NYUNDO YA MOTO
JF-Expert Member
- Jun 12, 2015
- 5,360
- 17,003
Hili ni sahihi sana.Nyie sio raia Ukraine, hamna haki ya kuwapangia WaUkraine mnachotaka, mnaweza kupanga mnachotaka kwenye nchi yenu tu.
Kwani we ni raia wa nchi gani!?Nyie sio raia Ukraine, hamna haki ya kuwapangia WaUkraine mnachotaka, mnaweza kupanga mnachotaka kwenye nchi yenu tu.
Maadam hawana uwezo nguvu watapanguwa tuuNyie sio raia Ukraine, hamna haki ya kuwapangia WaUkraine mnachotaka, mnaweza kupanga mnachotaka kwenye nchi yenu tu.
Mkuu kama unajua huwezi kujibu hoja zangu usiwe reply coment zangu.Jaribu kusoma kabla ya kujibu.
Mwanaume kujichekesha chekesha hovyo ni lazima utiriwe shaka maana hiyo sio huruka ya kiume bali ni huruka ya mwana mke malaya na mwanaume shoga kwa hiyo jirekebishe.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] tunakumbushana tu mkuu . usipaniki [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Safi nakufuatilia kwa karibu Mkuu. Toka lini joti akapewa nchi.
Mkuu una tatizo la matumizi ya R na L?Mwanaume kujichekesha chekesha hovyo ni lazima utiriwe shaka maana hiyo sio huruka ya kiume bali ni huruka ya mwana mke malaya na mwanaume shoga kwa hiyo jirekebishe.
Jitahidi kusoma vitabu ... Especially vya Espionage.. utatambua Kwa namna Gani dunia inamhitaji mrusi ... Serikali moja inamhitaji mafungano Kwa mahitaji ya nani... Nilibaki kimya mbishane .. ila nakupa nondo ... Jisomee .utajiona upo wapi na uwezo wako wa akili.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] wakiongozwa na yule Mzee wa Kyiv kuwa majivu masaa machache yajayoKuna pro[emoji635][emoji635][emoji635] ni waongo kuliko kasim majaliwa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji91][emoji91][emoji91][emoji1255][emoji1255][emoji1255][emoji1255][emoji1255][emoji1255][emoji1255][emoji91][emoji91][emoji91]
Hapo unataka wakimbie kabisa.Hao waliokuwa wanatuongopea wamebaki wanasoma uzi kimya kimya[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] duuh tunakumbushana tu
Kaka ukiingia hapa, huchagui nani anasoma wala nani anajibu. Umeshawahi kusikia? Bado? Basi darsa ya bure, karibu!!Mkuu kama unajua huwezi kujibu hoja zangu usiwe reply coment zangu.
Teh teh kumbe ni 'msomi' wa SAUT tena hii ya enzi za Fr.Kitima,walau ungekuwa Legendary wa SAUT ya enzi za Fr.Deo Rweyongeza, ungenielekeza cha kusoma ningekuelewa ndugu msomi [emoji3]Hutaki acha ... Nimechangia nyuzi nyingi sana .. sii hii .. fuatilia... Na hata humu nilisema .. HATUNA impact yeyote... Ufanyalo wewe Mimi yule na yule .. halina Afya katika liendelealo... Yes .. Father Kitima ndio alikuwa mkuu wangu wa chuo .. fuatilia vizuri sasa unijue ... Najibu sana mazinguzi... Katika thread hii .. we got no impact yet we spit what we swallow even you...
Tafadhali usitukane Manerumango!!! Ni watu wazuri, hawana hatia katika mambo tunayojadili.Ukisoma wewe inatosha Mkuu,mimi elimu yangu ya hapa na pale inanitosha kabisa midhari inanihakikishia mkate wa familia yangu,wewe 'msomi' wa Manerumango huna msaada katika maisha yangu [emoji846]
kwanza kusoma kitu gani ? Wasikubabaishe hao .Ukisoma wewe inatosha Mkuu,mimi elimu yangu ya hapa na pale inanitosha kabisa midhari inanihakikishia mkate wa familia yangu,wewe 'msomi' wa Manerumango huna msaada katika maisha yangu [emoji846]
🤣🤣🤣 Huyu Jamaa yuko wapi...Mji mkuu wa Ukraine tayari upo chini ya Russia na mavifaru yanakatiza yapendavyo. Haka kanchi kaliingizwa kingi vibaya mno
Heshima yako Mkuu,ngoja niondoe neno ManerumangoTafadhali usitukane Manerumango!!! Ni watu wazuri, hawana hatia katika mambo tunayojadili.
Anaingia hapa,anapost public halafu hataki ajibiwe [emoji3][emoji3]Kaka ukiingia hapa, huchagui nani anasoma wala nani anajibu. Umeshawahi kusikia? Bado? Basi darsa ya bure, karibu!!
Anasema vizuri, kweli wote lazima wajidhibiti. Nchi inayoshamnbuliwa ina kila haki kutafuta vyombo vya kujitetea, haki ya kimataifa haina vizuizi kumsaidia anayeshambuliwa , hata chini ya ngazi ya kushiriki katika mapigano.Russia-US 'military confrontation' possible – Moscow
Western countries, by “pumping” weapons into Ukraine, risk leading the US and Russia “onto the path of direct military confrontation,” Moscow’s ambassador to Washington, Anatoly Antonov, said earlier this week.
Since the launch of Russia’s military offensive in Ukraine, NATO countries and their allies have refrained from direct military involvement in the conflict, but have been actively providing Kiev with weapons and ammunition.
By doing so, the ambassador said in an interview with Newsweek, Western states are “directly involved in the current events” and are inciting “further bloodshed.” Antonov called these actions “dangerous” and “provocative.”