NYUNDO YA MOTO
JF-Expert Member
- Jun 12, 2015
- 5,360
- 17,003
vipi? Mbona tumeshasikia mara ngapi jeshi kubwa la Urusi limekomboa Mariupol???? Bado kidogo?Ukrainian nationalists have seized two foreign ships in the port of Mariupol and are holding the crews hostage - People's Militia of the DPR.
Galip SV View attachment 2182496
Ndio hapo nawashangaa hivi Kumbe hawa jamaa ni Weupe namna hii?? Sisi tulijua watatusaidia kubalance Power kumbe yawezekana hamna kitu yaani Urusi nyiee mmetutia aibu na fedheha kubwaS300 imefika Ukraine bila Urusi kujua
Boris wa Uingereza aliahidi tena makombora ya kujitetea baharinio. Tuone kama zinakuja, halafu tuone kama hizi "high-precision sea-based missiles" zinaendeleaje. Siwezi kufurahia kuzama kwa wanamaji (ni kifo kibaya), lakini si vibaya kusimamisha makombora hayo kutoka baharini.The main thing from the new statement of the Russian Ministry of Defense about the special operation:
- during the night in the village of Zvonetskoye, Dnipropetrovsk region, high-precision sea-based missiles destroyed the headquarters and base of the nationalist battalion "Dnepr";
Msemaji Abunuwasov unayemnakili anaficha kwamba hadi sasa hakuna aliyemzomea Scholz shauri ya Urusi. Anakutana na makundi ya watu wanaopinga sheria za Kovid-19. Hao wanafika kila mkutano wa kisiasa -bila kujali chama- wakipiga kelele na kudai uhuru wote urudishwe....The Germans booed Scholz after his words about Putin.
The German chancellor, during a speech in Lübeck, said that the Russian president was "destroying the future of his country." And he added that it is necessary to supply more weapons to Ukraine.
After that, the Germans began booing the politician. In response, Scholz said that the audience could "quietly scream further."
Earlier, the chancellor had already been booed in Essen due to the imposition of anti-Russian sanctions.
Galip SV
Hapa ndo tunakuja kuwashangaa pro🇷🇺🇷🇺 kwamba , Russia wameukamata mji wa maliupol . sasa hebu tueleze hao wanajeshi wa Ukraine wamezikamtaje🇺🇦🇺🇦 hizo meli hapo bandari ya maliupol?Ukrainian nationalists have seized two foreign ships in the port of Mariupol and are holding the crews hostage - People's Militia of the DPR.
Galip SV View attachment 2182496
Hakuna muujiza a Russia kuichukua Ukraine. Mwendawazimu pekee anaweza kufikiria Russia au nchi yoyote ile inaweza kuitwaa nchi nyingine. Nchi moja inaweza kutwaa sehemu ya ardhi ya nchi nyingune lakini siyo kulitwaa Taifa.Atasaidiwa na nani wakati atakuwa chini ya Russia [emoji635]
Uku ulizwa.....ukiulizwaUku ulizwa maswali yanayo kubana huwe unayajibu sio kukaa kimia.
Ina kera sana mtu ana reply coment yako kwa kuchokoza hoja fulani ukilimuuliza maswali juu ya hoja aliye ileta mwenyewe anakimbia kujibu alafu ana subiri tena ucoment aje kureply tena.
Ndio maana nimekwambia kama una jiona huna uwezo wa kujibu maswali ili kutetea hoja zako usiwe unazileta.
Haya sasa warusi wangu wa bongo- kyiv salama salimini atakaye aje na marafiki wake.
Dhaifu Russia hawajawahi na kamwe hawawezi kuiteka kyiv.Uyo boris anavotembea utafikir roboti la kusetiwa. Kwahiyo wamesubir Russia atoke kyiv ndo waje? Kipindi kile babu biden aliishia poland.
wehu hao pro[emoji635][emoji635].
Waambie hata Dr shika alikuwa msomi tena alisoma hukohuko kwa kichaa Putin [emoji635][emoji635][emoji635]
kweli mkuu kwa kichaa alichonacho hatumfikii.👊👊👊👊Uyo Putin unayemwita kichaa hata uchukue familia yenu, ukoo wenu wote na waliokufa bado hamfikii hata theluthi ya akili za Putin.
Да пошла ты.
State Duma deputy proposed to temporarily stop the supply of energy resources to the EU in response to the "disrespectful and humiliating policy towards Russia"
“Until the European comrades realize that an aggressive policy towards Russia is harmful to them and punishable,” said State Duma deputy from Crimea Mikhail Sheremet.
Earlier, experts and leaders of European countries admitted their dependence on Russian gas. After the imposition of sanctions, prices for fuel and energy resources in the EU began to rise sharply, which led to mass rallies of the population.
Galip SV View attachment 2182504
The UK is to send 120 armored vehicles and new anti-ship missile systems to Ukraine, Downing Street announced Saturday, after Prime Minister Boris Johnson paid an in-person visit to Ukrainian President Volodymyr Zelensky.
Putin learning the hard way Ukraine siyo Syria.
Dhaifu Russia hawajawahi na kamwe hawawezi kuiteka kyiv.