NYUNDO YA MOTO
JF-Expert Member
- Jun 12, 2015
- 5,360
- 17,003
Nafikiria kupitia nini? Uliza swali vizuri. Nimekuambia Finland hatajiunga Nato.. akilazimisha utaona yatakayotokea.. nimekuambia kuna option ya 2 ya kwenda cuba kuweka kombora za nyukilia.. kwenye ishu za usalama Russia hana msalia mtume. Kama unabusha subiri tuone kama Finland watapokelewa Nato[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Uwaga mnafikiria kwa kutumia nini... Russia can't fight two fronts now, na atavamia nchi ngapi kisa zinataka kujiunga na NATO...
Finland na Sweden ni Wanachama wa EU so kuwa NATO Ni haraka Zaidi
huyo nae atapotea kama alivyopotea Mtangulizi wake Magomed Tushayev😀😀😀. Ngoja tumuone huyu.
Hahaha. Ngoja tumtazame.huyo nae atapotea kama alivyopotea Mtangulizi wake Magomed Tushayev
Hiyo Option ya pili kuwa atajenga Kambi ya Kijeshi Cuba kiuhalisia haiwezejani tena. Cuba ya sasa sio ile ya zamani ya Fidel Castro ambaye alikuwa Mshirika Kindakindaki wa Urusi ile(USSR). Kwasasa Cuba imeshakuwa na Uhusiano mzuri tu na USA .Ngoja tusubiri utabiri wenu. Ila huyo Finland hatathubutu kujiunga Nato, nchi yenye raia milion 5, inaweza kufutwa within 10 minutes. Narudia tena anaweza kujiunga EU sio Nato. Russia hataki majeshi ya Nato pale jirani.
Ikiwa watakomaa two options zitatumika, kuivamia kijeshi, pili urusi kujenga kambi ya kijeshi cuba. Hyo ya pili USA ataomb poo asubuhi tu. Ilishatokea nyuma rejea Cuba missile crisis.
Kujitoa ama kutokujitoa sio shida ila kitendi chakutamka tu sio mbayaNa wewe unaamini France atajitoa NATO kweli kisa huyo mgombea mwanamke? Hizi ni porojo unapewa,baada ya muda tutaulizana tena hapa kama France kajitoa NATO na walioleta hizi porojo watakaa kimya kama si wao walizileta.
Hivi sensibly mtu unaamini chombo cha habari chochote cha nchi za Magharibi kweli!!Vyombo hivi hivi ambavyo waandishi wao wa habari wanafundishwa kudanganya kama sehemu ya kazi yao!Unthinkable.
Tatizo hiyo ndege itakuwa imetunguliwa kabla haijafika kwenye TargetKh-47M2 Kinzhal dagger
View attachment 2183459
Warhead Nuclear
(100–500 kT) or HE fragmentation
Warhead weight
up to 500 kg (1,100 lb)
Maximum speed
Mach 10 – Mach 12 (12,300–14,700 km/h; 7,610–9,130 mph)
IKIDONDOSHWA MOJA HAPA DAR NUKE MADHARA YAKE
View attachment 2183461
Inatunguliwa na nani!? Unajua range ya Kh-47M2 Kinzhal!?Tatizo hiyo ndege itakuwa imetunguliwa kabla haijafika kwenye Target
Unaweza kutaja nchi iliyo na koloni zaidi kuliko Urusi? Kuhusu madai yako sijui nahitaji saada gani. Ufaransa haina mwanajeshi hata 1 Ukraine, haijamtuma 1. Kama kawaida huna ushahidi.Comment yako haifanani na taarifa niliyoleta,it seems Kingereza kwako ni shida.Mtafute Ras Simba, labda anaweza kukusaidia.
Halafu ninyi ni watu wa ajabu sana,mtateaje adversaries wenu?Yaani vichwani mwenu hamna kitu kabisa.It is a real shame.Mnatetea mabeberu!