NYUNDO YA MOTO
JF-Expert Member
- Jun 12, 2015
- 5,360
- 17,003
Hata huyu alisoma 🇷🇺🇷🇺🇷🇺mrusi kuwa jasiri daima utashinda hii vita, ulitusomeshea madaktari wa kitanzania tena nyerere hakulipa ada ili waje kutibu mababu zetu waliotuzaa,hakika UTASHINDA
🤔🤔🤔🤔 tunakumbushana 🏃🏃🏃🏃🏃Hii ngoma inaisha within 48 Hrs hali imekuwa hali Kyiv kipigo kimeanza
Vp mmemkamata huyo joti 😂😂😂😂Yani wapige mpaka wamdake comedian
🤔🤔🤔 kwa kweli mmetulisha uongo sana wa🇷🇺🇷🇺🇷🇺.Kwa hali inayoendelea huko kyv hakika muda si mrefu majeshi ya urusi wanaingia kiev na kiev itawaka moto,hakika Putin ni tishio
🤔🤔🤔🤔😂😂😂😂soon someone going to say President Zelenskyy is bomed to day
Sisi tusichokitaka ni Ukraine kugeuzwa condom na wamarekani. Atumike kupima nguvu na mbinu za kijeshi za Russia. Atumike kumdhoofisha Russia kiuchumi. Kiongozi mmoja kutesa raia wake kisa kuwafurahisha wamarekani.Sasa mbona mnashangilia Luhansk, Donetsk na Crimea kujitenga kutoka Ukraine tena kwa fitina za Putin wala sio za raia wenyewe kutaka na mnailaani Ukraine inapojaribu kuyarudisha maeneo yake?
Mnajielewa?!
Nadhani atakuwa kaathiriwa na mchezo wa kimagharibi. Kama anaweza kumtukana waziri mkuu,kisa kujifurahisha huoni ana matatizo ya kimalezi!!!Huyo jamaa alikuja na point ya udini hapa kila Pro Russia alikuwa anamuita ostaz. Watu wakamtuliza na za uso kama zote sasa hivi kahamia agenda nyingine. going foward hawana cha kusema inabidi warudi tu kufukua mizoga iloyooza walau wapate cha kuleta hapa [emoji1787]
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Huyo waziri mkuu alisubiri wanaume waondoke ndio aje kukutana na huyo mchekeshaji[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Pro Russia ni watu wa vijiweni, leo Zelensky amekutana na Waziri mkuu wa Uingereza akiwa Kiev
Sisi tusichokitaka ni Ukraine kugeuzwa condom na wamarekani. Atumike kupima nguvu na mbinu za kijeshi za Russia. Atumike kumdhoofisha Russia kiuchumi. Kiongozi mmoja kutesa raia wake kisa kuwafurahisha wamarekani.
Lau angetumia busara. Akawa haungi mkono upande wowote haya yote yasingefikiwa.
Leo kujipendekeza kwake kwa hao mashoga nchi yake imegeuka magofu. Russia wamewaingiza cha kike. Silaha na mbinu walizotaka kuzisoma na kujaribia zakwao hawajaziona. Russia katumia vita hivyo kusafisha maghala yake. Katumia silaha chache sana kuwathibitishia kuwa zipo.
Sent from my SM-G5500 using JamiiForums mobile app
So what should have been the best option according to you for Russia while the West and NATO builds chemical and biolabs in Ukraine for the purpose of literally destroying Russia and NATO has expanded to Russias' backyard.Sit and wait to be destroyed? Remember destroying Russia is the purpose of the NWO elite,because they believe Russia is the main stumbling block towards the establishment of the NWO One World Goverment.Huwezi nielewa utashia kutukana tu,umemtetea Russia kuivamia ukraine kwa sababu za kimaslahi na kisiasa kama hiyo unaona ni sababu nzuri ku-justify uvamizi basi nchi yoyote kwa sababu za kisiasa na kiusalama kwako ni halali kuvamiwa au kuvamia,mbona iko transparent sana.Love is my religion.