Nyamizi , 😂😂😂😂 save hii comment ya pro🇷🇺🇷🇺🇷🇺 baada ya week mkumbushe anavyoruka kimanga 🏃🏃🏃Wanakiri Putin is unpredictable. Notorious b.i.g "never let 'em know your next move... bad boys move in silence and violence"
Hawajiamini. Sema kichapo kinachokuja safari hii sio poa. Huyu jenerali aliyechaguliwa kuongoza operation ya ukraine wenyewe wamagharibi wanamuita the butcher of syria. Mpaka putin kamchagua huyu pengine malengo yake ni kupiga kisawasawa.
Zelensky akubali yaishe. Kama mpaka Pentagon wanampa tahadhari mapema atoe majeshi yake south wameshaona kuwa yajayo hayatamfurahisha
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Nadhani ulicho andika hata wewe mwenyewe hukielewi!Na hivi unajua hata kaelimu uliko nako nikaku-copy na ku-paste?Unajidhalilisha mwenyewe.Hata unakopi maajabu yao kuhusu "Khazarian Mafia" ... SIyo parasite ni yule anayekopi tu?
Atajua hajuiMtakuja kuvamia mapepo,mkiona msichana mzuri tu mmo.Na JF humu mapepo yamo!
Wanajeshi wa Ukraine huko Mariupol wakata tamaa, wasema wamewekwa 'mtu kati' na majeshi ya Russia, hawana la kufanya ila kusubiri kifo na wengine kuwa mateka wa Russia
View attachment 2184264
Kila nikiona habari za BBC zinadai Russua wamekimbua kyiv sasa ukweli ukoje, je kyiv imekombolewa au bado?Wanajeshi wa Ukraine huko Mariupol wakata tamaa, wasema wamewekwa 'mtu kati' na majeshi ya Russia, hawana la kufanya ila kusubiri kifo na wengine kuwa mateka wa Russia
View attachment 2184264
Atakua anahabari ya lini mkopo wa UK ulilipwa wa akina USA?. Wamepata new customer Ukraine sasa.Nadhani ulicho andika hata wewe mwenyewe hukielewi!Na hivi unajua hata kaelimu uliko nako nikaku-copy na ku-paste?Unajidhalilisha mwenyewe.
Mwisho,mbona swala la Khazarian Mafia limekugusa sana,limegusa moyo wa mabwana zako nini.
Endapo kama Javelina zipo Ukraine, sina imani na hizi terminator. Javeline habar nyingine ile kaka.Magari ya kivita ya ajabu na ya kuitisha ya Russia yaitwayo 'Terminators' yamiminika kuelea mpakani mwa Ukraine na Russia
Terminators hizo kazi zake ni kuyalinda magarivita mengineyo, kuangamiza MANPADS, kuangamiza vifaru kwa kutumia teknolojia ya juu zaidi kiasi kwamba kifaru chaweza kuangamizwa hata kikiwa umbali wa kilomita 6. Terminators hizo pia zima bunduki mbili za kipekee ambazo zaweza kutumika kuangamiza helicopters za adui angani. Pia Terminators zina mifumo ya ulinzi wa anga.
Terminators ni mara ya kwanza kuonekana kuingia mzigoni Ukraine
Asante sana Putin....
View attachment 2184279
View attachment 2184281View attachment 2184282
Usisahau tu kwamba Russia sio ZimbabweEndapo kama Javelina zipo Ukraine, sina imani na hizi terminator. Javeline habar nyingine ile kaka.
Russia ilinganishe na CalfoniaHuwa ninaibeza Russia vs US na si vinginevyo,maana huwa mnajitoaga akili kutaka kulinganisha Uchumi wa US na Russia.Yes nakazia tena Russia ni maskini mbele ya US tena ni maskini kweli