Mwanamkiwi
JF-Expert Member
- Mar 7, 2019
- 2,023
- 2,402
Bado huwezi kuleta chanzo? Mmelilia mara ngapi eti "HAO" (?? "Western") wandai Urusi haina chakula. Si kweli. Hakuna aliyesema.Nenda BIIIBIISII sihangaiki na ww
Vilikosa chakula ukiwa na maana gani unapinga nn halaf unakubali nn
Vyakula kuibiwa kwenye sehem yamachafuko nimambo yakawaida sana ingawaje RUSSIA hawakufanya hicho kitendo
Muwe mnaelewa
RUSSIA sio ZIMBABWE
Wee jamaa unataka chanzo ganiBado huwezi kuleta chanzo? Mmelilia mara ngapi eti "HAO" (?? "Western") wandai Urusi haina chakula. Si kweli. Hakuna aliyesema.
Ila tuliona habari ni kwamba sehemu za jeshi la Urusi zilipangwa vibaya hadi kukosa chakula.
Halafu zilitokea (pamoja ya habari kutoka wafungwa Warusi) picha za askari Warusi waliovunja maduka kuiba chakula.
Ambacho unasema sasa
A) si wizi kwa sababu ni kawaida
B) hata kama ni kawaida Warusi hawafanyi kamwe..... (kwa nini?? mbona ushuhuda upo??)
Ila tu usisahau nilicholeta juu; kule Belarus video ya usalama ilipatikana jinsi gani Warusi waliorudi kutoka Ukraine walituma kwao nyumbani vifurushi vikubwa vya vitu ambavyo waliwahi kuiba ...
Lakini, unavyosema, ni kawaida (isipokuwa Warusi wako si kawaida, ni shujaa watakatifu)
Watakataa[emoji22][emoji22][emoji22]Wanajeshi 267 wa Ukraine wamejisalimisha kwa majeshi ya Russia huko Mariupol...ikimbukwe kuwa jana usiku mji huo ulinyeshelezewa makombora ya kruizi hamsini (50) na majeshi ya Russia toka baharini na angani.
Ramzan Kadyrov, mjeda mtata na hodari wa Putin yupo huko akigawa dozi mbaya mno...jamaa aliombwa na Putin kuwa apumzike kupigana ktk mwezi wa Ramadhani kwa sababu ya kufunga swaumu, mwenyewe Ramzan akakataa, akasema kwenye swaumu ndiyo huwa napata nguvu zaidi ya kupigana na amsha amsha kama zoteee
View attachment 2176869
View attachment 2176897View attachment 2176899
Picha yako ya Satellite ya kuungiwaungiwa bado unaiamini ewe ...😁😁😁😁 Kama una familia inashida sana kuwa na mzazi kiazi kiwango chakoBado huwezi kuleta chanzo? Mmelilia mara ngapi eti "HAO" (?? "Western") wandai Urusi haina chakula. Si kweli. Hakuna aliyesema.
Ila tuliona habari ni kwamba sehemu za jeshi la Urusi zilipangwa vibaya hadi kukosa chakula.
Halafu zilitokea (pamoja ya habari kutoka wafungwa Warusi) picha za askari Warusi waliovunja maduka kuiba chakula.
Ambacho unasema sasa
A) si wizi kwa sababu ni kawaida
B) hata kama ni kawaida Warusi hawafanyi kamwe..... (kwa nini?? mbona ushuhuda upo??)
Ila tu usisahau nilicholeta juu; kule Belarus video ya usalama ilipatikana jinsi gani Warusi waliorudi kutoka Ukraine walituma kwao nyumbani vifurushi vikubwa vya vitu ambavyo waliwahi kuiba ...
Lakini, unavyosema, ni kawaida (isipokuwa Warusi wako si kawaida, ni shujaa watakatifu)
Ni picha zuri. Siamini picha, naziangalia na kukagua.Picha yako ya Satellite ya kuungiwaungiwa bado unaiamini ewe ...😁😁😁😁 Kama una familia inashida sana kuwa na mzazi kiazi kiwango chako
Kaka mapigano hayo umeshashindwa. Siri ya Urusi kushindwa Kyiv ni maandalizi mabaya. Si chakula tu, walishidwa pia kupeleka diseli na risasi mbele. Hapo sababu ya kuacha magari na vifaru ambayo vilikuwa bila hitilafu yoyote. . . .Wee jamaa unataka chanzo gani
Nimekuelekeza ama nimekuambia uende BIIBIISII swahilo
Hio habari yenu UCHWARA ya RUSSIA kuishiwa chakula nakubakiwa na chakula cha siku tatu ilitolewa na hao WAPUUZI namie niliipata huko kwa hao BOGASSSS
Hayo ni mawazo yako binafsi we kima.. utadhani ulikuwepoKwa kuitizama hiyo picha mikononi mwa hiyo maiti inajidhirisha wazi kua maiti hiyo haikuwa hapo bali imehamishwa
Na ukakagua ukaleta ujinga wako .... Nimekuuliza maswali kuhusu Ile picha hujajibu. Idadi ya magari kwenye ground photo na idadi ya magari kwenye satellite photo ..na distance za kati ya gari na gari kwenye ground photo na satellite photo..... Jaribu tu kunijibu mtajua naongea na mtu mwenye upeo Gani .Ni picha zuri. Siamini picha, naziangalia na kukagua.
Huyo jamaa Mwanamkiwi anapinga nini na wakati taarifa za madai ya kuwa wanajeshi wa Russia wana njaa zimeripotiwa hapa chini...na pia hiyo tu ndio ilimtosha Nyamizi kuwa hoja yake kila siku kwa mwezi mzima, utadhani alikuwa hana access na habari zingineWee jamaa unataka chanzo gani
Nimekuelekeza ama nimekuambia uende BIIBIISII swahilo
Hio habari yenu UCHWARA ya RUSSIA kuishiwa chakula nakubakiwa na chakula cha siku tatu ilitolewa na hao WAPUUZI namie niliipata huko kwa hao BOGASSSS
Fungua macho angalia. Magari mawili mabovu yako palepale. Katika picha mpya gari moja limeongezeka. Ajabu gani? Magari kama si mabovu hutembea. Um,bali naona sawa, pembe ni tofauti. Maiti labda ilisongezwa kidogo, so rahisi kutambua kutokana na pichi hizo. Isingekuwa ajabu. Wakiacha maiti barabarani kutokana na hofu na idadi kubwa, tungewza kuwaza mengi. Ila naona utagiti unakuja sasa. Wako wataalamu wanaojua kuchambua mambo haya, wako njiani.Na ukakagua ukaleta ujinga wako .... Nimekuuliza maswali kuhusu Ile picha hujajibu. Idadi ya magari kwenye ground photo na idadi ya magari kwenye satellite photo ..na distance za kati ya gari na gari kwenye ground photo na satellite photo..... Jaribu tu kunijibu mtajua naongea na mtu mwenye upeo Gani .
Basi kama mtu unakili ya Nyumbu, basi azima akili ya mende kuyajua haya, Galip SV huwa anajaribu kuwatoa tongotongo lakini Nyumbu hawaelewi kabisa.Kwa kinachoendelea apo Ukraine, kama zinacharge sawa sawa akilini huezi kaa upande wa Ukraine na West. Hata kama hui'support Russia basi automatically utajikuta unajitenga na upande wa jua linakozama na kuishia kua mtazamaji.
Em ziangalieni hizi tarehe za haya matukio kwa umakini... View attachment 2176796 Hiyo ilikuwa Friday 11th Mwezi March
Kisha View attachment 2176795 Hapa ilikuwa Monday 14th Mwezi huo huo March.
Huyo dada akaja kuonekana akihojiwa namna mchezo wa propG ulivofanyika eneo hilo la Hospital View attachment 2176803 Baada ya hii video sasa [emoji23][emoji23][emoji23]
Ikaja taarifa mpya tena kutoka kwao kua huyu binti katekwa na Jeshi la Russia View attachment 2176794 Taarifa ikitoka 2 April yan siku 3 zilizopita.
Sasa hapa kwa ufupi... Ni kua
11th March akajifungua
14th March wakadai kafariki
25th March akaonekana akitoa taarifa kua kilichotangazwa kutokea pale hospital Mariupol sio kweli, hakukua na mlipuko wa nje isipokuwa wanajesh wenyewe wa Ukraine walilipua eneo hilo kisha kuanza kum'recorf bila hiari yake.
02nd April Media zile zile zikatangaza ametekwa na jeshi la Urusi.
Unajiuliza marehem ametekwa vipi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mtu alofariki toka 14th katekwa 2nd April. Na bado kuna wafuasi wao wanaamini kwa nguvu zote [emoji848]
Tarehe ya uvamizi pia siyo , mwisho wa winter kuelekea spring ardhi tepwe tepwe hivyo vifaru na magari mengine yanakwama kwenye tope.Kaka mapigano hayo umeshashindwa. Siri ya Urusi kushindwa Kyiv ni maandalizi mabaya. Si chakula tu, walishidwa pia kupeleka diseli na risasi mbele. Hapo sababu ya kuacha magari na vifaru ambayo vilikuwa bila hitilafu yoyote. . . .