Wanaendelea kukamata vitendea kaziView attachment 2179391View attachment 2179392View attachment 2179393View attachment 2179394
Marekani alikuwa ananunua mafuta Urusi??!!Hilo lisikupe shida kwa sababu hata Marekani amepiga marufuku mafuta ya Urusi lakini ndio kwanza yanazidi kumiminika kuliko hata kabla ya vita marufuku iko kwenye makatatasi tu.
Urusi anakukunguta mpaka wewe bongo uku huelew maisha yamekua magum kwa ajil yake alafu unambezaKuna sehemu nimeuliza huyo Russia kama kweli Kidume akatae kabisa kuwauzia hasa Mataifa ya NATO tuone kama ataweza kusurvive hata kwa mwezi mzima,uchumi wake mwenyewe ni wa kawaida tu ukiweka na dose ya sanctions ndiyo kabisaa,hiyo jeuri anaitoa wapi ya kutokuuza.
Sasa hivi Warussi wa JF wamesusa kutuletea update za Ukraine kwenyewe,kuna mmoja alikuwaga anaweka ki ramani flan cha maeneo yanayokaliwa na Russia,sasa hivi sijui kapatwa na nini,ako kimyaaaa [emoji23][emoji23][emoji23]
Walio weka vikwazo ndo wamefanya maisha yawe magumuUrusi anakukunguta mpaka wewe bongo uku huelew maisha yamekua magum kwa ajil yake alafu unambeza
Mbona Iran, Korea, quba, Afghanistan zote ziliwekewa vikwazo uliwai banwa popote?Walio weka vikwazo ndo wamefanya maisha yawe magumu
Wanaweka tu. Hatua kwa hatua. Uwe na subira..Na kama hao EU ni wababe waweke vikwazo kwenye nishati ya mrussi. Mbona hawaweki vikwazo? Why? Wake up. Na mtapoteana sana RUSSIA SIO ZIMBABWE
Propaganda za beberu wa ulaya na America dhidi ya hasimu wao Russia 🐒Mkuu mbona data zenu zinapishana hii ni ya april kwa akili zako unaona data zipo sahihii?? Mbona hatuwaelewi?? Hii ni data zao za marchView attachment 2179369
Mchango wao kwenye uchumi wa dunia ndo unaamua, ni Sawa na Tz tuwekewe vikwazo, dunia itaumiaje? Leo China awekewe vikwazo, dunia yote Italia.Mbona Iran, Korea, quba, Afghanistan zote ziliwekewa vikwazo uliwai banwa popote?
we ndo huelew mzee.vita ya kupigana ilihali unawatenga usiumize raia ni ngumu sana.sio mshabik ila wangeamua wangevugumisha mabomu raia weng wangekufa.Wakati anaamrisha majeshi yake kuivamia Ukraine bwana Putin alidai anataka kuondoa Manazi wanaoiongoza serikali ya Ukraine, hiyo ilikuwa tarehe 24 March, leo ni zaidi ya mwezi hawajaweza kuondoa hata nazi moja pale Kyiv,
Tarehe 19 March mwaka 2003, majeshi ya marekani yalianza kuishambulia Iraq kwa lengo la kumuondoa Rais Sadamu madarakani eti kwa sababu alikuwa anamiliki siraha za maangamizi.
anyway, wote, USA na Russia walitoa sababu za kijinga sana kuvamilia mataifa hayo mawili, lakini wote walikuwa na objective moja, kuangusha tawala za mataifa hayo.
Tarehe 9 April 2003, serikali ya Sadamu ilianguka, ilichukua wiki tatu kwa wamerekani kutimiza lengo.
leo ni zaidi ya mwezi toka Russia waivamie Ukraine, walichofanikiwa ni kubadili malengo ya uvamizi wao
nadhani nimeeleweka nachozungumzia.
Putin anavunja ordodha ndefu ya mikataba ambayo Urusi ilijiunga nayo.Yuko tayari kuvunja sheria ipi ya kimataifa tuanzie hapa na hajali mikataba ipi? Inaoneka unajua vzr mikataba hio twende kazi.
Wananchi wa EU kama nchi zipi wanamwona hatari??
Hizo ni nchi zenye mchango mdogo katika dunia, hawana lolote la kupoteza.Mbona Iran, Korea, quba, Afghanistan zote ziliwekewa vikwazo uliwai banwa popote?
Mchango wao kwenye uchumi wa dunia ndo unaamua, ni Sawa na Tz tuwekewe vikwazo, dunia itaumiaje? Leo China awekewe vikwazo, dunia yote Italia.
Umemaliza kazi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] em ongeza sauti kidogo na wengine wakusikie hasa Vichwa maji wa "International Community"....
Nanukuu Mchango wao kwenye uchumi wa dunia ndo unaamua [emoji847][emoji847][emoji847][emoji847]
Biden [emoji19] "I heard Russia is the 11th World Economy in the world, I will make sure at the end of this year they won't be even to the world top 50 big economy..."
IMF [emoji848] "IMF would downgrade its previous forecast for 4.4% global economic growth in 2022 as a result of the war, The impact would be most severe in terms of driving up commodity prices and inflation, potentially leading to hunger and food insecurity in parts of Africa"
Pro US na NATO wa JF [emoji847] "Russia masikini hana lolote, Uchumi wao mbovu"
Points of argument...
1. Kama ana uchumi hoe hae, ilikuaje akawa wa 11 in the world out of more than 200 Countries worldwide [emoji848]
2. Dunia imekua vitan kila leo, Libya, Iraq, Afghanistan na kwingineko... Why kwa Russia uchumi uyumbe dunia nzima... If its really true uchumi wake ni insignificant to the world?
3. If its really true, Russia gotta poor economy, mbona kuna zaidi ya sanctions 6,000 within a month zipo targeted kwenye uchumi ambao unadaiwa ni poor [emoji848]
4. If Russia economy is insignificant, kwanini kuna maandamano ya raia mataifa husika wakilalamika ugum wa maisha kutokana na vikwazo walivoviweka ilhal uko nyuma kwa nchi kama Venezuela, North Korea na Iran hatuyaona?
5. Wachambuzi wa uchumi wa kimataifa wanatabiri anguko la kiuchumi kwq Europe endapo atafanya total isolation ya nishati kutoka Russia. If that's true, inakuaje mataifa yanayodaiwa yako ngangali kiuchumi yayumbishwe na hii nchi inayodawa kua ni hoe hae kiuchumi.
6. Inflation na hali mbovu wanayopitia raia wa nchi nyingi zaidi dunian lawama zake zinaelekezwa Moscow [emoji23][emoji23][emoji23]... Inakuaje lawama zipelekwe kwenye nchi inayodaiwa ni dhaifu with poor economy [emoji847]
Kwa anguko hilo wanalolidai IMF la kiuchumi duniani haitoshi kusema kua uchumi wa Dunia unategemea kwa kiasi chake survival kutoka Russia?
Je hii haithibitishi kama Russia sio ZIMBABWE [emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]
Marekani alikuwa ananunua mafuta Urusi??!!