Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Huwa siamini pro-Western Media,they are trained to cheat.
 
Moja ya hoja ya putin kuondoa wanazi Ukrain .pia selikali ya Ukrain ina fafhili wanazi.
 
Chini ya Marekan na. Washika wake Ukraine itakuja na Uchumi zaidi ya Urussi.
 
britanicca hii kitu ya Russia unapoteza mda...humjui mrusi wewe..hakuna Vita isiyo na casualities....shida y'ako unachanganya battle na war...pole dogo
Siijui Urusi wakati nakaa Urusi Au unamaanisha Urusi nyingine and for your few information nimeletwa na CCM Miaka hiyo kusoma baadhi ya vitu vya ndani kabisa
 
Nakazia [emoji635][emoji635][emoji635]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Wacha hasira za kulia lia ... nenda kule ukraine utusubiri tunakuja tumeandaa TSAR BOMBER tuta ku NUKES uko huko
Kaka heri usitumie maneno ukishindwa kuyataja . . . . (TSAR BOMBER, .. tutakuNUKES ) wala kuelewa...
 
Nakazia [emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]
 
Leo Ujerumani kulikuwa na maandamano ya kuiunga mkono Russia unaliongeleaje hili?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…