Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

mtatetea sana uhalifu wa putin
 
Hawa wafuasi wa Putin vichwa vyao haviko sawa, unaweza yakuta weekend hii yametumbua macho yanatazama mechi za EPL, Bundesliga, Serie A, League 1 na NBA huku wanatukana West ni Mashoga na wamama na Russia anamkomesha US!
Viumbe wa ajabu sana.
Hapo ukute na yeye kapanga foleni ya kutahiriwa bure
 
Kaka usilete propaganda zaidi kuhusu mambo ambayo huwezi kujua. Urusi ilisema haitumii Tochka-U tena. Wengine wanasema, roketi hizo walirudisha tena kwa vikosi kadhaa; magari ya Kirusi ya Tochka-U yalitazamiwa na kupigiwa picha Belarus. Urusi ilikataa. Na wewe unataka "kujua"??

Hakika wanamigambo wa Donetsk wanazo Tochka-U kufuatana na taarifa mbalimbali.
Kwa hiyo_ asante kwa picha nzuri, kwa bahati mbaya hazithibitishi kitu.
 
Mwambie kwamba bwana zelesky bado anaomba kukutana na Mr put in
 
🤣🤣🤣🤣 za chini chin, Daah Pro Russia bwana
 
Shida watu wengi humu ni wavivu kusoma au hawajui wapi wakasome.
 
Hawa wafuasi wa Putin vichwa vyao haviko sawa, unaweza yakuta weekend hii yametumbua macho yanatazama mechi za EPL, Bundesliga, Serie A, League 1 na NBA huku wanatukana West ni Mashoga na wamama na Russia anamkomesha US!
Viumbe wa ajabu sana.
vijirusi vya matombo kwa mtogole utaviweza kwa maneno ya sizitaki mbichi hizi, hapo ukute baada ya kuangalia viburudisho vya western then usiku wanapongonoka wanavaa mipira ya bei punguzo kwa hisani ya marekani ili wasipate ngoma!
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] za chini chin, Daah Pro Russia bwana
Hawa wameshapagawa,wanataka hii forum kuigeuza kama kijiwe cha kahawa,za chini chini huku akiwa Buguruni kwa mnyamani anashushia gahawa na kashata[emoji3][emoji3]
 
Huku vimefungulia westlife au Celine Dion.
#Chichidodos[emoji1787]
vijirusi vya matombo kwa mtogole utaviweza kwa maneno ya sizitaki mbichi hizi, hapo ukute baada ya kuangalia viburudisho vya western then usiku wanapongonoka wanavaa mipira ya kwa hisani ya marekani ili wasipate ngoma!
 
Kinachokuja Sasa duru zinasema ni kibaya..inaelezwa kuwa Sasa itakuwa ni Vita kamili na siyo operesheni Tena..ni huko kusini na mashariki mwa ukraine. Inaelezwa baada ya hapo ni Kiev na kuuteka mji...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…