Ajab zaidi ni Tochka U, ingekuw Iskander Missile Ingechimba chini.Eneo lipo soft hivo halina destruction yyte alafu useme hit by missile?
🤣🤣🤣🤣🤣unajitahidiUsishangae. Picha haionyeshi majengo yaliyoathiriwa. Inaonyesha sehemu ya uwanja wa stesheni, watu walioanguka. Vile vipande vidogo vinavyoweza kumjeruhi / kumwua mtu havionekani vizuri kwenye picha kwa umbali huo. Nahisi ni vile pembetatu ndogo.
As long as it point finger kwa Russia mbio mbio italetwa. Hutuwatukani ila huwa tunawauliza.... Wanatofauti gani na mbwa ambae anabweka kila sehem anakonyooshewa kidole na mmiliki wake bila kujal sabab nyuma ya kidole kile... eeh?Achana na mwalimu wangu. Kuanza kumjadili mtoa hoja badala ya hoja
Comment yako/zako uliyoitaja qatar, uae, saudia na algeria ni ipi!? Huu ni uwanja wa wazi kila mtu anaona. Unaweza kutaja walau post namba!?
Ikiwa UK ana reserve kubwa ya natural gas luliko Israel unafkiri Israel atafanikiwa vipi kuuza gesi walau kwa kiwango cha maana EU?.
Kingine ni gharama ya gesi yenyewe. Gesi itoke Israel iende kuwa liquefied egypt alafu ndio isafirishwe kwenda kuuzwa ulaya unafkiri gharama yake itakuwa sawa na ya gesi inayotoka moja kwa moja kutoka Urusi mpk ulaya kwa mambomba!?
Ungeyafikiria yote haya usingeleta hiyo habari hapa. Hukufikiria wewe ulivyoona tu gesi, israel, ulaya, Egypt mbio ukaileta hapa. In other words umeiokota hii habari ndio maana unashindwa kuitetea. Pro Nato mnapenda habari za kuokoteza dalili za kuishiwa [emoji1787]
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Kwanini usiseme paka za Zelensky na Zele mwenyewe wakae chini waache vita.....Dozens killed and injured by a Russian missile strike that targeted a train station in Kramatorsk, a city in Donetsk oblast. Thousands of people were at the station trying to evacuate.
Utaskia mbuzi za Putin zikisema propaganda
View attachment 2180252
Propagandist peddler katika ubora wakeKali ya mwaka hii, majeshi ya Urussi yalibeba uniform za parade wakitarajia kumarch katika mji wa Kyiv kama Hitler alivyofanya Warsaw na Paris🤣🤣🤣
Russian soldiers advancing on Kyiv brought parade uniforms with them, seeming to expect a victory in less than two days,” Insider reports.
“The official said the soldiers left them behind when withdrawing from the Kyiv area, after weeks of trying without success to take the Ukrainian capital
View attachment 2180199View attachment 2180200View attachment 2180201
So kulazimishana huku ndio demokrasia yenyewe au? Kila wanaopishana nao mtazamo ni msaliti. Wataadhib Raia wangapi sasa [emoji848]
West wanawalea sana Ukraine. Hawajui kufanya hivyo kunaongeza mauaji ya raia. Siku zote Ukraine wanashambulia raia lakini west wako kimya na saa nyingine wana blame Russia. Ukraine wasipokanywa wataendelea kufanya mauaji ya raia ili Russia aonekane mbaya zaidi mwisho wa siku wanaokufa ni waukraine hao hao ambao ndio nguvu kazi ya kesho. Wakiendelea kuua watu wao wenyewe nani ataijenga Ukraine baada ya vita?
Hakuna wakumuondoa PUT IN c NATO wala hao unaosema wananchi wake sababu wengi wanamkubaliTuzidi kumuomba Mungu ili hii vita ya Ukraine imalizike bila madhara zaidi. Nasema hivi kwasababu nakumbukia kauli ya Putin mwanzoni kabisa alivyosema " kama Russia haitakuwepo basi haina maana wengine kuwepo".
Sasa ninachokiona jinsi Russia inavyozidi kuminywa kiuchumi na kutengwa inaweza kufika muda Huyo Putin kusema " Potelea Mbali" hivyo kuamua kuleta maafa makubwa duniani kwa kuanzisha nuclear war.
Hatakuwa tayari kuona Russia au yeye Mwenyewe anaanguka kwa aibu. Russia imebanwa sana na kutengwa sana na Pressure ya kuzidi kuiminya inaongezeka kila kukicha.
Hii hali ikiendelea hakika kuna hatari kubwa mbeleni huko. Tuombe tu itokee Putin aondolewe na wanachi wake mwenyewe ambapo ndilo lengo la NATO/USA
Hayo mauaji ndio wanayoyahitaji. Na wanayahitaji yalo makubwa zaidi ya hapo unfortunately upande wa pili wanajitahidi kuyakwepa kwa kutoshiriki.West wanawalea sana Ukraine. Hawajui kufanya hivyo kunaongeza mauaji ya raia. Siku zote Ukraine wanashambulia raia lakini west wako kimya na saa nyingine wana blame Russia. Ukraine wasipokanywa wataendelea kufanya mauaji ya raia ili Russia aonekane mbaya zaidi mwisho wa siku wanaokufa ni waukraine hao hao ambao ndio nguvu kazi ya kesho. Wakiendelea kuua watu wao wenyewe nani ataijenga Ukraine baada ya vita?
Kwa hatari iliyopo hakuna wa kumminya Urusi mpaka kufikia breaking point! Hayupo. Wanaminya ila kuna mahali ikifika ni mstari hawavuki hapo. Hakuna anayetaka vita vya nuclear tena ikiwa ni dhidi ya urusi. Hayupo.Tuzidi kumuomba Mungu ili hii vita ya Ukraine imalizike bila madhara zaidi. Nasema hivi kwasababu nakumbukia kauli ya Putin mwanzoni kabisa alivyosema " kama Russia haitakuwepo basi haina maana wengine kuwepo".
Sasa ninachokiona jinsi Russia inavyozidi kuminywa kiuchumi na kutengwa inaweza kufika muda Huyo Putin kusema " Potelea Mbali" hivyo kuamua kuleta maafa makubwa duniani kwa kuanzisha nuclear war.
Hatakuwa tayari kuona Russia au yeye Mwenyewe anaanguka kwa aibu. Russia imebanwa sana na kutengwa sana na Pressure ya kuzidi kuiminya inaongezeka kila kukicha.
Hii hali ikiendelea hakika kuna hatari kubwa mbeleni huko. Tuombe tu itokee Putin aondolewe na wanachi wake mwenyewe ambapo ndilo lengo la NATO/USA
imekuaje tena Chenchen fighter wawe upande wa ukraine
😂😂😂