President of China
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 34,781
- 94,550
Na haya yote Mataifa yenu makubwa yanaona, sasa jiulize kwa nini hayahoji maigizo haya, Utajua kuwa wana personal conflicts.View attachment 2176812 Hawa viumbe wa ajab mno, itizame hiyo picha vizuri. Unauona huo mkono?
Iko hivi.
Maiti iliyotelekezwa eneo lake apa na maana ya ile sehem iliyoshikana na ardhi au sehem yoyote na kitu kingine huanza kubadilika kwa kuweka uweusi wa kuelekea kuharibika.
Mfano mdogo angalia sehem nyeusi za mwili wako, utaona ni zile sehem zenye direct contact kwa wingi na shughuli zako za kila siku.
Mfano mwingine ukichukua hata tunda tu ukalitelekeza, sehem itakayoanza kuharibika ni sehem ilogusana na ardhi au kitu chochote cha karibu.
Kwa kuitizama hiyo picha mikononi mwa hiyo maiti inajidhirisha wazi kua maiti hiyo haikuwa hapo bali imehamishwa kutoka eneo moja kupelekwa sehem nyingine.
Ukienda mbali zaidi angalia ribon walizovaa mkononi, sio za blue wala njano. Ni nyeupe which means walikuwa wakiwa'support Russia. Huezi kua Pro Ukraine uweke armband nyeupe.
Ukirejea kwenye ile kauli yao inakupa picha sababu ya hao jamaa kufa. Angalia style waliyofungwa kisha angalia na hii video hapa chini wanajesh wa ukraine wakiwapiga Raia wao wenyewe kisa wana'wasupport Russia FA. View attachment 2176823 Mhhh...
Ukitoka apo unakuta jibaba ka mzee flani kashupaza shingo na tukiwaambia wana akili ndogo wanasema tunawatukana.
Nawauliza tena wana tifauti gani na mbwa anaobweka kila kona anakosoteshewa kidole na mmiliki wake bila kujali nani anayenyooshewa kidole.
Nimeishia tu Hapo "LABDA MAITI ILISOGEZWA KIDOGO" ..... niongeze Nini zaidi ndugu.Fungua macho angalia. Magari mawili mabovu yako palepale. Katika picha mpya gari moja limeongezeka. Ajabu gani? Magari kama si mabovu hutembea. Um,bali naona sawa, pembe ni tofauti. Maiti labda ilisongezwa kidogo, so rahisi kutambua kutokana na pichi hizo. Isingekuwa ajabu. Wakiacha maiti barabarani kutokana na hofu na idadi kubwa, tungewza kuwaza mengi. Ila naona utagiti unakuja sasa. Wako wataalamu wanaojua kuchambua mambo haya, wako njiani.
Hilo Kombora Mrusi Kaunda pekee yake halafu UK, US na Australia wanataka wapige kombinenga kuliunda na sijui kama watafanikiwa wakati la Mrusi tayari limeshawaumbua huko.....Duh Urusi ni Dunia nyingine kabisa...The Pentagon confirmed that the United States recently successfully flight-tested a Lockheed Martin hypersonic missile. The United States, Britain and Australia intend to jointly develop hypersonic weapons, writes FT.
Galip SV View attachment 2176850
Zelensky na Askari wake akili ndogo Sana...stupid guysView attachment 2176812 Hawa viumbe wa ajab mno, itizame hiyo picha vizuri. Unauona huo mkono?
Iko hivi.
Maiti iliyotelekezwa eneo lake apa na maana ya ile sehem iliyoshikana na ardhi au sehem yoyote na kitu kingine huanza kubadilika kwa kuweka uweusi wa kuelekea kuharibika.
Mfano mdogo angalia sehem nyeusi za mwili wako, utaona ni zile sehem zenye direct contact kwa wingi na shughuli zako za kila siku.
Mfano mwingine ukichukua hata tunda tu ukalitelekeza, sehem itakayoanza kuharibika ni sehem ilogusana na ardhi au kitu chochote cha karibu.
Kwa kuitizama hiyo picha mikononi mwa hiyo maiti inajidhirisha wazi kua maiti hiyo haikuwa hapo bali imehamishwa kutoka eneo moja kupelekwa sehem nyingine.
Ukienda mbali zaidi angalia ribon walizovaa mkononi, sio za blue wala njano. Ni nyeupe which means walikuwa wakiwa'support Russia. Huezi kua Pro Ukraine uweke armband nyeupe.
Ukirejea kwenye ile kauli yao inakupa picha sababu ya hao jamaa kufa. Angalia style waliyofungwa kisha angalia na hii video hapa chini wanajesh wa ukraine wakiwapiga Raia wao wenyewe kisa wana'wasupport Russia FA. View attachment 2176823 Mhhh...
Ukitoka apo unakuta jibaba ka mzee flani kashupaza shingo na tukiwaambia wana akili ndogo wanasema tunawatukana.
Nawauliza tena wana tifauti gani na mbwa anaobweka kila kona anakosoteshewa kidole na mmiliki wake bila kujali nani anayenyooshewa kidole.
Sasa mzee wewe hujiulizi swali kwamba kama Russia anapeleka tani za vyakula kuwasaidia wananchi wa Ukraine atashindwaje kupeleka vyakula kwa wanajeshi wake?Kaka mapigano hayo umeshashindwa. Siri ya Urusi kushindwa Kyiv ni maandalizi mabaya. Si chakula tu, walishidwa pia kupeleka diseli na risasi mbele. Hapo sababu ya kuacha magari na vifaru ambayo vilikuwa bila hitilafu yoyote. . . .
[emoji23][emoji23][emoji23] kwa hiyo maiti huenda ilisetiwa ndio ikapigwa picha sio... yaani iliandaliwa kwa picha.Nimeishia tu Hapo "LABDA MAITI ILISOGEZWA KIDOGO" ..... niongeze Nini zaidi ndugu.
Duh Boss wetu ndio anasepa hivi hivi yaani, hiyo timu lazima niwe shabiki wake..Russian businessman Roman Abramovich found himself a new Chelsea
Now he will invest in the Turkish football club Göztepe. According to D-Smart Spor, all the details of the deal have already been agreed.
Göztepe plays in the Turkish Super League, the last time he was a champion in 1950.
The Chesleys had a similar story: before the arrival of Abramovich, they had not known the taste of winning the Premier League since 1955.