NYUNDO YA MOTO
JF-Expert Member
- Jun 12, 2015
- 5,360
- 17,003
China inafaidika pakubwa katika biashara na EU/USA. Kumbuka anauza bidhaa nyingi kuliko anavyonunua kutoka kwao(trade surplus) kama uniamini Fanya research mwenyewe manake sina mda huo wa kupoteza.
Eneo lipo soft hivo halina destruction yyte alafu useme hit by missile?
[emoji23][emoji23][emoji23]...unamvutia kasi akiijichanya unamla za utosi...Huyu mkuu ninamatusi yake ya kikemikali ambayo hata wapiga ban hawajawahi kuyaona tokea dunia iudwe mayala huyo namwesabia step tuu
Ukraine washaansa maigizo[emoji2]Dozens killed and injured by a Russian missile strike that targeted a train station in Kramatorsk, a city in Donetsk oblast. Thousands of people were at the station trying to evacuate.
Utaskia mbuzi za Putin zikisema propaganda
View attachment 2180252
Wewe unadhani wangempiga ban kizembe zembe?Kumbe makonda na mke wake wana mali america nilikuwa sijui.