Huwa ninaibeza Russia vs US na si vinginevyo,maana huwa mnajitoaga akili kutaka kulinganisha Uchumi wa US na Russia.Yes nakazia tena Russia ni maskini mbele ya US tena ni maskini kweliHiyo ndio tabia yetu watz kubeza walio tuzidi akiwemo ww.
Nyinyi sindo huwa mnaibeza Urusi kwa kuiita masikini wakati Uchumi wa nchi yenu ni sawa na asilimia 4 tu ya Uchumi wa Urusi.
Kwa hiyo usi mtuhumu mwenzako kwa tabia ambayo hata ww unayo.
[emoji38][emoji38][emoji38] asa Mkuu mbona kama vile unawa mbeleeeeza ...mkanyage la utosi kamanda maana humu tuko vitani usiangalie sura za pro west ......watakuchosha we kanyaga iskander m ...la utosi si unaona yeye anakupiga na javelin ...Duh...mbona nyie watu mna hasira Sana?!
Matusi ya Nini Sasa?! Ukraine inapigwa Sana tu Tena Sasa nyie mna hasira na matusi juu why?!?!
Wewe kenge ngedere ukraine imegeuka majivu huko wewe unakuja kujamba jamba hapa eti ....eti baada ya mwezi moja sijui nyumbu gani HILO LIMEDULA LIMEKAA vizuri kweli huko upstair ....kweli zellensk kawateka ...nyumbu kabisaBaada ya mwezi mmoja tukija kuwauliza hapa msije kutokwa povu,maana mwanzoni huwa na mbwembwe sana
Eti eeehNilishakwambia wewe endelea kwanza [emoji480][emoji480],bado unanuka shombo la maziwa.
Naomba usinizoee mpumbavu mkubwa wewe usiye na malezi kutoka kwa Wazazi wako.Unanijia kila sehemu na mitusi unadhani mimi ni mtoto mwenzio.Shenzi huna adabu kabisa.Wewe kenge ngedere ukraine imegeuka majivu huko wewe unakuja kujamba jamba hapa eti ....eti baada ya mwezi moja sijui nyumbu gani HILO LIMEDULA LIMEKAA vizuri kweli huko upstair ....kweli zellensk kawateka ...nyumbu kabisa
We kenge naona una kaza hilo fuvu ebu jiongeze japo kidigo kachungulie japo kidogo nchi yenu ukraine ilivo kufa ....sio unadakia dakia tu eti misafara yenu sijui nini ...jinga..[emoji38][emoji38][emoji38]Huo Moto anakupelekea wewe zwazwa na familia yako , idiot . Hivi Ile misafara yenu ya silaha na wanajeshi wa kivita km 24 kuelekea kiev iliishia wapi ? Au
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji3][emoji3][emoji3]Naomba usinizoee mpumbavu mkubwa wewe usiye na malezi kutoka kwa Wazazi wako.Unanijia kila sehemu na mitusi unadhani mimi ni mtoto mwenzio.Shenzi huna adabu kabisa.
Wanasema ni Binamu wa Zerensky
Kumbe hawa ndugu upande wa baba mdogo zangu wana vitu vya maana hivi.....duhh[emoji56][emoji56]2000 UAZ 3162 Simbir Made in Russia. Russia siyo Nangurukuru
View attachment 2183783
View attachment 2183786
Imepenya si eti ee...inaumaa. eee. et [emoji3][emoji3][emoji3]Naomba usinizoee mpumbavu mkubwa wewe usiye na malezi kutoka kwa Wazazi wako.Unanijia kila sehemu na mitusi unadhani mimi ni mtoto mwenzio.Shenzi huna adabu kabisa.
Mbona wanataka kumuhusisha na hii vita ubinamu wake unashida gani sijaelewa hapaWanasema ni Binamu wa Zerensky
Hawa ni wanajeshi wa Ukraine waliochapwaWakuu ebu pitieni hii video muone jeshi la ukraine walijua ni wenzao .....kumbe ni warussia ....
Yaani wamewafagia wote ...View attachment 2184043
Kukuelezea maelezo ya kumhusu huyo George Soros inategemea na nini kilichomo akilini mwako kuhusu ulimwengu na walimwengu. Inategemea unaitizama dunia kutokea wapi, Bondeni au Mlimani.
Halafu kuna kijimtu Fulani hapa Tanzania sijui kipo nchi jirani kinasema Russia masikini,af kingine kinasema Putin kichaa.Marussia Motors (Russia siyo Kemondo)
View attachment 2183825
View attachment 2183826
View attachment 2183827
View attachment 2183830
View attachment 2183831
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]....sasa hawana habari mpya asa watapost nini we unafkiri .....waache tu nao wajifariji .....ila sisi magwiji yaani miamba ikiongozwa na mkuu PUT IN ....tuna mega ardhi taratibu yaani mdogo mdogo mpaka mpaka ukraine yoote iwe ndani ya MOSCOW....[emoji4][emoji4][emoji4][emoji4][emoji4]Hii post mbna mnairudia sana??