Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Mkuu kama utakuwa na source ya hiyo figure za misaada naomba maana kuna MTU nilimuambia akanibishia [emoji120]
Zipo sehem nyingi tu ila moja wapo ni hii List of foreign aid to Ukraine during the Russo-Ukrainian War - Wikipedia

Ukaone namna hawa watu walivo wanyama. Kuna nchi zingine zimetuma silaha tupu ila hata ile sh 10 ya humantarian Aid hawajapeleka.

Hapo EU hiyo B1 Euro wanayoitaja ni ya Military Aid pekee ilhal Msaada wa kibinadam ni Just Euro Mil 500 tu.

Na katika nchi zilizomo ndani ya hyo Organization wengiwao vil vile wametuma zaidi Weapons kuliko mahitaji ya kiraia.

List iko ndefu mno...
Ukiachilia mbali nchi kuna makampuni zaidi ya 100 utayaona hapo kwa hapa ntayataja machache yako nyuma ya Ukraine kumpa support ya kila hali.
1. Microsoft Corp.
2. Meta Platforms
3. GOOGLE
4. SpaceX
5. Snap
6. Amazon
7. Kakao
8. Kel-Tec
9. SK Group n.k

Nikurudishe nyuma EU Aid iko hivi (kwa hapa tunazungumzia Ule umoja wao sio nchi moja moja)
1. Military Aid worth more than 1B euro
2. Humantarian Aid worth of 500Million Euro
3. Satellite intelligence ila bado wanakwapuliwa.

US pekee
1. More than 14B US dollars as Millitary Aid
2. 1B US dollars as Humantarian Aid

Hiyo list ukiitizama kisha wakaa chini unajiuliza kwa hii support bado mtu anakalishwa. Ni taasis za kimataifa, kuna Makampuni, kisha uje kwa nchi washirika kisha waambiwa Russia masikin kafilisika kwenye hii vita unabaki mdomo wazi.

Ukirudi tena kuitizama hio list ya hizo Aids kisha uone wanatoka kutangaza uhitaji wa silaha [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wajiuliza kwani hizo walizopewa zimeyeyuka [emoji848][emoji848][emoji848]...

Some people with no brain wanaendela kusema kua Russia ni Super Power wa mchongo. [emoji119][emoji119][emoji119]
 
Forum kama hii inahitaji matumizi ya akili, sasa unatuita Pro Russia vichaa ulitupima?
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ kwani ofisi ya takwimu Tanzania, iliposema Katika watanzania wanne , mmoja ni kichaa je walikupima ?πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚.
 
Hasa kwa mashoga. Lazima wainyenyekee US kwani wanapewa vilainishi bure na wakipata ukimwi hupewa ARVs bure

Sent from my SM-G5500 using JamiiForums mobile app
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚kama wewe ulivyopakwa mafuta na Galip SV.πŸ€”πŸ€”πŸ€”πŸ€”πŸ€”
πŸƒπŸƒπŸƒπŸƒπŸƒπŸƒπŸƒ
 
Unajua €35b ni sawa na Tsh 88,497,747,450,000.00

Budget yetu ya mwaka ni 30,000,000,000,000. Almost budget ya miaka mitatu ya serikali ya Tanzania. Pesa hiyo Russia kaipata ndani ya mwezi mmoja.

Russia siyo Zimbabwe.
Sema mwanetu tumia japo thelughu ya ubongo wako kuchata aya maandiko yako ma taarifa zako unazozileta uku plz mzee wangu unazingua kabisa unaandika vigu vya kitoto mno
 
[emoji23][emoji23][emoji23] we jamaa kweli upo ulaya wewe?? Ulaya ya mchongo itakua [emoji23][emoji23][emoji23]. Mpaka muda huu hakuna nchi isiyofanya biashara na Russia, hakuna! Narudua hakuna.

Shirikisheni ubongo, unaposema eu wataweka vikwazo nishati ya ulaya, mbadala utatoka wapi? Au unadhani wanakurupuka?

Huyo Finland kujiunga Nato leo ngoja nisubiri [emoji23][emoji23][emoji23] kesho sio mbali. Tatizo mna pressure sana. Us aliapa kua vikwazo juu ya Russia vitarudisha nchi hyo kiuchumi miaka 15 nyuma, waulize leo wanasemaje? Eti vikwazo juu ya urusi havifanyi kazi.
 
[emoji16][emoji3]ipo wazi with all sanctions tungetegemea Russian economy & ruble fresh decline but n opposite uchumi na ruble vyote vinaimarika by dayz
Huu ujuaji mngekuwa mnauweka katika uhalisia Tanzania ingekuwa mbali sana ki Uchumi,ajabu sana kuyaona Mataifa makubwa yanayoongoza kwa kila nyanja Duniani kuwa hawana akili kuweka vikwazo,wakati huo huo unaishi kwenye Nchi iliyotopea kwenye umaskini wa kupindukia[emoji3]
 
[emoji23][emoji23][emoji23] source yao ni Mzee wa 'Hot News' wa JF
 
Germany chancellor amesema makampuni yanaruhusiwa kununua gas straight from urusi, labda watanunua kwa TSH mkuu[emoji23][emoji23]
Mmeshavurugwa mpaka sasa hamthubutu tena hata kutoa update za Ukraine,mmebakia kurukia vijihabari vidogo vidogo.Vipi Mkuu hebu tuambie Mzee Putin keshatimba Kyiv[emoji3][emoji3]
 

Hao wanatapatapa coz Putin ni adui kwao kwenye mipango yao ya NWO ndomana wanahangaika kila siku ili kutimiza mipango yao ndomana wanasema ni adui kiukweli putin ni smart
 
πŸ™πŸ™πŸ™ yaani hawa proπŸ‡·πŸ‡ΊπŸ‡·πŸ‡ΊπŸ‡·πŸ‡Ί ni vichaa sana .
Wao wenyewe wanasema πŸ‡·πŸ‡ΊπŸ‡·πŸ‡Ί Ndo msambazaji mkubwa wa gesi na mafuta duniani.
Sasa hivi kuna uhaba wa mafuta inayotokana na πŸ‡·πŸ‡ΊπŸ‡·πŸ‡Ί kupigwa vikwazo . hebu jiulize ni fedha kiasi gani Russia anapoteza kwa kutokuuza bidhaa zake ikiwamo mafuta? .
 
Daaah! Kwa hii list ya misaada ni kama Vita ya Nchi zote duniani dhidi ya Russia,,, hapo ata ingekuwa n Tanzania vs Russia, halafu tunapewa support kiasi hicho tungeweza kumbua huyo big Russia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…