NYUNDO YA MOTO
JF-Expert Member
- Jun 12, 2015
- 5,360
- 17,003
Pro🇷🇺🇷🇺🇷🇺 hawaamini yaan 😂😂😂. Dunia inamuhitaji rais kama huyu anayekwenda uwanja wa mapambano kuipigania nchi yake. Inasemekana ni marais wachache sana wamewahi kufanya kitendo cha namna hii. Akiwemo Fidel Castro wa Cuba.Nina wasi wasi mkubwa Zelensky na familia yake hawapo Ukraine
Hii kaliningrad kama nimeiandika sawa sawa
Kila nikitaka kuisoma vyema niielewe hua nazongwa
Ila najua kwauchache kwamba nikasehem kakimkakati kalichopo ndani ya ardhi ya west(NATO)
MKUU kama utapata nafasi unipige walau kamsasa kuhusu hako kaeneo tafadhali
Kweli bhana hata mimi nataka niijue historia ya ahko kamji ....halafu hata jina la huo mji limekaa kibabe babe ...Hii kaliningrad kama nimeiandika sawa sawa
Kila nikitaka kuisoma vyema niielewe hua nazongwa
Ila najua kwauchache kwamba nikasehem kakimkakati kalichopo ndani ya ardhi ya west(NATO)
MKUU kama utapata nafasi unipige walau kamsasa kuhusu hako kaeneo tafadhali
Ur narrow minded...Pro🇷🇺🇷🇺🇷🇺 hawaamini yaan 😂😂😂. Dunia inamuhitaji rais kama huyu anayekwenda uwanja wa mapambano kuipigania nchi yake. Inasemekana ni marais wachache sana wamewahi kufanya kitendo cha namna hii. Akiwemo Fidel Castro wa Cuba.
View attachment 2182071
View attachment 2182075
View attachment 2182077
Duhh mwageni nondo za huu mji wakuu maana sijafatilia historia yake...[emoji120][emoji120]View attachment 2182080
Upo sahihi ni hizi pre-type keyboard... Yes ni Kaliningrad ... Na nie eneo la Urusi ..lilichukuliwa ilikuwaje .. nipe muda ntaliandika vizuri... Na Hapo ndio akipigwa Hitler na Red Army wakati anavamia Poland....
Jaribu kusoma. Umepata wapi Ujerumani inalipa Rubel? Una ushahidi? SIdhani. Wacha kupiga debe.Hawa watoto wanasumbua sana ubongo haufikiri kabisa kila kitu ushabiki, Putin alishassema mtalipa kwa ruble na huwa hapindishi sasa Germany ananua gas na analipa kwa ruble sasa walitaka itangazwe kila media kuna vitu vingine vinafanyika kimya kimya na media za west haziwez ongelea hio ishi coz wataonekana wameshindwa na aibu kwao.
Mara ya mwisho nafatilia juzi habar za gazprom walisema kila kitu kinakwenda sawa. Mtu unampa mpaka tweet huyu farage anajua kabisa Germany wanalipa ruble sasa kwa tweet kama hii ukiiosoma unajua kabisa nini kinaendelea sasa hawa madogo wanakza mafuvu yao ni hasara kwakweli
View attachment 2182013
Kwamba mbongo anajua kuliko nigel farage. Hawa vijana acha niwaweke pending tu, napoteza muda tu. Ni ngumu sana kumuelimisha mtu mwenye mahaba yan anakua kama kapewa limbwata.
uliliandika ukilitupia humu usisahau kunitag MKUUView attachment 2182080
Upo sahihi ni hizi pre-type keyboard... Yes ni Kaliningrad ... Na nie eneo la Urusi ..lilichukuliwa ilikuwaje .. nipe muda ntaliandika vizuri... Na Hapo ndio akipigwa Hitler na Red Army wakati anavamia Poland....
Huyo jamaa alikuja na point ya udini hapa kila Pro Russia alikuwa anamuita ostaz. Watu wakamtuliza na za uso kama zote sasa hivi kahamia agenda nyingine. going foward hawana cha kusema inabidi warudi tu kufukua mizoga iloyooza walau wapate cha kuleta hapa [emoji1787]Ur narrow minded...
sawa bibi kwi kwi kwiDuhh [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]...ebu kaa kimya we nyumbu ganga Zombi....