean walipokataa kuweka silaha chini nini kilitokea? Sasa Zelensky bado ni rais wa Ukraine na hakuna mbabe toka russia kumtoa madarkani
 
Staged filming of allegedly killed civilians was organized by Ukrainian special services in Sumy, Konotop and other cities, the Russian Defense Ministry said.
Galip SV
Alisema msemaji Abunuwasov. Kwa bahati nzuri wako mashahidi kibao, wakazi wa Bucha na miji mingine ambao walikuwepo wakati wa uvamizi wanaweza kueleza walichoona.
Tusubiri picha za satelaiti . . .
 
Pole ya kusumbuliwa na IQ mdogo. Naelewa inaumiza kushindwa na mjinga.
Hasa kama mjinga hachukii Urusi kinyume anapenda Urusi na utamaduni wake. Anaombea Urusi iwekwe huru na kiongozi mbaya anayelenga kuiharibui, jinsi anavyofanya Bw Putin.
Hakuna aliyekataa mergency meeting iko leo. Sina shaka picha zitapelekwa huko. Je. utakubali mara zinawekwa mezani huko? (natania tu...)
Swali kwa nini UN iko New York aliuliza pia Trump, alipenda kuiondoa huko. Ila UN iko pia Vienna, Geneva, Nairobi ambako kuna vitango vya makao makuu yake. Hujajua?

Halafu, pamoja na jitihada zako zote za kupinda uhalisia - unasemaje kuhusu mashahidi wa Bucha ?
 
Nonsense
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…