Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Dozens killed and injured by a Russian missile strike that targeted a train station in Kramatorsk, a city in Donetsk oblast. Thousands of people were at the station trying to evacuate.
Utaskia mbuzi za Putin zikisema propaganda
IMG_20220408_113442.jpg
 
Kuna kitu ama vitu vinashangaza, but no wonder kuona vinatoka midomoni na kwenye akili za watu wa aina flan. Kwanza kila mtu aheshim Imani ya mwenzie sizan kama kuna haja ya kuzodoana kiiman ilhal huu ni uzi kuhusu mgogoro unaoendelea Ukraine dhidi ya Russia.

Kuhusianisha huu mgogoro na issue za kidini ni UPUMBAVU, kwani si kila Muislam yupo upande wa Russia ama kila mkiristo yupo upande wa Ukraine ama NATO ama US. Kuna waislam, wakristo na wasio dini wapo upande wa Russia vile vile kuna waislam, wakristo na wasio dini wapo upande wa Ukraine, US na NATO.

Kuhusianisha huu mgogoro na Iman za watu ni kukosa hoja, na hili litafanywa na wenye uwezo mdogo tu wa kufikiri. Huyu China anayehoji kuhusu US uko Afghanistan, Iraqi, Libya na kwingineko ni taifa ambalo limejaa Buddhist... Wanaohoji kuhusu Yugoslavia kulipuliwa na NATO sio waislam pekee bali kwa kila mwenye Sense ya justice na usawa.

Hungary and Georgia aren't Islamic countries, kwanini hawajasimama na Ukraine? If really all Muslim are with Russia...

Hii sio vita ya kidini, kua waislam wanapigana na wakristo. Russia gotta more Christians than any other religion nchini hapo. Out of 130Mil Pop. More than half are christians, with only 6.3% wakiwa ni Muslim.

But why we do support them? C'se we know the truth. We stand on the right side not the religion side.

Hizi dini zimeletwa tu. Tumezaliwa tumezikuta. Ulizaliwa kwenye familia ya wakristo umekua ukawa mkristo. Amezaliwa katika familia ya waislam amekua kawa muislam. Na wengineo katika dini nyinginezo.

We need to be rational on the way we observe and giving judgements kwenye masuala tofauti tofauti. Unfortunately kwa walio wengi haliwezekani hilo yote kwasababu mindset zao zilivokaa, zimewekwa kufikiria kwa aina flan...

Most of you Guys, mko na little, very little knowledge kuhusu dunia na yaliyomo... Most of you are less informed, na walio na taarifa walau kiasi most wako na taarifa ambazo sio sahihi.

Nawaambia tena kwa upole hakika ni "Ni bora mara 1000 yule adui ajae na panga mkononi kuliko adui ajae na maji ya kunywa yenye sumu wakati una kiu."

We live in the world full of Illusions, what we see are'nt actually what they are.

What could you do the day utakapojua maisha yako yote umeishi ukipigana na rafiki yako ukiamini ndie adui huku ukimkumbatia Adui yako ukiamini ndie rafiki?

Guys, Open your eyes, think rationale... Nobody want you, but they will always be there as much they can use you. Get back to your history, a true history na sio zile history za kupikwa.

Set your mind FREE, then your body, your heart, your soul will follow!
Things are not white or black, there are a million shades of grey. Further information overload factual or fake makes it almost impossible to make the right choice/decisions. one thing is however clear ,condeming American imperialism whiie being cosy with Russia for unprovoked invasion of Ukraine is being dishonest. Two wrongs dont make a right.
 
Dozens killed and injured by a Russian missile strike that targeted a train station in Kramatorsk, a city in Donetsk oblast. Thousands of people were at the station trying to evacuate.
Utaskia mbuzi za Putin zikisema propaganda
View attachment 2180252
Eneo lipo soft hivo halina destruction yyte alafu useme hit by missile?
 
Maisha Urussi magumu majeshi wakaona waibe TVs ,Washing machine etc

Look at these faces. Zoom in. These are Russian soldiers sending things they looted in Ukraine, to Russia. Some sent over 400 kg each, including equipment, tables, tents, TVs etc. - Investigation by Belaruski Hayun, a Belarusian media. RU soldiers sent things from Belarus
IMG_20220408_114938.jpg
IMG_20220408_114151.jpg
 
Nimekwambia read to understand sio kureply kila kitu. Nilijua kuna mjinga ataniquote. EU wana diversify source ya mafuta/gesi, watanunua kiasi Fulani kutoka nchi nyingi ili wasitegemee nchi moja. Israel, Algeria,Qatar, UAE, Saudia Arabia washatia sahihi.
Kama sisi ambao hatutegemei mafuta ya upande Fulani tumelungula namna hii kwa Bei Sasa wao si watakuja hoi bin taabani
 
Dozens killed and injured by a Russian missile strike that targeted a train station in Kramatorsk, a city in Donetsk oblast. Thousands of people were at the station trying to evacuate.
Utaskia mbuzi za Putin zikisema propaganda
View attachment 2180252
Ila wakenya mna upungufu wa fikira hivi hapo hata kwa akili ya mtoto anaweza kukubaliana na uhu utoporo.
Sehemu iliyo shambuliwa na kombora pana fanana hivyo?
 
Dozens killed and injured by a Russian missile strike that targeted a train station in Kramatorsk, a city in Donetsk oblast. Thousands of people were at the station trying to evacuate.
Utaskia mbuzi za Putin zikisema propaganda
View attachment 2180252
Mnaona kila kitu ni cha kudangaya hilo shambulio limefanywa ukrein
IMG_20220408_120411.jpg
 
Ndo nashangaa!
Usishangae. Picha haionyeshi majengo yaliyoathiriwa. Inaonyesha sehemu ya uwanja wa stesheni, watu walioanguka. Vile vipande vidogo vinavyoweza kumjeruhi / kumwua mtu havionekani vizuri kwenye picha kwa umbali huo. Nahisi ni vile pembetatu ndogo.
 
imekuaje tena Chenchen fighter wawe upande wa ukraine
😂😂😂
 
Mwalimu wako alipata tabu sana, kama umekua unanifuatilia ungeona kwamba nimeleta habari nyingi kuhusu Qatar, Algeria, UAE etc kwa sasa ni zamu ya Israel.

Hakuna mahali nimetaja kwamba Israel ndo suluhisho la uhaba EU Bali wakiunganika na hizo nchi zingine wanaweza replace urussi. Nini kigumu huelewuli??
Achana na mwalimu wangu. Kuanza kumjadili mtoa hoja badala ya hoja

Comment yako/zako uliyoitaja qatar, uae, saudia na algeria ni ipi!? Huu ni uwanja wa wazi kila mtu anaona. Unaweza kutaja walau post namba!?

Ikiwa UK ana reserve kubwa ya natural gas luliko Israel unafkiri Israel atafanikiwa vipi kuuza gesi walau kwa kiwango cha maana EU?.
Kingine ni gharama ya gesi yenyewe. Gesi itoke Israel iende kuwa liquefied egypt alafu ndio isafirishwe kwenda kuuzwa ulaya unafkiri gharama yake itakuwa sawa na ya gesi inayotoka moja kwa moja kutoka Urusi mpk ulaya kwa mambomba!?

Ungeyafikiria yote haya usingeleta hiyo habari hapa. Hukufikiria wewe ulivyoona tu gesi, israel, ulaya, Egypt mbio ukaileta hapa. In other words umeiokota hii habari ndio maana unashindwa kuitetea. Pro Nato mnapenda habari za kuokoteza dalili za kuishiwa [emoji1787]

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
[emoji631]The US Treasury removed telecommunications equipment and a number of Internet technologies from sanctions against Russia.

It follows from the statement that financial transactions with Russia related to this equipment will be allowed.
Mijamaa minafiq hii[emoji3][emoji3][emoji3]
 
You really think Israel's gas can replace Russian gas supplied in EU!?[emoji1787]

ProNato mnachekesha sana. Mnaokoteza vitu mitandaoni, chochote almradi kipo against Russia unakilata hapa.

Qatar ambaye ndio miongoni ma mabingwa wa natural gas duniani anasema haiwezekani kuireplace Russian gas ulaya.

Israel anaexport gas kiasi gani kwa mwaka!??
Kwenye Reserve ya gas Israel inarank namba ngapi duniani!??

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app

Hao watoto waajabu sana, akimka asbh akanywa chai kwa shemeji yake anafikiri kila kitu ni rahisi.
 
Back
Top Bottom