Kabisa MKUU
Mfano pale UHISPANIA kuna jimbo lile la KATALUNYA kila leo wanalilia kujitenga ila wanaminywa wanakua kimyaaa
Ni raia wenyewe sema walikuwa wana uawa.Sasa mbona mnashangilia Luhansk, Donetsk na Crimea kujitenga kutoka Ukraine tena kwa fitina za Putin wala sio za raia wenyewe kutaka na mnailaani Ukraine inapojaribu kuyarudisha maeneo yake?
Mnajielewa?!
Ni raia wenyewe sema walikuwa wana uawa.
Duhh [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]...ebu kaa kimya we nyumbu ganga Zombi....mrusi mwenzako wa buza huyo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nilisha kukatanza fikira za kipumbavu kama hizo.Hawa wafuasi wa Putin vichwa vyao haviko sawa, unaweza yakuta weekend hii yametumbua macho yanatazama mechi za EPL, Bundesliga, Serie A, League 1 na NBA huku wanatukana West ni Mashoga na wamama na Russia anamkomesha US!
Viumbe wa ajabu sana.
Bro .. uwezo wako mkubwa sana.. na sijawahi kujibu Kwa dhihaka ... Una uwezo mkubwa sana... Mi ndio maana nimebaki kuangalia tu ... Uwezo waku wa akili ni mkubwa sana .usijishushe kiwango hicho... Na vitani kubadili mbinu na mikakati ni kawaida sana kasome kitabu Cha Sun TzuNasikia Warusi wamebadilisha Makamanda wa vita
Bwana unaanza ujumbe kwa kudai mara 2 yule unayemjibu ni "mpumbavu" / "Kipumbavu", unaendelea kudau anachukia URUSI:Nilisha kukatanza fikira za kipumbavu kama hizo.
Ukijiona una fikira kama za kwako hasa katika dunia ya sasa ujitambue ww ni mpumbavu, hata hao Wamarekani na Waingereza pamoja na kuichukia Urusi lakini bado kuna mambo mengi wanashirikiana kwa sababu duniani tunaishi kwa kutegemeana.
Hayo uliyo yataja ni biashara za watu na ili ziendelee kuwepo zina hitaji watu bila kujali utaifa,dini,wala ,itikadi za kisiasa.
Ww hapo una ichukia Urusi lakini wewe na taifa lako mko salama kwa sababu ya silaha zilizo tengenezwa na Urusi.
Haya tukuulize na ww kwann unaichukia Urusi wakati asilimia 90 ya silaha zinazo kulinda wewe na nchi yako zina toka kwao?
kwa nn usiipende kwa sababu silaha zake ndo zina kufanya uwe salama mpaka unapata muda wa kubwabwaja humu?
Mbona unaichukia China wakati unaishi kwa tegemea bidhaa zao kuendasha maisha yako ya kila siku?
Bwana unaanza ujumbe kwa kudai mara 2 yule unayemjibu ni "mpumbavu" / "Kipumbavu", unaendelea kudau anachukia URUSI:
Sitaki kutumia lugha yako hapa. Sioni Yoda anachukia Urusi. au China.
Huna msingi. Madai yako hayaonyeshi matumizi ya akili.
Ninaweza kuheshimu, hata kupenda nchi - lakini kukosoa serikali au uongozi wake. Tena ni lazima pale ambako kiongozi anatenda jinai au anaongoza watu wake kutenda jinai.
Hao viongozi wanapita. Nchi na taifa linaendelea.
Unafahamu Battle of Kilinigrad ... !!? Na Kilinigrad ipo wapi.. !!! Na ni eneo la Urusi!? .... Nawaambia msome mjue Geopolitics... Humu mtabishaaaaaaa tutabishanaaaaa.... Mjinga yeyote akapige pale Kilinigrad...Anachofanya Urusi ndicho alichofanya Iddi Amin, Kuvamia eneo la nchi nyingine. Pamoja na udhaifu wake, Ukraine hapaswi kumpigia magoti Urusi, anatakiwa ajilinde mpaka mwisho. Hizi nchi kubwa zinaonaga raia wake wana thamani sana kuliko nchi nyingine. USA ashafanya sana huu upuuzi na URUSI naye anaufanya. BULLIES.
Russia sijui atapigana na kila mtu\
Finland preparing to apply for NATO membership: Report
kapakana na urusi huyu vipi naye atachapwa??Finland preparing to apply for NATO membership: Report
Application will be submitted in 1st week of May, claims Iltalehti news outlet - Anadolu Ajansıwww.aa.com.tr
Katika tathmini za kiuchumi... Hujitambui na haujui lolote kati katika consumer price indices...Sanctions have started to bite,
inflation imefika 16.7%
Sukari imepanda na 44%
Vitunguu vimepanda kwa 50%
View attachment 2181994
Jina lako linakuponza.Katika tathmini za kiuchumi... Hujitambui na haujui lolote kati katika consumer price indices...
Umemkosea sana huyo jamaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].... Hana mambo ya hovyo ya kule jua linakozamia....[emoji3][emoji3][emoji23][emoji23][emoji23]Kumbe na wewe ni kenge ngedere moja wapo ....humu huna logic.....ebu na wewe fungua hiyo MEDULA tujue kilichomo humo ....
[emoji23][emoji23][emoji3][emoji3]....duhh....pro russia nawakubali sana hawatakagi ujinga ....ukizingua unapewa hapo hapo ....zege halilalagi....BIG UP BROO....[emoji109][emoji109][emoji109]
Sijibu sana... Mi mchumi mbobezi. Nawajibu tu kuchangasha genge .. lakini MAJIBU MNAYO... KUNA GDP,GNP na NNP... Ukiweza kunitofaitushia.. mtajua uwezo wako wa kiakili.Jina lako linakuponza.
Sijibu sana... Mi mchumi mbobezi. Nawajibu tu kuchangasha genge .. lakini MAJIBU MNAYO... KUNA GDP,GNP na NNP... Ukiweza kunitofaitushia.. mtajua uwezo wako wa kiakili.
Kumbe ni "inasemekana" ........ "inaelezwa".Kinachokuja Sasa duru zinasema ni kibaya..inaelezwa kuwa Sasa itakuwa ni Vita kamili na siyo operesheni Tena..ni huko kusini na mashariki mwa ukraine. Inaelezwa baada ya hapo ni Kiev na kuuteka mji...