Sasa kama Finland atajiunga na NATO na yeye ataenda kumvamia kuwa anahatarisha usalama wake au ndiyo yals yale,wakati umeelekeza nguvu zako zote kuziba Sebuleni kunakovuja,Chumbani ndiyo kunavuja zaidiSioni Ukraine kujiunga na NATO karibuni, NATO imekataa tangu 2008. Ila Finland wakitaka watapokelewa.
Hapo Putin anapata tokeo ambalo hakutegemea: Mpaka na nchi ya NATO kwa kilomita 1300. Hekima yake!
Wakienda hivi kwenye round ya pili sizan kama Macron atatoboa, Naziona hizo kura zote za wengine zikienda kwa huyo mama.View attachment 2183168
[emoji632] Marine Le Pen has taken the lead in the French presidential race with 27.8% of the vote against Macron's 26.5%, according to the interim results.
Unataka ionekane kwamba ni takataka,lakini si takataka.Tupe ushahidi kwamba wao kama Journalists hawafundishwi kudanganya,maana yeye kasema wanafundishwa.Huna ushahidi wowote maana hujafanya kazi yako ya kuchungulia vyanzo vyako. Hii post ni takataka. Yule bwana hakuwa "the editor" wa gazeti kubwa la Ujerumani, alikuwa mmojawapo wa wanahabari kama 50 walioajiriwa na gazeti hilo. Baada ya kuondoka (hakuenda kwa amani) aliandika kutunga vitabu akianza kusambaza nadharia za njama, hasa kuhusu maovu ya Uislamu, ya wakimbizi kutoka nje ya Ulaya, na athira aliyodai ya huduma za kijasusi. Hakuwahi kulipwa na CIA.
Huyo mama ndio aliahidi hivyo mkuu?Wakienda hivi kwenye round ya pili sizan kama Macron atatoboa, Naziona hizo kura zote za wengine zikienda kwa huyo mama.
Tukumbuke alitoa ahadi akifanikiwa kushinda ataitoa France NATO na EU.
Raia wako happy kishenzi,wamewaona wakombozi wao.This is how the Russian military is met in the Oryol and Kursk regions.
People greet the columns of the Russian Armed Forces heading towards Ukraine to participate in a special operation: many stand with Russian flags, some turn on the Katyusha, and the girls give chocolates with notes.
Galip SV
View attachment 2183173
Safi sana hiii !!!!!
🤣🤣🤣🤣 Hawa jamaa Wana Dunia Yao wanayotoa TaarifaHuyo mama ndio aliahidi hivyo mkuu?
WAUAJI HAWA [emoji48][emoji48][emoji48]Look how happy these two are after their vacation in #Bucha View attachment 2183153
Sent from my using JamiiForums mobile app
Haka kabibi cjajua msimamo wake ila ashinde kwakweli tuoneView attachment 2183168
[emoji632] Marine Le Pen has taken the lead in the French presidential race with 27.8% of the vote against Macron's 26.5%, according to the interim results.
Kwani lini walimkubali?Pro Russia bwana...leo wamemgeukia Millardayo Ayo [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Leo Ujerumani kulikuwa na maandamano ya kuiunga mkono Russia unaliongeleaje hili?
Kumbe anasera nzuri acha ashinde kwakweliWakienda hivi kwenye round ya pili sizan kama Macron atatoboa, Naziona hizo kura zote za wengine zikienda kwa huyo mama.
Tukumbuke alitoa ahadi akifanikiwa kushinda ataitoa France NATO na EU.
Sina ushahidi wowote kwamba Putin alifundishwa kuidanganya Kama sehemu ya kazi yake,Kama unao lete,Ila nina ushahidi kwamba Western mainstream media journalists are trained to cheat as part of their training.See this[emoji116]
Something incredible was revealed by a brave hero of humanity. Udo Ulfkotte was the editor of one of Europe’s largest newspapers, the Frankfurter Algemeine Zeitung. A few years ago he confessed to the world that journalists worldwide are paid by the CIA, secret societies, governments, billionaires etc. to... always lie, and never tell the truth to the public.
And if you wish this[emoji116].
What nobody told you about Ukraine – mind blowing!
Shocking evidence of how the media worldwide is lying to humanity about what is really going on with Ukraine and Russia. A must see!www.stopworldcontrol.com
Duuh zawapi hizi MKUU
Huu ujinga huwa mnafundishwa wapi?Wakienda hivi kwenye round ya pili sizan kama Macron atatoboa, Naziona hizo kura zote za wengine zikienda kwa huyo mama.
Tukumbuke alitoa ahadi akifanikiwa kushinda ataitoa France NATO na EU.
Ndio Matatizo yako ya kuja jamvini na Mabaki ya chakula katikati ya wezere.Huu ujinga huwa mnafundishwa wapi?
Nchi za EU haziendeshwi kienyeji hivyo kiimla kwa mtu mmoja tu kuamka na kujifanyia mambo yake.
Ufaransa haitoki NATO leo wala kesho hata angeshinda kibwengo.
Haiwezi kutoka NATO au EU bila bunge na wananchi kuamua hivyo kupitia referendum.
Huwezi kujifunza hata Brexit wewe akili ndogo.