lee Vladimir cleef
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 9,571
- 35,485
Da haya maelezo yamekaa vizuri sana kiongozi.Wewe mwenyewe ulichozungumza hujakielewa!
Ulipoambiwa 'Denazification' wewe ulihisi Putin ataenda pale kiev awashike na kuwaua manazi wa pale si ndio!? [emoji1787]
Alaf sijui kwa nini mnajifanya hamuelewi kwa maksudi. Wiki iliopita karibu siku kibao warusi walikuwa wameizingira kiev wakisubiria green light kutoka Kremlin ila baada ya maongezi ya kidiplomasia kupiga hatua wakarudi nyuma as a sign of good faith. Na sio kiev tu bali miji mingi waliyokuwa wameikalia wliondoka baada ya kuwepo matumaini kwenye diplomatic talks.
On the other hand marekani hakuwa peke yake Iraq. Kulikuwa na coalition ya nchi takribani nne i.e. USa, UK, Australia na Poland. Alafu Iraqi hakuwa na msaada wa taifa lolote kama ambavyo UKr amesaidiwa na NATO na EU, pia wavamizi hawakuwekewa vikwazo na nchi zilizobakia duniani.
Malengo yalikuwa ni matatu au manne
1. Denazify
2. Demiliterize
3. Russia speaking UKRnians
4. Ukr never to join NATO - ijapokuwa hili putin hakulitaja kwenye hotuba yake.
---_
4. UKR wameshaweka wazi hawatojiunga tena NATO acc. To Zele mwenyewe
3. Russian speaking UKRnians wameshakuwa liberated kwenye majimbo ya luhansk na donesk sasa hivi zimekuwa republic na muda si mrefu watafanya referendum kujiunga Russia
2. Demilitarization nafkiri wewe ni shahidi jinsi military infrastructures za Ukr zimeuawa. Kuanzia kambi za kijeshi, maghala ya silaha, maghala ya mafuta kwa ajili ya jeshi, command posts/centres, air force i.e ndege za kijeshi, helkopta, drones, air defences, Navy etc. Na silaha nyingi zimetekwa wikapelekwa DPR na LPR. Na nimesikia tetesi kwenye makubaliano kuna kipengele Russia wanataka kiwepo kwamba baadae kwenye kulirudisha jeshi la UKr kibali kiwe kinatoka Kremlin. Yaani urusi wawe wanamonitor shughuli na ukuaji tena wa jeshi la ukr.
1. Denazify umeona makao ya azov huko mariupol ilivyoanguka. Baada ya vita kitengo hiko cha nationalists ambao ndio manazi sidhani km kitabakia tena kwenye jeshi la ukr.
Mpk sasa ndio kwanza stage ya kwanza ya operation ya kijeshi bado stage ya pili ambayo ndio imeanza sio muda. Remember Putin is Unpredictable.
NB. Hayo yote yamefanyika huku wakati huo kuna humanitarian corridor ziliwekwa kuruhusu raia watoke, na misaada ya kibinaadamu kwa raia ambao bado walikuwepo maeneo ya mapigano. Zingatia pia misaada ya aina zote waliyopewa wakraine na vikwazo alivyowekewa Russia.
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Mtu ambaye anakimbilia mambo ya Imani ni wakumpuuza mno .... Mimi ni Mkristo Mkatoliki .... Hakuna muislam asiye na ndugu Mkristo na Kwa Mkristo hivyohivyo hakuna asiye na ndugu muislam sasa ukiona mtu anaanza kudharau na kuleta mambo ya kupondea Imani nyingine jua kwanza hana malezi Bora na hajui hata hiyo Imani yake ni WA kupuuzwa tu.mbna Venus Star ni mkristo tena umifatilia thread zake nyingi za nyuma ni za Kidini za kichrsto
mfano hii
Uhalisia wa Shetani (Utaifahamu kweli, na hiyo kweli itakuweka huru)
Nawasalimia wote JF. Nimeamua kuandika jumbe mbalimbali kwa lengo la kufundisha na kuwafumbua macho waliotayari. Leo hii nitaongelea suala la huyu anayeitwa shetani. Imetokea kuogopwa sana na kuonekana ni kiumbe hatari sana (Kiumbe wa kusadikika). Kwa kuwa nililelewa katika dini ya kikristo...www.jamiiforums.com
na hata hao wengine pia hvyhvyo
Au umekosa HOJA mzee
Unaingia nchi nyingine kwa nia ya kulifuta jeshi halafu unasema ni simple operation. Hiyo ni vita.umeeleweka
ila sababu US alienda VITANI wakati RUSSIA alikua anafanya OP
nadhani pia tumeelewana
Hata PRONATOAMERICA wenzako hata like Moja wanakunyima kweli mmebanwa na mmebanikwa kwelikweli ...akili zimeanza kuwarudi bado wewe ... Kenya tu mnafuata mafuta Uganda , Marekani wanafata mafuta Mexico halafu unashupaza shingo hapa. Endeleeni na vikwazo Urusi anawagongesha tu.Urussi avuliwa chupi tena, mnakumbuka zile habari uchwara kwamba majeshi ya Ukraine 267 wamesalimu amri. Wataalam was vita na Ukraine wamepinga.
-Uliona wapi mateka akaruhusiwa kua na pistol yake.
-Mateka hawana majeraha wala tone la damu
-Mateka nguo safi View attachment 2178653View attachment 2178654
Umebaki kukazia Bucha Bucha Bucha ...ndio mmebaki Hapo tu Buchani .... Mzee operesheni haijaisha .... Kuna maeneo mengi yanashambiliwa vipi tena upepo wa mkopo umewaishiausiwe na wasiwasi, uuchunguzi unafanywa. Kwa bahati nzuri mashahidi wako kibao walioishi chini ya utawala wa Kirusi ambako walishuhudia mara kadhaa kwa macho yao jinsi askarti Mrusi alimwua mtu raia bila sababu; walikuta maiti, wengi walizika maiti (katika mitaa mingine walikuwa na hofu mno hata kutoka nyumbani).
Mashahidi wanaeleza jinsi gani awamu la kwanza la askari Warusi walikuwa wa kawaida, mara nyingi watu wazuri. Baadaye wakaja wengine, vikosi vya wizara ya ndani, walioanza unyama.
Nitaendelea kutafsiri mifano.
Sikutaka kujibu.Asante Mkuu, Sina cha kuongezea. Mimi ni Mkristo.View attachment 2177814
Aliyetabiri Imani/dini za watu sio NYUNDO YA MOTO ni F9T hata Mimi alinitaja humo kuwa ni muislamu jihadist .Sikutaka kujibu.
Ila ntakujibu kiungwana kabisa.
Ukae ukijui wewe ni mjinga na unaungwa mkono wa wajinga wenzio.
Umejuaje dini zetu,hata Mimi sijui wewe ni dini Gani.
Hakuna ushahidi kwamba wanaoitetea Urusi ni waislamu.
Ukae ukijua Urusi sio taifa la kiislam.
Mimi sio muislamu.inatosha.
Kumbuka hakuna kitu kina adhabu Kali kama kumkana Mungu wako.
Nami nasema hapa kuikana dini yangu kwa ajili ya kukufurahisha wewe tu au watu wengine kama wewe ambao hata hatufahamiani na hata ungekua umenishikia kisu bado nisingeikana,labda kwa utadhi wangu binafsi.
Nawapenda sana waislamu,nawaheshimu Sana waislam na ninaishi vizuri na waislam.lakini Mimi sio muislam.
Hakuna dhambi yoyote kwa waislam kuiunga mkono Urusi au Marekani.
Ama waislamu kuipinga Urusi au Marekani.
Siko hapa kwa minajili ya kupata likes, Niko hapa kupitisha ujumbe. Watoto wadogo kama wewe ndo mnapagawa na vitu vya kijinga kama hivyo. Ukikua utanielewaHata PRONATOAMERICA wenzako hata like Moja wanakunyima kweli mmebanwa na mmebanikwa kwelikweli ...akili zimeanza kuwarudi bado wewe ... Kenya tu mnafuata mafuta Uganda , Marekani wanafata mafuta Mexico halafu unashupaza shingo hapa. Endeleeni na vikwazo Urusi anawagongesha tu.
Pole .....kunywa maji. Mwenzako amebaki na Bucha ... Wewe tutakuacha na soko .....Siko hapa kwa minajili ya kupata likes, Niko hapa kupitisha ujumbe. Watoto wadogo kama wewe ndo mnapagawa na vitu vya kijinga kama hivyo. Ukikua utanielewa
Hahaha nikajua utakuja na hoja kudhibiti zangu. Umekuja na mapicha na maelezo mengine tofayti ya nilichokiandika hahaha. Ama umekubaliana na nilichokiandika maana ungekuwa hujakubaliana ungepinga kwa hoja. No wonder ndio maana ukaja na mambo ya udini kutaka kuzima mafuriko ya Putin na Urusi yake ila huko nako umefurushwa vikali [emoji1787]Porojo nyiiiiingi !!!!! .
Huyo Putin wako akafikia hatua kuwapiga mkwara wanajeshi wa Ukraine wajisalimishe na kumuasi rais wao matokeo yake sasa . ndo kwanza askari wake wanazidi kumpenda na kumkubari.
View attachment 2178687
View attachment 2178688
View attachment 2178689
View attachment 2178690
Huku upande wa pili jamaa anaishi kiwasiwasi balaa, yaani hawaamini hadi maafisa wake . hataki kusogereana nao
View attachment 2178697
View attachment 2178699
Independent investugation hujaiona!!?India tayari wamelaani mauaji ya Putin Bucha, wewe komaa hapo hapo.
NEW DELHI, April 5 (Reuters) - India on Tuesday condemned the killings of civilians in Ukraine's Bucha and called for an independent investigation, having earlier declined to explicitly criticise the invasion of Ukraine by its long-time partner Russia.
Recent reports of civilian killings in Bucha are deeply disturbing," T.S. Tirumurti, India's permanent representative to the United Nations, told a meeting of the Security Council.
"We unequivocally condemn these killings and support the call for an independent investigation."
Tirumurti delivered his speech shortly after U.S. Secretary of State Antony Blinken had a phone conversation with India's foreign minister, Subrahmanyam Jaishankar. The United States has repeatedly urged India to condemn Russia's aggression since the Feb. 24 invasion.
Kwa hiyo approval rate yake iko 80% harafu anaogopa kukaribiana na maafisa wake !!!!!.Hahaha nikajua utakuja na hoja kudhibiti zangu. Umekuja na mapicha na maelezo mengine tofayti ya nilichokiandika hahaha. Ama umekubaliana na nilichokiandika maana ungekuwa hujakubaliana ungepinga kwa hoja. No wonder ndio maana ukaja na mambo ya udini kutaka kuzima mafuriko ya Putin na Urusi yake ila huko nako umefurushwa vikali [emoji1787]
Putin anapambana na nchi 30+ zenye intelijensia madhubuti na wameshatoa kauli mbalimbali za kuashiria kutaka kumdhuru. Lazima aishi kwa mahesabu makali.
FYI rate ya kukubalika kwa Putin imeongezeka kufikia 80%+ sasa hivi. Kupiga picha unasalimiana na wanajeshi wawili watatu sio kigezo kuonesha kupendwa. Approve rate yake ikoje!? Wanajeshi wa Urusi wako Ukr wanapigana vita ngumu na wanashinda huku wakifuata amri na maelekezo kutoka Kremlin Hiyo tu inatosha kuonesha msimamo wao juu ya kiongozi wao Putin.
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Vipi umejua kutumia X na S. Kwenye kiswahili hatuna X.Kwa hiyo approval rate yake iko 80% harafu anaogopa kukaribiana na maafisa wake !!!!!.
😀😀😀😀😀😀😀Vipi umejua kutumia X na S. Kwenye kiswahili hatuna X.
Wewe bado ni dogo. Nenda jukwa