NYUNDO YA MOTO
JF-Expert Member
- Jun 12, 2015
- 5,360
- 17,003
Nuclear ni habari nyingine kbs. Na mungu nae anasaidiaHakuna wakumuondoa PUT IN c NATO wala hao unaosema wananchi wake sababu wengi wanamkubali
Pia UKRAINE haiwezi kua sababu ya NYUKLIA WAR
Huyu bwana komediana ataomba poo nisuala la muda tu kabla hatujashuhudia UKRAINE ikiwa mapande mapande mashariki na magharibi
Tuwe na subra
Wakati mwingine uwongo ni mpumbavu kupita kiasi. Tangu siku Ukraine inafanya kazi ya kuondoa familia kutoka sehemu za hatari. Jeshi lenyewe ni wanaume wanaobaki na kuingizwa jeshini, ilhali wanawake na watoto wanatumwa magharibi mwa nchi. Sasa wanataka kuaminisha hao wanaume wenyewe wanapiga mabomu kwenye kituo cha reli ili wabaki na watu raia kama nago za kibinadamu??? (hata kama wangetaka, njia rahisi tena ya uhakika ingekuwa kubomoa njia za reli,hakuna treni tena inayopita. Kurusha roketi hadi stesheni haina uhakika, itatengenezwa baada ya muda kidogo, pili unaweza kuua mke wako au mtoto wako...)Ukrainian media are spreading a fake trying to accuse Russian troops of launching a Tochka-U missile at Kramatorsk, which killed more than 30 people.
The network publishes photos and videos of Belarusian launchers, which in February took part in the joint exercises of the two countries "Allied Resolve-2022". They are passed off as Russian.
The Ministry of Defense of the Russian Federation drew attention to the fact that the footage does not show our weapons - the Russian army does not use Tochka-U.
According to the updated data of the department, a missile division of the Armed Forces of Ukraine from the area of the settlement of Dobropolye, 45 km south-west of the city, struck at the railway station of Kramatorsk.
Its goal, according to the Ministry of Defense, is to disrupt the departure of residents from the city in order to use them as a “human shield” to defend the positions of the Armed Forces of Ukraine, as in many other settlements of Ukraine.
Galip SV
Kaka hakuna anayewalea Waukraine. Wenyewe wanashtuka walishambuliwa bila sababu. Wanakumbuka Putin alianza kushambulia miaka 8 iliyopita krimea lakini hawakutegemea anakuja hivyo. Wanataka kujitetea. Kwa kila kipimo cha haki na sheria ya kimataifa wana haki ya kujitetea. Hapa wanapigania kwa uhodari ambao wengi wanashangaa.West wanawalea sana Ukraine. Hawajui kufanya hivyo kunaongeza mauaji ya raia. Siku zote Ukraine wanashambulia raia lakini west wako kimya na saa nyingine wana blame Russia. Ukraine wasipokanywa wataendelea kufanya mauaji ya raia ili Russia aonekane mbaya zaidi mwisho wa siku wanaokufa ni waukraine hao hao ambao ndio nguvu kazi ya kesho. Wakiendelea kuua watu wao wenyewe nani ataijenga Ukraine baada ya vita?
Za kichwa tuu mkuu mpka azimie[emoji23][emoji23][emoji23]...unamvutia kasi akiijichanya unamla za utosi...
UPUPUWell played USA, Tumepiga kura za Umoja wa mataifa ili kuiondoa Russia katika baraza la haki za kibinadamu! Why?
Kuhalarisha mauaji na mateso wanayopata wanajeshi wa kirusi ili kesi za Kuliwa na kuteswa zisiwe na impact au nguvu.
Kumpa uhalali Ukraine kufanya chochote kwa wanajeshi wa Russia, (mateka), hapa Russia awe makini sana, Atapigwa na kitu kizito, kwasababu makosa watakayofanyiwa Russia na Ukraine kwa wanajeshi wake yatakuwa hayana nguvu kama wakifanyiwa Ukraine.
Kwakweli jamaa alitumia busaraNuclear ni habari nyingine kbs. Na mungu nae anasaidia
Kuna stori ya mwamba mmoja inanifikirishaga kidg ni ya kusisimua pia.
Stanislav Petrov cheo chake alikuwa lt. Col. Akiwa afisa wa zamu kwenye kituo cha kamandi ya mfumo wa kutoa tahadhari za awali za (mashambulizi ya) nyuklia wa (OKO nuclear early warning system). Hiyo siku mfumo huu wa OKO ulileta shida kidogo (malfunction) na kutoa taarifa ya makosa kuwa kuna kombora 5 za nyuklia zipo njiani kushambulia USSR kutokea marekani. Huyu bwana akiwa kama afisa in charge wa mfumo huo kwa kutumia sijui ndio tuseme hekima yake hakureport kwa wakubwa zake kuwa nchi yao ipo kwenye mashambulizi ya nyuklia kutoka marekani kwa kuwa aliamua kuwa ile ilikiwa ni tahadhari ya kimakosa. Laiti kama angelitoa taarifa ya tahadhari hiyo hapohapo USSR wangelaunch nao retaliatory strikes dhidi ya NATO na US kitendo ambacho kingepelekea vita vya nyuklia.
Baadae wasovieti walikuja kugundua kweli kulikuwa na shida kwenye mfumo wao na huyu jamaa akawa kasave dunia na vita mbaya ingeyoweza kutokea
Kuna mahali nilisoma makala flani wanasayansi mbalimbali wa mambo ya nyuklia wanaelezea madhara ya vita vya nyuklia yanavyoweza kuwa nikahitimisha hata Urusi leo aipige nchi yoyote mwanachama wa NATO au US aipige urusi popote au aingize jeshi lake Ukr kupambana na urusi vyovyote itavyokuwa hakuna atakayekuwa tayari kuanzisha vita vya nyuklia. Madhara yake ni makubwa sana na pengine ikawa ndio mwisho wa ustaarabu au uhai wa binadamu duniani.
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Binafsi najaribu kuwa kuwaza huu msafari uliishiaje mana walikua wamejipanga haswaule