NYUNDO YA MOTO
JF-Expert Member
- Jun 12, 2015
- 5,360
- 17,003
Ngoja tusubiri utabiri wenu. Ila huyo Finland hatathubutu kujiunga Nato, nchi yenye raia milion 5, inaweza kufutwa within 10 minutes. Narudia tena anaweza kujiunga EU sio Nato. Russia hataki majeshi ya Nato pale jirani.Sasa kama Finland atajiunga na NATO na yeye ataenda kumvamia kuwa anahatarisha usalama wake au ndiyo yals yale,wakati umeelekeza nguvu zako zote kuziba Sebuleni kunakovuja,Chumbani ndiyo kunavuja zaidi
Kama uingereza ametoka kwanini ufaransa asitoke? Pale atatoka mmoja baada ya mwingine. Muungano hauna faida.Huu ujinga huwa mnafundishwa wapi?
Nchi za EU haziendeshwi kienyeji hivyo kiimla kwa mtu mmoja tu kuamka na kujifanyia mambo yake.
Ufaransa haitoki NATO leo wala kesho hata angeshinda kibwengo.
Haiwezi kutoka NATO au EU bila bunge na wananchi kuamua hivyo kupitia referendum.
Huwezi kujifunza hata Brexit wewe akili ndogo.
Hawawezi kuamua saizi, ni mpaka wamkopeshe Ukraine mapesa ya kutosha.. ili aje alipe mamia ya miaka. Unadhani wanatoa msaada bure?Sidhani kama ataivamia finland. [emoji1][emoji1][emoji1]. Kwa sasa nina kila sababu ya kuamini kuwa anataka mambo yaishe ni vile USA na washirika wake hawajaruhusu hili suala lifikie ukingoni.
USA na washirika wake wamiamua UKRAINE isitishe mapigano basi mapigano yatakwisha.
kaka habari zako zinaendelea kuwa za ajabu. lete ushahidi wowote kwamba rais wa Ufaransa aliamuru wapiganaji Wafaransa kuondoka! Huna kwa sababu si kweli.The French mercenaries fighting in Mariupol have been annihilated.
The French mercenaries of the Foreign Legion who arrived on Ukrainian territory to fight Russian troops and militias of the Donbas People’s Republics have been annihilated on the outskirts of Mariupol.
This is indicated by the belongings found next to the corpses, which include documents and personal belongings, and even a green beret, a sign of their crushing defeat (*).
The French mercenaries were unable to break the siege and were pushed towards the port area of Mariupol, which has not yet been taken.
The head of French military intelligence has been dismissed by the government, officially for failing to foresee the Russian attack on Ukraine on 24 February, and Macron has ordered the evacuation of all French fighting in Ukraine.
After the neo-Nazis of the Azov Battalion were driven out of Mariupol airport, near which the mercenaries abandoned all their bases and equipment, they will most likely retreat with them to the city’s port.
A few days ago, a helicopter was shot down 20 kilometres off the coast of Mariupol with two officers of the DGSE, the external security department of the French Ministry of Defence, which was presumably supposed to ensure the evacuation of the French mercenaries from the port of Mariupol.
A similar attempt also failed shortly afterwards, when another helicopter was shot down before reaching Mariupol and fell into the sea near the coast.
The number of French Foreign Legion mercenaries that have been annihilated in Mariupol remains unknown.
The Foreign Legion serves as a cover for the deployment of special operations commandos from NATO countries, especially the US and the UK, and if in Syria NATO special forces were leading the jihadists, in Ukraine they are doing the same with the Azov Battalion, which is nothing more than an appendage of the Atlantic Alliance.
The attack on the fuel depots in Belgorod, in the Russian interior, was not carried out by the Ukrainian army, but by a group of saboteurs from the US and British special services, although this information has so far not been confirmed. However, an anonymous German intelligence source claims that the attack was carried out by British special services.
It was apparently a response to the failed operation to evacuate the leaders of the Azov Battalion from Mariupol, another operation that was carried out by NATO countries’ special operations commandos.
One of the Mi-8 helicopters involved in the failed evacuation was shot down by a US-made “Stinger” surface-to-air missile captured by Russian forces. The helicopter had 17 Nazis on board, 15 of whom were killed. The two survivors were captured by Russian troops. During interrogation one of them spoke of the presence of dozens of Western special services elements disguised as international volunteers in Mariupol and elsewhere in Ukraine.
(*) https://avia-pro.fr/news/francuzskiy-inostrannyy-legion-polnostyu-razbit-v-mariupole
Los mercenarios franceses que combatían en Mariupol han sido aniquilados - mpr21
Utatuambia pia kama Finland atajiunga Nato.Na wewe unaamini France atajitoa NATO kweli kisa huyo mgombea mwanamke? Hizi ni porojo unapewa,baada ya muda tutaulizana tena hapa kama France kajitoa NATO na walioleta hizi porojo watakaa kimya kama si wao walizileta.
Comment yako haifanani na taarifa niliyoleta,it seems Kingereza kwako ni shida.Mtafute Ras Simba, labda anaweza kukusaidia.kaka habari zako zinaendelea kuwa za ajabu. lete ushahidi wowote kwamba rais wa Ufaransa aliamuru wapiganaji Wafaransa kuondoka! Huna kwa sababu si kweli.
Hana wanajeshi Ukraine. Kama raia kutoka Ufaransa kibinafsi alijitolea kupigania, hana mamlaka juu zake . Tafadhali utumie akili kabla za kukopi.
Hakuna vya bure.Hawawezi kuamua saizi, ni mpaka wamkopeshe Ukraine mapesa ya kutosha.. ili aje alipe mamia ya miaka. Unadhani wanatoa msaada bure?
😀😀😀. Ngoja tumuone huyu.Zelensky kaharibiwa siku yake huko Kyiv...
Yule mjeda mwenye maguvu na machachari wa Jamuhuri ya Chechnya iliyomo ndani ya nchi ya Russia katoa ujumbe mbaya na kamuharibia siku ya leo Zelensky...
Ramzan Kadyrov amesema leo hii jumatatu kuwa majeshi ya Russia yatafanya opereshi ya kijeshi sio tu Mauripol bali hadi Kyiv na miji mingine ya Ukraine.
Ramzan pia kasisitiza kuwa majeshi ya Russia yataichukua Kyiv
View attachment 2183400View attachment 2183399
Lazima wafurahi.Look how happy these two are after their vacation in #Bucha View attachment 2183153
Sent from my using JamiiForums mobile app
🤣🤣🤣🤣🤣 Uwaga mnafikiria kwa kutumia nini... Russia can't fight two fronts now, na atavamia nchi ngapi kisa zinataka kujiunga na NATO...Ngoja tusubiri utabiri wenu. Ila huyo Finland hatathubutu kujiunga Nato, nchi yenye raia milion 5, inaweza kufutwa within 10 minutes. Narudia tena anaweza kujiunga EU sio Nato. Russia hataki majeshi ya Nato pale jirani.
Ikiwa watakomaa two options zitatumika, kuivamia kijeshi, pili urusi kujenga kambi ya kijeshi cuba. Hyo ya pili USA ataomb poo asubuhi tu. Ilishatokea nyuma rejea Cuba missile crisis.