Mwanamkiwi
JF-Expert Member
- Mar 7, 2019
- 2,023
- 2,402
Naweza kulinganisha. Si vigumu. Habari zinafanana katika mengi, katika mengine kuna tofauti.Unataka nianze kupoteza muda kukuelezea tofauti yake kwamba wewe hujui maana yake? Hata mtoto wa la pili anakujibu hilo.
Unaweza kucompare kinachofanyika ukraine na Russia na kilichofanyika Libya, iraq, afghanistan, syria nk? Mpaka hapo utakua umepata maana ya millitary op na vita.
Jibu swali kwani uongo mapadiri hawawarawiti watoto?Pumzika sasa unywe maji ya baridii upunguze munkari,Putin keshafail hata ukeshe unaflood comments 1000 kwa siku haisaidii[emoji1787][emoji1787]
[emoji1][emoji1][emoji1]Russia anaichukua 40% ya nchi ya Ukraine na kuifanya Ni part ya Russia na anachukua eneo zima la bahari na kuifanya Ukraine kua landlocked na bado mnasema hajafanikiwa [emoji1][emoji1][emoji1]kwani mission ya Urusi ilikuwa ni kwenda Ukraine katika phase one, two, three na nyinginezo?
Naona military objectives za Urusi hazijafanikiwa
Well said brother,congratulations.Kuna kitu ama vitu vinashangaza, but no wonder kuona vinatoka midomoni na kwenye akili za watu wa aina flan. Kwanza kila mtu aheshim Imani ya mwenzie sizan kama kuna haja ya kuzodoana kiiman ilhal huu ni uzi kuhusu mgogoro unaoendelea Ukraine dhidi ya Russia.
Kuhusianisha huu mgogoro na issue za kidini ni UPUMBAVU, kwani si kila Muislam yupo upande wa Russia ama kila mkiristo yupo upande wa Ukraine ama NATO ama US. Kuna waislam, wakristo na wasio dini wapo upande wa Russia vile vile kuna waislam, wakristo na wasio dini wapo upande wa Ukraine, US na NATO.
Kuhusianisha huu mgogoro na Iman za watu ni kukosa hoja, na hili litafanywa na wenye uwezo mdogo tu wa kufikiri. Huyu China anayehoji kuhusu US uko Afghanistan, Iraqi, Libya na kwingineko ni taifa ambalo limejaa Buddhist... Wanaohoji kuhusu Yugoslavia kulipuliwa na NATO sio waislam pekee bali kwa kila mwenye Sense ya justice na usawa.
Hungary and Georgia aren't Islamic countries, kwanini hawajasimama na Ukraine? If really all Muslim are with Russia...
Hii sio vita ya kidini, kua waislam wanapigana na wakristo. Russia gotta more Christians than any other religion nchini hapo. Out of 130Mil Pop. More than half are christians, with only 6.3% wakiwa ni Muslim.
But why we do support them? C'se we know the truth. We stand on the right side not the religion side.
Hizi dini zimeletwa tu. Tumezaliwa tumezikuta. Ulizaliwa kwenye familia ya wakristo umekua ukawa mkristo. Amezaliwa katika familia ya waislam amekua kawa muislam. Na wengineo katika dini nyinginezo.
We need to be rational on the way we observe and giving judgements kwenye masuala tofauti tofauti. Unfortunately kwa walio wengi haliwezekani hilo yote kwasababu mindset zao zilivokaa, zimewekwa kufikiria kwa aina flan...
Most of you Guys, mko na little, very little knowledge kuhusu dunia na yaliyomo... Most of you are less informed, na walio na taarifa walau kiasi most wako na taarifa ambazo sio sahihi.
Nawaambia tena kwa upole hakika ni "Ni bora mara 1000 yule adui ajae na panga mkononi kuliko adui ajae na maji ya kunywa yenye sumu wakati una kiu."
We live in the world full of Illusions, what we see are'nt actually what they are.
What could you do the day utakapojua maisha yako yote umeishi ukipigana na rafiki yako ukiamini ndie adui huku ukimkumbatia Adui yako ukiamini ndie rafiki?
Guys, Open your eyes, think rationale... Nobody want you, but they will always be there as much they can use you. Get back to your history, a true history na sio zile history za kupikwa.
Set your mind FREE, then your body, your heart, your soul will follow!
unazungumzia habari za 2014 Russia alipoingia Crimea, na huko Donbas. sisi tunazungumzia vita ya round hii[emoji1][emoji1][emoji1]Russia anaichukua 40% ya nchi ya Ukraine na kuifanya Ni part ya Russia na anachukua eneo zima la bahari na kuifanya Ukraine kua landlocked na bado mnasema hajafanikiwa [emoji1][emoji1][emoji1]
Kumbe yule Bwana Propaganda anaonea kuhusu "vita"?? Ajabu, sio kuna special operation?? Basi si rahisi kurudia uwongo kama ni mpumbavu no.Roman Antonovsky, writer, publicist, author of the Telegram channel "Sons of the Monarchy" @SonOfMonarchy
Even if you do not disassemble the blunders of photo and video evidence of the fake massacre in Bucha, it cannot be simple from the point of view of normal logic.
Yes, war is a dirty and hard thing, anything can happen, but there was nothing in Bucha.
1. Russia from the very beginning fought with the installation to avoid civilian casualties. They didn’t even hit the barracks of the Armed Forces of Ukraine in the first days, hoping that they would lay down their arms. Long assaults and sieges of large cities of Ukraine occur for the same reason - so that there are no casualties among civilians.
Russia has enough lethal weapons of mass destruction to raze Kyiv and Mariupol to the ground and everyone who is there in a couple of days, as the Americans would do when they stormed them. When the Americans estimated that an amphibious landing in Japan could cost them tens of thousands of soldiers' lives, they simply dropped atomic bombs on Hiroshima and Nagasaki to demoralize the Japanese and force them to surrender. And they ironed the cities of Iraq with aircraft for two weeks before their infantry went to clean up the ruins.
We could do the same. But instead, the same Mariupol was slowly and methodically clearing house after house in order to avoid the deaths of civilians.
The Armed Forces of Ukraine and Azov, knowing about this installation of our army, are fixed in residential buildings, kindergartens, maternity hospitals, using the civilian population as a shield, not allowing them to leave through the green corridors.
You can find a lot of proofs of this on the net. The same Armed Forces of Ukraine in Mariupol put on civilian clothes so as not to fall under the shelling of the Russian military. Would they do this if we didn't care whether we killed civilians or soldiers? In the same Mariupol, the local population today shows our military caches and positions of "Azov" and Veseushniks. This is an indicator of which army they really fear and which one they trust.
2. In all the cities liberated by the Russian army - Kherson, Melitopol, Kupyansk - there is a normal life. The Russian military does not kill anyone, they organize the life and delivery of humanitarian aid. Even rare rallies of "trans-Ukrainians" are dispersed with stun grenades - much more gently than the French police, who shot "yellow vests" with rubber bullets.
At the same time, Ukrainian saboteurs are killing the heads of villages and cities who decided to let the Russians in in order to save the lives of their residents.
The mayor of Kupyansk, who surrendered the city without a fight, avoiding destruction and death, was abducted by the Ukronats in retaliation for his daughter.
Why would the Russian army begin to kill civilians in Bucha, leaving the area? This does not fit in with the whole logic of military operations. Our army does not burn villages and cities like the Germans and Americans. She fights carefully, sometimes even to the detriment of rapid military success, as she would fight the enemy on her own land (and this is our land). But the Ukrainian military treat their civilians like cannon fodder.
Galip SV
😁😁😁 Hakika bangi Ni mbaya Sana.unazungumzia habari za 2014 Russia alipoingia Crimea, na huko Donbas. sisi tunazungumzia vita ya round hii
Acha wauawe. Hao hawakuwa raia. Raia habebi silaha.Hapa taarifa tena ya mwanahabari wa Aljazerra, aliyeongea na wakazi wa Bucha. Katika sehemu nilitafsiri, alisikia ushuhuda wa mama Hanna Herega, anayesimulia jinsi alivyoona mauaji ya mwanaume mmoja:
Bucha, Ukraine - Wanalala kifudifudi kwenye mvua, wametawanyika karibu na barabara.
Miili ya watu raia isiyo na uhai imetanda katika mitaa ya Bucha, mji ulio nje kidogo ya mji mkuu wa Ukraine, Kyiv, ambao ulikuwa chini ya uvamizi wa Urusi hadi wiki iliyopita.
Ukraine na washirika wake wameshutumu vikosi vya Urusi kwa kufanya uhalifu wa kivita katika maeneo waliyoteka baada ya kuivamia Ukraine mnamo Februari 24.
Wakati Urusi imekanusha madai hayo kuwa hayana msingi, taarifa za mashahidi wa mauaji ya watu raia yaliyotokea bila uchochezi. pamoja na picha za mitaa ya mji ulioharibiwa iliyojaa maiti zimefichua mateso makubwa ya wanadamu.
Hanna Herega, mkazi wa Bucha, alisema alishuhudia mwanamume akiuawa na wanajeshi wa Urusi. "Alienda kuchukua kuni wakati ghafla [Warusi] walianza kufyatua risasi. Walimpiga kidogo juu ya kisigino, wakiponda mfupa, na akaanguka chini, "Herega aliiambia Al Jazeera. “Askari aliyempiga alimwambia: ‘Usipige kelele la sivyo nitakupiga tena! ' Na wakageuka. Kisha wakampiga risasi wakatenga mguu wake wa kushoto kabisa, pamoja na buti. Kisha wakampiga kila upande [kifuani.] Na risasi nyingine ikashuka kidogo chini ya panja. Ilikuwa ni risasi ya kulenga kichwani, "aliongeza.
HAPA KIINGEREZA CHAKE KUTOKA ‘It was a controlled shot’: Witness describes Bucha killings
It was a controlled shot’: Witness describes Bucha killings
Al Jazeera Staff
Russia has denied committing war crimes in the Kyiv region after images of civilian corpses sparked international condemnation.
Bucha, Ukraine – They lie face-down in the rain, scattered on and near the road.
The lifeless bodies of civilians line the streets of Bucha, a town on the outskirts of Ukraine’s capital, Kyiv, that was under Russian occupation until last week.
Ukraine and its allies have accused Russian forces of committing war crimes in the areas they captured after invading Ukraine on February 24.
While Russia has rebuffed the allegations as unfounded, witness accounts of unprovoked civilian killings and images of the destroyed town’s streets littered with corpses have revealed extensive human suffering.
Hanna Herega, a Bucha resident, said she witnessed a man being killed by Russian troops. “He went to get some wood when all of a sudden they [Russians] started shooting. They hit him a bit above the heel, crushing the bone, and he fell down,” Herega told Al Jazeera.
“The shooter shouted: ‘Don’t scream or I will shoot!’ and they turned away. Then they shot off his left leg completely, with the boot. Then they shot him all over this side [on the chest.] And another shot went slightly below the temple. It was a controlled shot to the head,” she added.
Nani alikuwa na silaha? Kaka unarudia upuuzi. Putin akijaribu kujitetea anadai Waukraine walipeleka maiti na kuzimwaga barabarani huko. Putin hasemi hao watu waliuawa shauri ya kubeba silaha.Acha wauawe. Hao hawakuwa raia. Raia habebi silaha.
Kaokoteni miili ya wapendwa wenu.
Endeleeni kuwapa silaha.
Lakini BBC CNN N.k hawajasema kuwa Bucha ilitekwa na Warusi.
Au nakosea?