Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] doh Tsh kuna mtu hapa kaamuwa kufukua haya makaburi ya mwezi mmoja uliyopita F9T nimecheka kwa nguvu mno
Anawafukulia kumbukumbu ๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€
 
PARIS itakua haina tofauti na KIBERA [emoji3][emoji3][emoji3]
 
Urusi hashambuliwi, anashambulia. Yupo nje ya mipaka ya nchi yake. Anayevumilia si Urusi ni Ukraine. Au ilitakiwa Ukraine asiombe msaada wa kivita aache watu wake wauwawe huku anapiga magoti kwa Urusi?
Kwa hiyo na sisi Tanzania tungemchekea Iddi Amin?Mbinu zote za nchi za Magharibi za kui-sabotage na kuisambaratisha Urusi zilikuwa zina andaliwa Ukraine.Which powerful country can tolerate that.Marekani ingevumilia haya?Uingereza ingevumilia?Ujerumani ingevumilia haya?Surely no.Now,why should Russia be expected to tolerate this,ni double standards za ajabu sana.
 
Reactions: Tsh
Ndugu yangu waambie hata hao marekani hawayajui malengo ya put in huko ukrein
Kabisa MKUU Al assad pitia haps jamaa katia neno huyu
Mana anaweza akawa kaiaminisha dunia kwamba anataka hivi kumbe akawa anataka vile
Malengo ya hii OP yanayojulikana wazi kabisa nikwa UKRAINE kua mbali na NATO hayo mengine kama usemavyo hata hao PENTAGON hawayaelewi
 
Ila unafiki hauwezi kuisha duniani, Kumbe Japan walikuwa wameorodhesha hawa Azov kwenye list ya Vikundi vya Ugaidi toka 2021... Sa hivi wamewatoa tena kwa "Apologies" nyingi nyigi...

The Japanese Security Service has removed Azov from the list of "International Terrorism 2021", where it appeared as a "neo-Nazi group".

The site now publishes an apology and recognition that the classification of the Ukrainian unit as "neo-Nazi" was erroneous and they are taking measures to prevent such mistakes from happening again in the future.
 
Magaidi ya NATO YANAZIDI KUJIPIGA NGUMI YENYEWE the so called vikwazo wala haytuumizi sisi tu hata yenyewe na Viserikali vyao vingi vitaanguka uchaguzi ujao vingi sana sana...
Kakate majani
 
Hizi clip 2 tu zatosha kujielezea who is behind kwenye huo Mgogoro wa Russia na Ukraine...
Your browser is not able to display this video.
na hii
Your browser is not able to display this video.
 
Astaghfirullah !
 
Bila kusahau NET za bure na ARV
 

Unaniuliza swali tena mimi? Wewe si umeleta hio hoja?. Usikurupuke kucomment kama hujui chochote itakusaidia bora uwe mjinga upate elimu kuliko kujikuta ni bingwa wa kucomment kumbe ni falasi tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ