Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Na haya maelezo asipoelewa duh [emoji119][emoji119][emoji119]
 
Najua unapata wakati mgumu kupata taarifa za ùkweli juu ya masuala yanauoendelea Ukraine. Taarifa zilizopo nikuwa Ukraine imepiga kituo hicho cha traini ili kuzuia wananchi wa maeneo hayo wasikimbie wabaki hapo ili waje kutumika kama ngao kama walivyofanyiwa wananchi wa Mariopol. Na sehemu bomu lilipotoka kwa ajili ya kuua raia wasio na hatia pamejulikana.

Tusichoshane jisomee mwenyewe.
=====
UPD: The Russian Ministry of Defence commented on the attack of the AFU on civilians in Kramatorsk, denying all the Kiev’s accusations against Russian forces. Here are some details shared by the Russian MoD:

” In order to accuse Russia of an alleged missile strike on the Kramatorsk railway station, the Kiev regime has shared photos of the Tochka-U launchers that took part in the Russian-Belarusian exercise “Allied Resolve-2022” in February 2022 on social networks. Pay your attention that all photos published by Kiev of the exercises “Allied Resolve-2022” do not depict Russian missile systems.

According to updated data, the attack on the Kramatorsk railway station was carried out by a missile division of the Ukrainian armed forces from the area of the settlement of Dobropillya 45 kilometers southwest of the city.

The aim of the Kiev regime’s strike on the station in Kramatorsk was to disrupt the mass departure of residents from the city in order to use them as a “human shield” to defend the positions of the Armed Forces of Ukraine, as in many other settlements of Ukraine.

In his turn DPR Representative Basurin claimed that during the attack on Kramatorsk, the Ukrainian military used a Tochka-U missile equipped with a cluster warhead, about 30 people were killed, about 100 were injured.


Source: SF.com
 
Stupid logic, kama wangetaka wasiondoke wange haribu treni ambazo ziko mikononi mwao.
 
Yani mtu alipue watu wake kisa na maana wasiondoke, hii inaingia akilini kweli. Punguzeni ushabiki.
Kuna mbinu nyingi za kuzuia watu wasiondoke ila kuwalipua halipo kabisa
 
Stupid logic, kama wangetaka wasiondoke wange haribu treni ambazo ziko mikononi mwao.
Pole sana, ushetani wao ndivyo, unavyowatuma. Yaani kama walikuwa na ujasiri wa kuuwa watoto na wanawake kuwatisha wengine wasitoke kwenye maeneo wanayodhibiti wataona ugumu gani kulipua vyuma vinavyounda traini visivyo na roho!!! Sasa tuanze hapa lojiki yakipuuzi kupuuza kuunganisha nukuta hizi tuiamishie kwa nani, mkuu?
 
UNESCO refused to proclaim the World Day of the Russian Language.

This was reported in the social networks of the Russian permanent mission in the organization.

Consideration of the issue was held today at the headquarters of UNESCO in Paris. Our representatives called this decision “a blow to multilingualism”.

The day before, Maria @MariaVladimirovnaZakharova Zakharova expressed her hope that the vote would not be politicized and the culture of abolishing the Russian would not affect the Russian initiative
Galip SV
 
Russian Ministry of defence
Si hekima sana kuuliza wizara ya Urusi kuhusu hatma ya jeshi lake. Lazima watasema yote sawa. Vivyo hivyo usiuliza wizara ya Ukraine kuhusu hatma ya jeshi lake. Waliona vema kutotaja vifo vyao. Wakati wa vita waongo kila upande. Ni sehemu yake
Ila ule msafara wa magari ya Urusi ulikwenda vibaya. Ukiacha foleni ya magari kwa zaidi ya wiki porini (pasipo na nafasi kuondoka kushoto au kulia) utapoteza mengi. Pia hakika hawakufika walipolenga. Walilenga Kyiv.
Mabaki yaliweza kukimbia.
 
Si kweli. Takriban robo moja ya raia wa Ukraine wana Kirusi kama lugha ya kwanza, pamoja na rais Zelenyky. Wengi wanaongea lugha zote mbili. Mji kama Kharkiv ni hasa wasemaji wa Kirusi . Wanajitetea dhidi ya jeshi la Putin hadi leo maana ni Waukraine wenye lugha ya Kirusi.
 
Yani mtu alipue watu wake kisa na maana wasiondoke, hii inaingia akilini kweli. Punguzeni ushabiki.
Kuna mbinu nyingi za kuzuia watu wasiondoke ila kuwalipua halipo kabisa
Mtaongea kila aina maneno lakini hamuwezi kubadilisha ukweli.

Hili shambulizi limefanywa na Ukraine aidha kwa bahati mbaya au kwa makusudi ili kuendeza vita vyao vya kipropaganda ya kwamba Urusi inauwa raia.

Urusi imeonesha ushahidi mpaka kombora lilipo tokea lilifyatuliwa kutoka upande ambapo kuna wanajeshi wa Ukraine.

Na kombora kama hili Ukraine ilisha litumia kwenye mji wa Donesk unao dhibitiwa na waasi wanao ungwa mkono na Urusi na kuuwa watu 22.

Mara ya kwanza vyombo vya habari kama kawaida yao walikuwa wameituhumu Urusi lakini sasa hivi wamebadilika wanasema haijulikani ni nani aliye fanya shambulizi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…