Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

[emoji23][emoji23][emoji23] source yao ni Mzee wa 'Hot News' wa JF
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ mzee wa hot news amekutana na kisiki zelensky . kageuka kuwa cold news.πŸ€”πŸ€”πŸ€”πŸ€”
VIVA πŸ‡ΊπŸ‡¦πŸ‡ΊπŸ‡¦πŸ‡ΊπŸ‡¦πŸ‡ΊπŸ‡¦πŸ‡ΊπŸ‡¦πŸ‡ΊπŸ‡¦πŸ‡ΊπŸ‡¦πŸ‡ΊπŸ‡¦
VIVA ZELENSKY.
 
Kuna sehemu nimeuliza huyo Russia kama kweli Kidume akatae kabisa kuwauzia hasa Mataifa ya NATO tuone kama ataweza kusurvive hata kwa mwezi mzima,uchumi wake mwenyewe ni wa kawaida tu ukiweka na dose ya sanctions ndiyo kabisaa,hiyo jeuri anaitoa wapi ya kutokuuza.

Sasa hivi Warussi wa JF wamesusa kutuletea update za Ukraine kwenyewe,kuna mmoja alikuwaga anaweka ki ramani flan cha maeneo yanayokaliwa na Russia,sasa hivi sijui kapatwa na nini,ako kimyaaaa [emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23] Slava Ukraine[emoji110][emoji110]
 
Hao wanatapatapa coz Putin ni adui kwao kwenye mipango yao ya NWO ndomana wanahangaika kila siku ili kutimiza mipango yao ndomana wanasema ni adui kiukweli putin ni smart
"Hao" ni nani? Wanasiasa wa Eu wanafuata wananchi wao. Katika hali kama hii si rahisi kwenda kinyume ya matakwa ya jamii.
Mipango ya wansiasa wa EU (ukiacha Poland, Lithuania n.k.) ilikuwa kujenaga biashara na uhusiano na Urusi. Hapa mipango ya mabomba yaliyoendelea muda mrefu, uwekezaji wa makampuni ya EU katika Urusi.
Ila kwa uwekezaji na maelewano unamhitaji mwenzako anayetimiza ahadi na mikataba na kuheshimu sheria ya kimataifa.
Putin ameonyesha sasa kwamba hajali mikataba (amevunja mikataba yake na Ukraine) yuko tayari kuvunja sheria ya kimataifa.
Wananchi wa EU sasa wanamwona kama hatari. Wangekuwa na sababu gani kumwamini katika chochote? Wapiga debe wenzake wameshatangaza hata nchi nyingine zilizokuwa nusukoloni za Urusi (Lithuania, Moldawa, Estonia, Poland) zinafaa kurudishwa katika utii.
Kweli Putin alifaulu kuunganisha tena EU na NATO, kupita kiasi. Amefaulu kurudisha Marekani katika Ulaya.
Ukitaka kumwita "smart" kwa hiyo - chaguo lako.
 
Russia ana mpango wa kucounter ambao utaleta balaa kubwa.yaani ameshaanza kusema kutokana na vikwazo nchi yake itaamua kutuza chakula hii ikimaanisha kuwa hatoweza kupeleka mazao ya chakula kwa nchi korofi.
hiyo ni mikwala ya mbuzi ya kichaa Putin.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚tumeshamzoea huyo .
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ sasa hivi waπŸ‡·πŸ‡Ί wote wa humu wamegeuka kuwa wachumi na watakwimu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ mambo ya vita hawaongelei tena 🚢🚢🚢🚢🚢🚢🚢
 
View attachment 2179386
Mlenga shabaha wa FSO akiwa kwenye moja ya kuta za Kremlin, katikati ya Moscow.
vp makombola yameisha ?πŸ’ͺπŸ’ͺπŸ’ͺπŸ’ͺπŸ’ͺπŸ’ͺ.
Au wameanza kulenga shabaha baada ya kumuona mwamba Zelensky yuko poli kwa poli kuwasabahi vijana wake πŸ‘ŠπŸ‘ŠπŸ‘ŠπŸ‘ŠπŸ‘Š
 
Ndio maana nakwambia hizo hela unazo lipwa kufanya propaganda humu zina kutoa akili.
Nimekwambia unipe ushahidi wa wana nchi wa ulaya ambapo wamesema wako tiyari kubeba maumivu ya vikwazo dhidi ya Urusi wewe unaleta maneno yako.

Wananchi wa Ulaya wangekuwa wana mchukia putin kama unavyo razimisha tuamini basi waziri mkuu wa Hangare angeshindwa uchaguzi maana ni mshirika mkubwa wa putin na kwenye huu mgogoro ameonesha wazi kuwa upande wa Russia na haitaji nchi yake iumie kwa ajili ya mgogoro isiyo mhusu.

Wananchi wa Ulaya wangekuwa wana mchukia putin rais wa Serbia asinge shinda uchaguzi maana ni mshirika mkubwa sana wa putin.

Na nina kuhakikishia sasa hivi nchi zote za umoja wa Ulaya zikiitisha uchaguzi serikali zote zitaanguka kutokana na ukali wa maisha wanayo pitia wana nchi wa hizo nchi.

Sasa hivi Baiden amepoteza zaidi ya asilimia 50 kuokana na kupanda kwa gharama za maisha nchini Marekani, sasa ww nakushangaa unapo sema wanchi wa Ulaya wako tayari kwa maumivu.
 
Huku "production ya vifaru"imesitishwa kula Javelins zinaendelea kuingia Ukraine ,kumalizia vifaru vilivyobakiπŸ€”
 
Mmeshavurugwa mpaka sasa hamthubutu tena hata kutoa update za Ukraine,mmebakia kurukia vijihabari vidogo vidogo.Vipi Mkuu hebu tuambie Mzee Putin keshatimba Kyiv[emoji3][emoji3]
kichaa PutinπŸ‡·πŸ‡ΊπŸ‡·πŸ‡ΊπŸ‡·πŸ‡ΊπŸ‡·πŸ‡Ί nasikia ameshatimba Kivu. Ila ni Kivu ya Congo πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 

Na kama hao EU ni wababe waweke vikwazo kwenye nishati ya mrussi. Mbona hawaweki vikwazo? Why? Wake up. Na mtapoteana sana RUSSIA SIO ZIMBABWE
 
Hilo lisikupe shida kwa sababu hata Marekani amepiga marufuku mafuta ya Urusi lakini ndio kwanza yanazidi kumiminika kuliko hata kabla ya vita marufuku iko kwenye makatatasi tu.
 
Vikwazo vinafanya kazi sana..nchi sio kama mtu binafsi unaona matokeo haraka..
 

Yuko tayari kuvunja sheria ipi ya kimataifa tuanzie hapa na hajali mikataba ipi? Inaoneka unajua vzr mikataba hio twende kazi.

Wananchi wa EU kama nchi zipi wanamwona hatari??
 
Kwisha hao...baada ya mwezi huu watakimbia wote
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ sasa hivi waπŸ‡·πŸ‡Ί wote wa humu wamegeuka kuwa wachumi na watakwimu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ mambo ya vita hawaongelei tena 🚢🚢🚢🚢🚢🚢🚢
🀣🀣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…